Ziara yangu ya Ikulu kumkaribisha Rais Samia Suluhu Hassan

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Ziara yangu ya Ikulu kumkaribisha Rais Samia Suluhu Hassan

КОМЕНТАРІ • 321

  • @yusraseif1893
    @yusraseif1893 2 роки тому

    Maa shaa Allah, Allah akuhifadhi sheikh yusuph abdou mimi nakuombea nusra ya Allah na taufiq yake nimefurahi sana kwa huu ujumbe mm nasheed zako zinanifunza sana na nazipenda pia

  • @maryamahmed8171
    @maryamahmed8171 3 роки тому +2

    MashaAllah MashaAllah sheikh Yusuf umebarikiwa sauti na unaitendea haki usijali na majungu yao uwaachie wenyewe karibu sana Tanzania

  • @salmakaratta1420
    @salmakaratta1420 3 роки тому +3

    Mashallah Allah awatunze kwa mapokezi mazuri kwa mama, Rais wetu Mungu akushindie safari ya maisha yako.

  • @barutwanayohussein7776
    @barutwanayohussein7776 3 роки тому

    Masha Allah, masha Allah, masha Allah. Sheikh wetu Yusuf Abdi tunakupena sana kwa ajili ya Allah na naomba Allah aendelee kukupa ujasiri wa kutumikia umaa wa kiislaam kama kawaida yako na tupo pamoja Kipenzi chetu.

  • @nuruali2236
    @nuruali2236 3 роки тому

    Allah baarik sheikh wetu unayetufaa na kutufungua macho.kwa kweli anasheed zako zenyewe ni da'wa.
    Allaah akutakabali na akutilie barka qawli zako.
    JazaakaLlaah kheir

  • @hasanaatutv7078
    @hasanaatutv7078 3 роки тому +7

    Sheikh Youssef Abdi Allah akulipe kheri zaidi, kwasisi tulio jaaliwa kusomea fani ya Da'awah huwa hatupotezi fursa hata kidogo maadamu niya kumtangaza Allah, kwahio umefanya jambo kubwa sana mpaka nilistaajabu kwa kuona unapewa fursa ya kufika ikulu na ukamtangaza Allah na mtume na Dini yetu Alhamdulillah tutarajie mengi mazuri in shaa Allah

  • @mindset_demeanor
    @mindset_demeanor 3 роки тому +5

    Allah akubarik shekh Yusuph Abdy Wallahi umetekeleza vile uislamu unavotaka

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 3 роки тому +2

    Masha Allah tabaraka Rahman Allah akuhifadhi kwa kweli ume sema maneno ya hikma na binadamu hawa ishi maneno, uki fanya vizuri hawa pendezewi, binadamu ndio tulivyo. Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 3 роки тому +1

    Jazaka Allah khaira shekh Yusufu

  • @mussabinnassory8760
    @mussabinnassory8760 3 роки тому

    Vizurriii Sana sh Yusuf abdi tupo pamoja sana wasamehe walio kosea Allah atupe tawfik

  • @luluoman993
    @luluoman993 3 роки тому +3

    Maneno yako mazuri Allah akupe Saha waafya na akulinde na mahasid allahuma ameen

  • @abrahmanmakame1498
    @abrahmanmakame1498 3 роки тому

    Shukran shekh Yusuph Abdu kwakweli hata mm nimefurahishwa na hili maana pange pigwa ngoma na ramadhan hii ingekuwa mtihani kwakweli na pia si kila kiongozi anapenda mziki waislam tuelewe tumekuwa tukiweka vikwazo vikubwa sana na kuwafanya wengine wasio kuwa waoslam kuzidi kuuchukia uislam. Shekh mtoa hukmu ni allah pekeee tumuachie allah na ww allah atakulipa kwa mujibu wa nia yako, vikwazo tunavo jiwekea kwenye dini yetu vinapelekea badhi ya ya watu kufa wakiwa washirikia ili hali wakiwa wanaupenda uislam na dalili mbali mbali zinaonyesha tunashindwa kulingania tunabaki kupigana majungu. Kwakweli shekh mm nakuombea kwa Allah kama kuna sehem uliteleza Allah akusamehe hukudhamiria Shukran sana 👏🏻🙏🏻

  • @hudhaimaissa3151
    @hudhaimaissa3151 3 роки тому

    Maashallah sheikh yussuf Abdi keep it up we love you

  • @sabunimnyese5882
    @sabunimnyese5882 3 роки тому

    Shekh Yusuf amdi mola akujaalie wa puuze walimwengu baadhi ndihivyo walivyo waisilam popote duniani ni ndugu she yusufu karibu kwetu Arusha amina

  • @ahmadfathiya4804
    @ahmadfathiya4804 3 роки тому +1

    Mashekh mutashadidin ovyoo hawajielewi uko vizuri

  • @mohafishaal4190
    @mohafishaal4190 3 роки тому +1

    Sheikh wangu umefanya kazi vzuri umeonyeasha uislamu dini ya kweli wale wanakuhazidi wakae roho chafu

  • @jimmymaghanga3084
    @jimmymaghanga3084 3 роки тому +2

    Brother continue with your good work

  • @kaylaassiah9461
    @kaylaassiah9461 3 роки тому

    Ma sha allah tabaraka allah wakuache baba wamezowea waa za diamond

  • @abubakarsadiq2770
    @abubakarsadiq2770 2 роки тому

    May Allah grant u more knowledge my favourite sheikh

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 3 роки тому +1

    Message sent sheikh swadakta

  • @michaelmuriithi6808
    @michaelmuriithi6808 3 роки тому +5

    True brother..am not a Muslim but I agree with your perspective.

  • @keisomar6956
    @keisomar6956 3 роки тому +4

    Masha Allah, kaka Allah akuzidishie Iman, wewe usikasirike waache hao endelea na harakati. Tuko pamoja na wewe.

  • @nabilasuleiman5653
    @nabilasuleiman5653 3 роки тому +1

    Mashaallah Allah akujaalie kheri shekh wetu hao wanaokusema vibaya wakae chini na kutafakari tuendeleze uislam sio kupingana

  • @kingwabaonlinetv7914
    @kingwabaonlinetv7914 3 роки тому +1

    Sheikh yussuf Masha Allah twakupenda sana endelea nakaz nzur na Allah akuzidishie kheri

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 роки тому

    We proud of you Sheikh keep that spirit may ALLAH Bless you 🙏🙏

  • @mohamedsalimaljahdhamy1436
    @mohamedsalimaljahdhamy1436 3 роки тому +1

    Upo sawa sawa Shekh Yusuf. Allah akubarik. Ukiona wanakusema sana ujuwe una neema kubwa Allah amekuneemesha. Wapuuze wanaokuponda. Sisi tunakupenda. Allah akupe kila la kheri

  • @teamalidoctor9031
    @teamalidoctor9031 3 роки тому +2

    MashaaAllah tunafurahia kwa kuingia ikulu mashaaAllah

  • @rahmaalfan1776
    @rahmaalfan1776 3 роки тому +1

    Sheikh fanya kazi yako alimuhimu uko sawa binadamu huta hutawaweza Allah pekee atawaongoza mungu akulipe kw kazi yako

  • @sharifasalum841
    @sharifasalum841 3 роки тому +1

    Wallah kakupa zawadi nzuri mn sisi tunaokuelewa hatuhitaji maelezo tunakukubali n tunafata masomo yko umetutoa mbali ktk dini

  • @khadeejahrashid3177
    @khadeejahrashid3177 3 роки тому +1

    Sheikh Yusuf Abdo bado twakupenda na twapenda Anasheed zako, mti wenye matunda ndio hupigwa mawe. Ni kawaida kusemwa . Wewe fanya kwa ajili ya kumridhisha Allah

  • @kibiiyeali8574
    @kibiiyeali8574 2 роки тому

    Mm sheikh am proud of and pia nakutumia sana nataka atleast ufikishe baraka zangu zote kwa familia hi Hassan Maridadi Ganjoni born ugandan

  • @greatamir6494
    @greatamir6494 3 роки тому +1

    Asante brother umefanya vizuri kaka ,,,angepokelewa kweli kwa taarabu ..
    Ss umekuwa maarufu huku Visiwani na Tanzania kwa ujumla...

  • @hakikwadalili
    @hakikwadalili 3 роки тому +1

    Asanate Sheikh kwa kweli ni nzuri na maelezo yako yapo juu ya msitari.
    Allah akuhifadhi.

  • @a.856
    @a.856 3 роки тому +8

    No matter what you do, some people will have something negative to say. Try not to take it personally. People judge and criticize other people's lives. Do what's right to Allah because is the only one to please. You don't need everyone's approval. All in all you can never pleased everybody.

  • @khalidmohamed1086
    @khalidmohamed1086 Рік тому

    MashaAllaho, baarakallahu fika

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 роки тому +1

    Mashallah mawaidha mazuri sana
    Allah akuhifadhi

  • @a.856
    @a.856 3 роки тому +5

    Jazakallah khayran

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 3 роки тому +5

    As Muslims we should proud of him instead of criticism it is proud of Muslims.

  • @tawheedmotivationalspeech2023.
    @tawheedmotivationalspeech2023. 3 роки тому +1

    Allah akubaarik sheikh🙏..n ktk swadaqa kubwa umefanyaa_hakika huu ndio uislam_hakika nilifarijika sanaa hii n sharafu kubwa _Alhamdulilaah Allah ubaarik_

  • @rukshanbabrawalla4635
    @rukshanbabrawalla4635 3 роки тому +1

    I'm very proud of you my brother you did good thing to the world we're proud to be Muslims. Allah bless you all

  • @hajimwinyi
    @hajimwinyi 3 роки тому +1

    Allah tuko pa1 mpk kiama allah atukubali inshaallah

  • @harmxooz0701
    @harmxooz0701 3 роки тому +1

    Mashallah Shkh uko sawa Allah akulinde na shari zote amiin🤲

  • @salimthabit2854
    @salimthabit2854 3 роки тому +3

    Allah aendelee kukuwezesha kwa uwezo wake,lazma tuendane na wakati muhim tusichupe mipaka ya Allah

  • @salumungare8375
    @salumungare8375 3 роки тому +2

    Kwamajina naitwa mr salum Sheikh upo sawa wengine wanachuki nawivu wanatamani wangeliitwa wao

  • @hamzaaliii6019
    @hamzaaliii6019 3 роки тому +1

    allah akupe swiha usibabaishwe nahao mashekh wapotoshaji niwiv wanakuonea sisi watanzania tunakupa kongole kaka yusuph

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 3 роки тому +1

    Mashaallah shekhe Allah kulinde we love you

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 3 роки тому +1

    Shekhe yusufu uko juu asihofu tunakupenda ❤❤❤❤👌👌👌👌

  • @mbuyutv8271
    @mbuyutv8271 3 роки тому +5

    Mimi nahisi umetupa heshima kubwa kwa mama huyu raisi Mh. Samia. wengi tunahisi kuwa serikali ilitutendea haki kwa umma wa kkiislamu katika hali ile kuliko kungekuwa na muziki pale. Mimi kama mzanzibari niliona faraja na heshime kubwa aliyotupa raisi wa Kenya Mh. Uhuru Kenyata ametuheshimisha kwa kweli na kututukuza waislamu pale. Mashaallah Mashaallah.

    • @mbuyutv8271
      @mbuyutv8271 3 роки тому

      @Aziz Abdallah Official Wewe ukiendelea kunijibu ndio utakuwa mjinga zaidi maana wangu nishaunawa mikono. Hata vidole mkononi haviko sawa seuze akili za watu.

    • @hamisiramadhani3538
      @hamisiramadhani3538 3 роки тому

      Allah akuongoze sheikh Abdi

    • @mbuyutv8271
      @mbuyutv8271 3 роки тому

      @Aziz Abdallah Official Ikiwa watu wote watakuwa werevu, dunia haitakalika. Na ni desturi ya werevu kuwaona wengine wajinga na pia wajinga kuwaona wengine werevu. Kwa hiyo hapo ni bila kwa bila ngoma droo.

    • @mbuyutv8271
      @mbuyutv8271 3 роки тому

      @Aziz Abdallah Official Utapata tabu sana. Asiejua maana haambiwi maana.

    • @mbuyutv8271
      @mbuyutv8271 3 роки тому

      @Aziz Abdallah Official Utapata tabu sana nakwambia. Mibuyu kwetu iko kila kona, sina haja ya kuisoma, hilo jina nimetumia tu hata hiyo TV station sina. Wewe twende tu hivi hivi tutaelewana tu Inshaalla.

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 роки тому +2

    Shekhe Yusuph achana nao mm binafsi nimefurahi sana ktk Iman na nimeona fahari kwa rais wetu kupokelewa kwa namna hyo km uhuru aliheshimu adhana tz from Iraq

  • @adanmohamed4967
    @adanmohamed4967 3 роки тому +1

    Hiyo ndio mawaidha sheikh Love you so much

  • @husha6372
    @husha6372 3 роки тому +1

    Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Sheikh yusuf wasche waseme wasche WANAUne Wallahi Wallahi WALLAHI UMEFANYA kitu kizuri Na kitu Cha busara Inshallah Inshallah Mungu akuzidishie Inshallah inshallah

  • @nadagw6767
    @nadagw6767 3 роки тому +1

    MashAllah. Umewajibu vizuri Sana. Jamani tujifunze kutumia hikma.

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 3 роки тому +1

    Allah Azza Wa jalla akudhidishie hima sheikh Yusuf Abd ninakupenda kwa ajili ya Allah Mtukufu

  • @mohamedaminah3448
    @mohamedaminah3448 3 роки тому

    Allah AKULINDE USTADH Yusuf,akuepushe na HASSAD.na Ni haki kumkaribisha mam RAIS. NA MAMA SAMYA MUNGU NDIO KAMPA CHEO HICHO WALA HAKUKIPIGANIA.MTUME S.A.W. ALIKARIBISHWA MADINA .WAELEWE HIVYO. BINADAMU HAWAKOSI KUSEMA NIKAWAIDA HIYO. USTADH ALLAH AKULINDE .

  • @rajabufarahani1418
    @rajabufarahani1418 3 роки тому

    Mtihani sana sisi waislam..ALLAH akulipe kheir sheikh yusuf.

  • @sharifasalum841
    @sharifasalum841 3 роки тому +1

    Tunakupenda bn n tunakelewa

  • @weethow103
    @weethow103 3 роки тому +1

    Mashaallah sh Yusuf abdi hafidahullah

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 3 роки тому +1

    MashaAllah allah akupe nguv ktk khery zot

  • @husseinally7052
    @husseinally7052 3 роки тому +2

    Kenyata kafanya jambo zuri ma sha allah,

  • @saidhamadkhamis8445
    @saidhamadkhamis8445 3 роки тому +1

    Assalaamalaikum warahmatullah
    Sheikh Yussuf hujakosea anaeona sio sawa alete hoja kamili n tatizo n nn
    Karibu Zanzibar tunakuhitj

  • @raliakana9921
    @raliakana9921 3 роки тому +1

    Mashaallah..

  • @ahmedbadbess8462
    @ahmedbadbess8462 3 роки тому +3

    Munkaraat wanawake nyele wazi wamejipamba na kwajuu wawatumbuiza na nasheed na mbaya zaidi ni kuwa huoni makosa subhanallah

  • @sharifasalum841
    @sharifasalum841 3 роки тому +1

    Allah akupe subra tuko pamoja hakika ww s mtume wala malaika hatuwez kua sawa

  • @smtenplus9700
    @smtenplus9700 3 роки тому

    SubhanAllah sheikh muongope mola

  • @hashimngao5831
    @hashimngao5831 3 роки тому

    Masha Allah
    .mungu akuhifadhi na hasad

  • @fatmamohammed6104
    @fatmamohammed6104 3 роки тому

    Allah akuhifadhi

  • @mbuyutv8271
    @mbuyutv8271 3 роки тому +4

    Usiwe na wasiwasi ustadh huwezi kufurahisha kila mmoja. Labda huko Kenya, akini Tanzania hatuna muda huo wa kujadili mambo madogo madogo kama hayo. Mmetuheshimisha kwa kweli Tunashukuru sana.

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 3 роки тому +1

    Na kuelewa sana shekh abdi

  • @yusfaabubakar1645
    @yusfaabubakar1645 3 роки тому +5

    Sheikh yussuf Abdi tunakupenda na tutazidi kukupenda karibu tena Zanzibar uje umsomee nasheed Dk Hussein mwinyi utazidi kunikosha moyo wangu. Karibu sannaaaa

  • @raysamiya3760
    @raysamiya3760 3 роки тому +2

    Shekhe uko Sawa Masha Allah Tabark Allah. Mungu akuwezeshe Shekhe wetu. Naomba number yako nitakufata

  • @CRMEDIA-yd7dp
    @CRMEDIA-yd7dp 3 роки тому +2

    May Allah grants u jantull ameen

  • @Iffa_saeed
    @Iffa_saeed 2 роки тому

    Mashallah.
    Never give up.

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 3 роки тому

    MashaaAllah safi sana

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 3 роки тому +2

    Uislamu unakua juu zaidi, kuitwa waislam ikulu jambo jema

  • @fatumaselemani3484
    @fatumaselemani3484 3 роки тому +1

    Asalamu aleykum warahmatullah wabarakatu mashaallah Allah akujaza kheri

  • @ramadhanabdulaziz1650
    @ramadhanabdulaziz1650 3 роки тому

    First Lady pia amevaa kama mama Suluhu...kudos Sheikh Yusuf Abdi

  • @salumahmad7503
    @salumahmad7503 3 роки тому +1

    Mashaallah shekhna dini imevamiwa hivi sasa kua na subra

  • @azizamuhammed3550
    @azizamuhammed3550 3 роки тому +1

    Allah akuongozee shekh wetu achana nao usijiumize kifua Allah yupo pamoja na ww

  • @fatmahsharif3398
    @fatmahsharif3398 3 роки тому +4

    Wanaona wivu juu hawajapata io chance ya kuingia ikulu...never mind you just do what's the best and leave the remaining to God to judge not people tuko nyuma yako am your biggest fun

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 роки тому

      Jamaa Wana wivu sanna mpaka aibu🤔. Ukiwafata mashekh wengine wanaona wivu kila kitu wivu😂😂. Jamaa Wana hasad sanna.

  • @ahmadabdalla619
    @ahmadabdalla619 3 роки тому

    Shekh mm nimekukubali mashallah umesema ukweli

  • @ziadajoisa8752
    @ziadajoisa8752 3 роки тому

    Allah Akbaru Lailahaillalah, Alhamdulilah rahaha Sana jamani.

  • @seifkhalfan3190
    @seifkhalfan3190 3 роки тому +2

    Sheikh je kulegeza sauti yafaa mbele ya wanawake na wanaume?jazaka Allahu Kheir

  • @yotesawatu
    @yotesawatu 3 роки тому +1

    Fanya tawba...shekh

  • @anwaralrawahi7673
    @anwaralrawahi7673 3 роки тому +1

    tatizo masheh. kilamtu anataka kujulikana nikipoko waisilam hatuko pamoja tumeweka Mali mbele kuliko dini usijali sheh kilamtu atalipwa alicho kichuma mungu Yuko nawe

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 роки тому +3

    Bora ulivyozungumza tumejua wabaya wako sisi tupo pamoja nawe zainab from Iraq

  • @mohammedsalim7051
    @mohammedsalim7051 3 роки тому +1

    Allah akujalie malipo mema fromeTZ

  • @Wastara001
    @Wastara001 3 роки тому +2

    Asante kwa kolabo yako na brother Nassir. Twasubiri kolabo yako na Zuchu sasa.

    • @zaburionlinetv6245
      @zaburionlinetv6245 3 роки тому

      Kumbe na wewe Mwenyewe Ni mfuatiliaji wa miziki

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 роки тому

      @@zaburionlinetv6245 ahahaaa, kwani unafikiri wafuatiliaji wazuri ni kina nani? Yaan wanaojifanya hawautaki ndio wanauoenda haswa na wana timu zao wamegaeana kabisa wanafikiri Mungu haoni

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 3 роки тому

      Kumbe wee mwenyewe muimba tarabu nyambafu

  • @kassimswaleh8736
    @kassimswaleh8736 3 роки тому +2

    Sio kila pahali ukiitwa wafaaa uende....angalia mandhar kwanza...watuaibisha wallahy alafu ati wajitetea na pointi ambazo haziiingiii akilini

    • @alimakame9215
      @alimakame9215 3 роки тому

      Hsnalolote mziki haramu vinanda haramu

  • @zaituniomar4182
    @zaituniomar4182 3 роки тому +1

    Binaadamu hawakosi la kusemaaaa achana nao yussuf abdu nakupendaaaa bureeeeeee

  • @workehassan8302
    @workehassan8302 3 роки тому

    Mashaalah😚

  • @axmedcali1009
    @axmedcali1009 3 роки тому

    Maashaallah TabarakaAllah

  • @mwanaidalbarawy4354
    @mwanaidalbarawy4354 3 роки тому +1

    ALLAH atakuvua na kukuweka mbali na kila shari za majini na watu

  • @mkanyaempire
    @mkanyaempire 3 роки тому

    Sheikh Upo Sahihi kabisa. Issa from Dar es salaam Tanzania.

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 3 роки тому +2

    Tunafurahi kumkaribisha Mama etu wa Tanzania kwa dini. Inaonesha Tz na Kenya uislamu upo

  • @jamalijuma6656
    @jamalijuma6656 3 роки тому

    Wee sio mtume Wala si malaika Allah akuondoshee husda shekhe

  • @rahmasuleiman7090
    @rahmasuleiman7090 3 роки тому

    Kabisaa my fav sheikh hpo umesemaa shidaaa ni waislamu hawapendii kuambiwaaa ukwely ndomaanaa twaaambiwaa ukwely waumaaa but keep it upp haoo ni wajingaa snaaaaa 🙄🤧😔Allah atakujazaa in sha Allah simama hapo hapo tunakupendaaa snaaa natunatamanii kukuonaa sheikhee wetu mpendwa🙈❤️waisalmu jamani musiwakumu wtu mwenye kuhukumu ni Allah tu na yeye ndomjuzi wakilaa kitu ogopeni Allah sisi tunapitaa tuu hatukaii milele hpaaa duniani fikirienii watu wanakufaaa sanaaaa ogopeni Allah waisalamuu jamani😔❤️

  • @habibmarshbank7449
    @habibmarshbank7449 3 роки тому

    Sheikh hukukatazwa kutoa nasheed ,Haifai kutoa nasheed mbele ya wanawake wakati sauti zenu zimelegezwa zimekua kama jinsia nyengine

  • @salhasalum7180
    @salhasalum7180 3 роки тому +1

    Kaka yussf Abdi somo yangu hata mm nnapenda nnashid napenda mashairi nataman nifike mbali

  • @maryanomar119
    @maryanomar119 3 роки тому +1

    Shekh yusuf abdi sisi wanadamu tumeumbiwa kusema ama kulisema zuri ama kulisema baya kwahivo wewe wasikize na upuzie mbali muhimu umefanya hayo yote kwa jili ya allah kama wanasema umepewa pesa kwani hiyo pesa nifuraha ya mama samiya wala usivunjike moyo mungu atakuwezesha inshallah

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 3 роки тому

    Yusuf Abdu Allahi barik fiiq