"KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
Hapa hapa kwenye WiFi free niitie uzuuri nafasi ya kufundwa, sina laki mbili za kumpa mama love kungwi LA mama, Mungu wabariki maboss wangu Wasipungukiwe. Wapendwa mafunzo haya yawekeni akilini na moyoni.
Kaka Ibrah mm haya mafunzo nilishaahi anza kujifunza tangia msimu wa kwanza na bado iyo ndoa sasa mana style n ka hyo ya da siki2 jamani watoto wawil na hakuna ndoa afadhali sasa kwa kuona single mother akiolewa ninatamaa sasa asante sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ilove u from kenya
Cast ya Baba yake Sengo imetulia sana, Brother huyo mzee usimuache kwenye kazi zako, ukiachana na uigizaji huyo mzee anaongea Kwa vituo na fact Hadi raha
Gonga like kama unaikubali na kufatilia kungwi dume😍
😂😂😂😂😂Jmn asanteni sana KUNGWUI DUME mwenye akili na kama umemuelewa Huyu kungui Gonga like😂😂😂
Respect for team kungwi dume 👈
😂😂😂 bibi enzi za usichana wake alikua mcharuko
𝐵𝑎𝑛𝑎𝑒𝑒😀😀𝑎𝑚𝑒𝑓𝑎𝑎 𝑘𝑎𝑚𝑤𝑒 𝑚𝑖𝑒
Hii imetoka haraka,,hongera kungwi wetu🥳🥰zile zengine uwa zakaa sana mpaka twasahau
Tunajifunza mengi ongera zako ❤❤❤❤
Yaan hadi raha haya mafunzoo hongereni san washitiki wote 👌👌👌👌👌👌🤗🤗🤗🤗🤗👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Kungwi dume ni mmoja tuu Ibra the Don nakukubali sn najifunza mengi sn kupitia wewe Mungu àkubaliki uzidi kutuelimisha
Kungwi dume ni mmoja tuu lbra the don nakukubali sn najifunza mengi sn kupiti wewe mungu akubaliki uzidi kutuelimish
Mashaallah mafunzo mazur sana kaka ibrah
Hapa hapa kwenye WiFi free niitie uzuuri nafasi ya kufundwa, sina laki mbili za kumpa mama love kungwi LA mama, Mungu wabariki maboss wangu Wasipungukiwe. Wapendwa mafunzo haya yawekeni akilini na moyoni.
Ma shaaa Allah! Hongera Kaka kungwi dume kwa kazi safi,unamafunzo murwa kabisaa ❤
Asant kaka kwa kutupa soma najifunza meng allah akupe maisha marefu kaka 🥰🙏
Mambo
Aaminaaa
Aminia kungwi najifunza baadhi ya mambo kupitia wewe
Asante kaka ibrah kwa mafundisho yako matamu Allah akubarik
Nimeipenda sana 😢 mafuzo yako is nice thank you 😊 🙏 ♥️💖❤️💙🙏
Nakukubari sana na kukufuatiriya unajuwa sana 💋😘
nzuriiii nimeipenda saana
Mashaallha yani mm najifuzA sana kabisa
Oyaaaa kungwi leo ni 🔥🔥🔥🔥🔥 bibi ameuwa🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅
Akuna mwenye ana enjoy mafundisho kama mimi apa😂😂 na venye kwetu amna mambo haya na ejoy sana keep up kungwi dume❤❤
Kaka Ibrah mm haya mafunzo nilishaahi anza kujifunza tangia msimu wa kwanza na bado iyo ndoa sasa mana style n ka hyo ya da siki2 jamani watoto wawil na hakuna ndoa afadhali sasa kwa kuona single mother akiolewa ninatamaa sasa asante sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ilove u from kenya
Good nice one story 🎉🎉❤
I love you kungwi dume 💕💕💕💕💕💕💕
Kazi nzur sana
Mashllha nakukubali kaka unasikuliza na kujifunza kila kitu kimetuliya ❤❤❤🎉🎉🎉
I love your lectures❤❤❤❤ kungwi dume 🎉🎉🎉🎉
Namimi pia Leo watatu kwa mara ya kwanza
Ahsante kungwi unatuerimisha vzur mungu akujaarie ❤❤❤
Asante Kwa mafundisho unaelimisha vizur kaka
Uko vzr broo😂😂
Asant nimejifunz San
Mashaallah tumpeni laki km zote kungwi ndume❤ . Mashaallah
Nakubali baba ngosha ukosaw kumfunza mwanao
Tangu nizaliwe sijawai kufunzwa baadhi ya vitu napata kwako In Kenya haya mambo hayapo kabisa Live long Don nazidi kujifunza
Yapo dear labda hutokako wewe ndio amna
Kabsaa.. Coast twafunzwa hapa tunaongezea na kujifurahisha😂
😂😂 utayapata wapi na yaonesha wewe n mtu wa bara
@@aminasaid4174 Kweli mm ni Mbara na nimesema kweli
Mashallh tupe ya kumi na moja plz❤
Kungwi jaman mungu awe pamoj nawe katika kazi Yako mam unatupa mafunzo mazur
asante sana kwayo hizi tamsili this is very educational bless y'all
Mash Allah 💙
Wanatuambia tuwatukanie mama zao wengine wakiwa juu😅😅😅😅
Huyu Bibi katisha ana taka majaribio haaa
😂😂😂😂 bibi katika jaman jaman jman
Nmejifunza mengi sana ,
Bibiiiiiiiii chezea bibi weyeeee
❤❤❤❤❤❤ mashallhhh mafunzo mazur
Shukran Ibrah mwendelezo jomon movie nzuri
Jamani niko mimi halima kenya😂😂 nimefurai sana
Nakutaka Kenya 2025
Huyu bibi daaah😂😂😂😂😂😂
Mashallah ❤❤❤❤
Nice
Bib Shikamoo hongera 🎉🎉
GOOD JOB IBRA
From kenya nimependa sana
Kazi nzuri sana hongreni
Oyaaaaaa si tunamuelewa uyuu jamaa ni shida
😆 hahaha hahaha hahaha hahaha bb umeua. Wewe unastahili maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 😆 😂😂😂😢😢😢😅😅😅😮😊❤❤❤❤❤
Waah nimependa kweli
Cast ya Baba yake Sengo imetulia sana, Brother huyo mzee usimuache kwenye kazi zako, ukiachana na uigizaji huyo mzee anaongea Kwa vituo na fact Hadi raha
Kazi nzuri kaka ibra
Nimempend Bab wabwan Haris🥰🥰
Asalam alaykum mimi ni mgeni
❤❤❤ nmpenda sna nangja ingine
Kungwi dume hoyee👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Jaman ni 🔥🔥🔥
Thanks u God bless u bro🙏
Najifunza mengi kupitia ibra❤nsimkubali kwanini🎉❤
Bibi hatareee 😂😂😂😂
nc
Aide nimeipenda sana
Huyu bibi yumo jamani😂😂😂 hapo baada ya shooting kiuno kiliuma balaa😅😅😅 ila nimempenda hatari
Bibi kiboko🤣🙌🏾
Yani Mungu akulipe na akulipe tena kaka yng
From Kenya I like you so nice
namkubali ibrah sana yuanifundisha😂😂
Kungwi kiboko et kojo co lako loh😂
Nakubali mafunzo mazuri sana
Naipenda san
Wah hapa sidhani kama nikioleka nitashindwa mana mafudzo ninayo yapata hapa nitosha😂😂😂😂😂❤
Nimewai leo
Nice sana bro
Much love kungwi dume ❤❤
😢hongera❤️❤️
Hongera
Waambieee bibi😂😂😂 kushnei. Nikifanyiwa hivi nauza shamba la baba 😂😂😂😂
😅😅
😂😂😂
Next pliiiiz🎉
Bibi wa kilemba nae nimemkubali
Asante nimejifunza mengi
Unamafndsho mazr asntee sana
Kungwi Dume ni Mmoja to Tz 😂 hapo kwenye fake me jamen Omary muuza chpis wewe
Kaka mkubwa support yetu unayo
Mashaallah ❤
Napenda masomo yako sema tupone
Bibi upo vizuri
Good job
Kungwi wew fundi
Kungwi nmepata bd mume
Thanks much, napata elimu ya kutosha hapa
Jmn nikiolewa sijui Kam nitafeki asanteni kwa mafunzo mazur
Masha Allah ❤❤
Kaka mkubwa support yetu unayo kutoka Kenya, kwenye kungwi dume malezo yake tuzingatie hata sisi wakenya
😂😂😂Nampenda hyu bibi