SABABU ZILIZOMFUKUZISHA DKT MALISA CCM HIZI HAPA .

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro Merce Mollel ameweka bayana miongonbi mwa sababu zilizopelekea kuvuliwa uanachama kwa Mch Dkt.Godfrey Malisa akieleza sababu moja wapo ni ikiwa ni kubeza maamuzi halali yaliyofanywa na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa January 19 mwaka huu .
    Merce ametaja sababu nyingine kuwa ni Dkt Malisa amekuwa akitoa matamko ambayo yamwkuwa hayaleti umioja na mshikamano ndani ya Chama cha Mapinduzi huku akieleza kuwa Mkutano mkuu ule ulivunja katiba ya CCM.
    Na @dixonbusagaga

КОМЕНТАРІ •