Hongera sana, mh but ubora na weledi wa daktari si rangi nikile mungu alichoweka kayika fani hii ya utabibu weledi.tena hao weupe.loh.hawana lolote, mungu atusaidie sana.Amen. tunajitaji madaktari wetu ni wazuri sana.hao wanakuja kufanya practice kwenye miili yetu.Amen
Hongera Mh.Makonda sichoki kukusikiliza najifunza mengi sana kwako,we we kichwa brother,Mungu akuongezee hekima na utuvushe kaanani nchi ya ahadi
Wenye chuki mtaendelea na chuki sisi tupo nyuma ya Mh Makonda 🎉🎉. Makonda oyeee 🎉🎉
Hongera sana, mh but ubora na weledi wa daktari si rangi nikile mungu alichoweka kayika fani hii ya utabibu weledi.tena hao weupe.loh.hawana lolote, mungu atusaidie sana.Amen. tunajitaji madaktari wetu ni wazuri sana.hao wanakuja kufanya practice kwenye miili yetu.Amen
Majembe mawili yamekuta hapo cheche za moto na vumbi litatimka kwa maendeleo ya taifa... Hongereni Sana.
Hongera❤❤
Ni.mambo.mazuri sana, but hebu tuchote baraka tufanye kongamano na wamama listen vilema na wasiojiweza wale na wanywe.amen
Tupo Arusha DC amna umeme naomba namba zako
Bravo Makonda
Mungu akulinde mkuu
Wakuchukie tu lakini... Makonda wewe ni zaidi yao
Safi detelle makonda na biteko mllle wabagoshaa.
Tena Makonda akipata muda wa kuongea dakika kumi tu kuna vitu vingi utavijua na ndipo utakubali jamaa dio wa kawaida.
Makonda ni mtu mwenye akili sana na anazitumia ipasavyo.
Makonda chapa kaz baba we ndo mteezi
Waandishi andikeni Kiswahili fasaha. Hakna neno Alafu ni Halafu. Nk
Makonda umeme vitongoji vya Meru shishton Bado atujauona mkono wa mama Samia kabisa ,hasa)( noseiya)
Hii ni zaidi ya GB ya vodacom
Makonda unamaamuzi dhabiti kwa dam ya yesu munqu akupe uhai Niko shy nunua hata maicopoo mbili niwe hata conda tu makonda Sina ajira
Safi sana mwanetu 🎉🤔🙏