Miaka 6 bila Kanumba, bado ni ngumu kuzoea

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 120

  • @middlesimba
    @middlesimba 6 років тому +7

    Rip Kanumba @skytanzania 🙌🙌🙌

  • @gracemsanjila327
    @gracemsanjila327 6 років тому +1

    😭😭😭😢😢😢😢😢😢Jamani nakumbuka siku hiyo naamka saa moja asubui nasikia nyimbo ya remi kifo hakina hiruma radio zote na tv zinaimba wimbo moja nilijisikia kuogopa kutoka nje 😭😭😢nikaona watu wanalia kuwa kanumba kafaliki kwanza sikuamini niliishiwa nguvu sana #kanumba pumzika kwaamani boy one day tutaonana inshallah

  • @patientGrevislay
    @patientGrevislay 6 років тому +26

    R. I. P kanumba,,, nani anafikiri kua hamu yake ya kuangalia bongo movie ilipungua alipokufa kanumba?

    • @izacksbalzack9090
      @izacksbalzack9090 5 років тому +1

      Tuko wengi sana, mm hadi sasa sijawahi kutizama au kufikiria kutizama filamu za kibongo tena

    • @mcheshcomedy5809
      @mcheshcomedy5809 4 роки тому

      Mm bado naangalia filamu zake!!!!;

    • @gracekadzo1767
      @gracekadzo1767 2 роки тому

      Yani mm toka akufe sijui nguvu ya kuwatch movie za kibongo ilienda wapi ilipotea kabisa na mpaka sai si mambo yangu emagine🥺tumepoteza mtu muhimu sana RIP KANUMBA😭

  • @Dee-o3f
    @Dee-o3f 6 років тому +12

    Wakwanza ku-like wakwanza ku-comment dah r.i.p kaka kanumba tutakukumbuka daima

    • @Dee-o3f
      @Dee-o3f 6 років тому

      Rahima S achante

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 6 років тому

    My kipenzi bibi pia mwaka tokea aniondokee ktk macho yng ila ndo kazi ya Mungu haina makosa Mw.Mungu amlaze mahali pema peponi na wote pa1 ameen

  • @rahimajuma688
    @rahimajuma688 6 років тому +6

    rest in peuce my kaka nakumbuka ilikuwa siku ya j.mos saa 1:00 asubuhi nilikuwa kazini ndo nikapata hizi habari dah siku hiyo sijakula hata kitu nilishinda na mawazo sn dah kanumba wetu kukusahau itakuwa ngumu 😢😢

  • @emmanuelmanga25
    @emmanuelmanga25 6 років тому

    I will never forget that day. Ilikuwa Jmos nilikuwa na kipindi class lkn ghafla mwisho wa kipindi mwl akasema "Kwaherini, Rest in peace Kanumba". Tulishtuka darasa zima kila mtu na hatukuamini.

  • @thiithurea5666
    @thiithurea5666 4 роки тому

    *Kweli Tuonge Tu Akuna Aliefunja Record Ya Kanumba Na Hakuna Atakae Pita Record Yake Nasema Tena Mzee Kanumba Ni Mwamba Sana Almaaruf Touch&Go*

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 5 років тому +1

    Kaka aliniuma huyu
    😭😭😭 Still love him💔💔💔

  • @emmanuelgabagendi3169
    @emmanuelgabagendi3169 6 років тому

    moyo wangu unauma Sana tena Sana mwanga wamilele umwanganzie ee bwana

  • @saidkaoneka2648
    @saidkaoneka2648 6 років тому

    Kaka kanumba 😥😥😥naumia sana jamani nyota mungu nimuweza

  • @nurloy510
    @nurloy510 6 років тому

    Lala salama kaka Dunia njia

  • @happinessnjole684
    @happinessnjole684 6 років тому

    Daaahhh nimesikiliza hii makala nikahisi km ndoto tu yaani kiukweli sometimes ukikaa bado unahisi labda ipo siku atarudi lkn ndo ivyo tena atuna budi kukubaliana na ukweli uliopo, R.I.P KANUMBA

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 6 років тому

    R.I.P Kanumba,muda mwingi nawazaga sana nasema ungekuwa hata na mtoto angepunguza hata machungu kidogo kwa mama yako lkn ndio hakuna aijuae siku yake ya mwisho.R.I.P jaman Kanumba mi sijui hata nisemeje jaman😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @sarahnsama2922
    @sarahnsama2922 6 років тому

    Dah!!! Mi cna hata chakusema,machoz yananitoka tu jamani

  • @shabaniasha6363
    @shabaniasha6363 6 років тому

    jamani hakuna msanii wa bongo muvi nilinayempenda kama kanumba na nitampenda milele, kiukweli niliumia sana nililia sana na bd nazidi kuumia kila nikiangalia muvi zake jamaniiii duuuuuuh!!!!! r i p # kanumba# mungu akunguzie adhabu ya kaburi

  • @thiithurea5666
    @thiithurea5666 4 роки тому

    *Wakubali Wakatae Kanumba Amefariki Na Sanaa Yake Amezikwa Na Kiwanda Cha Filamu*

  • @josejuma103
    @josejuma103 6 років тому

    Muandaaji wa makala upo vzr

  • @saumuathuman206
    @saumuathuman206 6 років тому

    inaniuma sana siezi sahau

  • @moshimongelwa7795
    @moshimongelwa7795 6 років тому

    Rip legend umekufa na bongo movie yako tutazidi kukukumbuka

  • @hurumadavid9152
    @hurumadavid9152 6 років тому +1

    R.I.P kanumba mungu akurinde, akusamehe Na kukuongoza katk Safar yako

  • @maombinshedson5914
    @maombinshedson5914 6 років тому

    R.I.P king Kanumba kwl, kanumba alikuwa shujaa wa aina peke yake , kanumba ataendelea kuwa ndani ya myoyo yetu siku zote ,kiukwl nahisi angekuwa katika uhai leo kungekuwa na mabadiliko makubwa sana katika tasinia ya Bongo movie ...rest in peace kaka kanumba

  • @rukiachamani1101
    @rukiachamani1101 6 років тому +1

    Mungu ampumzishe kwa amani.
    Kamwe hatutamsahau Kanumba.

  • @Mariam-ez4qw
    @Mariam-ez4qw 6 років тому

    R.I.P steve kanumba hakika tutakukumbuka daima😢😢😢😢😢😢

  • @shabaniasha6363
    @shabaniasha6363 6 років тому

    mungu akupunguzie adhabu ya kaburi

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 6 років тому

    N moja ya star niliekuwa namkubali saaana ,n.a. nilipanga one day nikijamaliza kidato cha 4 nikienda Dar es salaam lazima nimpate hata kwapicha tu 'yan sikuamin hiyo siku kusikia habar za kifochake nilikuwa nimelala nakumbk ilikuwa asabuh mida saa12 alikuja dogo kuniamsha kwa speed rose rose kanumba kafariki oonh my God what nilijua n matani sikuamini kusikia masikio yangu macho yangu niliumia saan

  • @abdallahiddris6493
    @abdallahiddris6493 6 років тому +5

    Kizuri daima hakidumu.
    We loosen but we will gain. The trip of him (go without return) is begin of new offspring #Gabo zigamba is not like him but he try to be as him.
    Rest in peace The Greater

  • @boazimbwaga8771
    @boazimbwaga8771 6 років тому +2

    Roho inauma san mungu akurehem

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 років тому

    R.l.P njia yetu ni moja aijarishi umekufa kufaje🙏🙏

  • @queenyahaya3147
    @queenyahaya3147 6 років тому

    Daaa 😢😢😢inauma sana jamani

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 років тому

    Saut mweee dada Wema

  • @alikiba9723
    @alikiba9723 6 років тому

    Sometimes aya mambo yakukumbushiya yaliyo pita Bro Sky I don't like it because I can continue to hate uyu mdada #ElizabethMichaelLulu because I was a support Damu wa Bro #Kanumba ila sote ndo safari yetu kwamaana akuda mwanaam atakaye ishi milele hapa chini ya juwa, Roh ya marehem ilazwe maali pema amina #R.I.P My Legend Kanumba bado tunakukumbuka mno 😭😭😭😭 Be blessed #SnS +1👏👏👏

  • @oscarmwambonja4417
    @oscarmwambonja4417 6 років тому +1

    Rest In Peace #Kanumba, tutakukumbuka Daima, sote tunapita hapa duniani, tukumbuke kutenda yampendezayo mwenyezi MUNGU.

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 6 років тому

    daaaa stokusahau kamwe mzee

  • @aminaharapaharapah2174
    @aminaharapaharapah2174 6 років тому +2

    Not only tz i think it's the whole east Africa it was so painful😭😭😭

  • @othumansuleiman6372
    @othumansuleiman6372 6 років тому

    Mungu amlaze pema peponi

  • @aminaharapaharapah2174
    @aminaharapaharapah2174 6 років тому +1

    R.I.P bor it was really sad may Allah continua strengthening his mum ,😭😭😭we still remembering u

  • @ichukagaum9732
    @ichukagaum9732 6 років тому

    Nikiona pc tu machozi yananitoka Mungu amlaze mahali pema 😢😢

  • @zuhrahalima5987
    @zuhrahalima5987 6 років тому

    Basi kiukweli lulu hakumuuwa kanumba mbali alishuhudia kifo cha kanumba.

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 5 років тому

    Pumuzika kwa amani kanamba😭😭

  • @mathewshedrack4833
    @mathewshedrack4833 6 років тому

    Angekuwepo kanumba angeitangaza inje filamu ya tz r I p

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 6 років тому +1

    Sintokaa nisahau nilikuja dar kutokea arusha wiki moja kabla ya kanumba kufariki,nilikuwa na rafiki yangu mmoja mkenya aitwaye Daisy.Nilimuambia rafiki yangu mi napenda sana kuigiza lkn ntampataje Kanumba?.Baada ya hapo nikaanza kutafuta office zake na kuagiziwa kuwa zipo sinza meeda.Baada ya kufika sinza meeda nilijiuliza ntaingiaje hapa kwenye hii office lkn badala yake nikaenda kwa mama mmoja pemben ya office ya Kanumba aliyekuwa na duka la boutique,nikamuelezea akaniambia we nenda tuu usiogope Kanumba hana shida.Baada ya muda kidogo tukamuona Kanumba kaja pale ofisini kwake na gari ndogo nyeupe akiwa kaongozana na mdogo wake (Seth Bosco) huku Kanumba akiwa kabeba laptop mkononi mwake na aliyeniambia kuwa yule ni mdogo wake alikuwa ni yule dada wa duka la boutique.Kiukweli nlipomuona Kanumba nilihisi kama kupiga kelele yaani sijui hata cha kusema.Nilimuaga yule dada na kwenda ofisini kwa Kanumba baada ya kufika nilikutana na secretary wake ambaye nilimuelezea kilichonipeleka ndan ya ofisi hiyo,akaniambia kumuona Kanumba ni ngumu kwa muda huo ila ngoja ampigie cm.Basi akampigia Kanumba akamuuliza secretary nina shida gan akamuelezea,Kanumba akamjibu akamwambia mwambie aandike barua na aambatanishe na passport size 3.Basi hata sikupoteza muda nikaenda startionery ya jiran nikapiga passport size na kuandika barua baada ya pale nikarudi kwa yule secretary na kumpatia,muda ninaompatia na Kanumba akatokea ndani ya ofisi akiwa anaelekea kwenye gari akauliza ndio mimi ninayehitaji kumuona mi nikajibu haraka kabla ya secretary kwa kusema Ndio kaka,akasema sawa.Akaniambia njoo ofisini jumatatu nikamjibu sawa.Yaani siku 3 mbele nikasikia kafa nikahisi kama kupatwa shock nikajiuliza kwani ni Kanumba huyu niliyemuona juzi au kuna Kanumba mwingine,sikuamini mpaka siku niliyofika sinza asubuh na kukuta umati wa watu umejaa nje ya nyumba yake ambapo sahv kuna kanisa,yaani kwa ujumla nilipatwa na tumbo la kuhara lkn sikuhara yaan nilihisi kama sio kweli.Mpaka leo siamini kama Kanumba kafa mi nahisi bado yupo hai.Mapenzi ya Mungu yatimie hakuna awezaye kuyapinga,R.I.P Kanumba , jembe la filamu na umeondoka na bongo movie yako baba,😭😭😭

  • @saidkaoneka2648
    @saidkaoneka2648 6 років тому

    Rip dahhh 😥😥😥😥😥😱😱😱😱😱😱🙆

  • @asumiissa306
    @asumiissa306 6 років тому

    kwa kweli inauma utadhani ndoto kweli
    R.I.P. kanumba

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 років тому

    R.i.p brother kanumba mungu akulinde naahili pema peponi

  • @monicahjared8292
    @monicahjared8292 6 років тому

    R.I.P kanumba we miss u so much..

  • @godwinalexis758
    @godwinalexis758 6 років тому

    R.I.P kanumba hatuto kusahau ❤️

  • @bafaello2619
    @bafaello2619 5 років тому

    Rest in paradise hero

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 6 років тому

    Pumnzika salama kanumba

  • @Plykerproduction
    @Plykerproduction 6 років тому +2

    1st

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 років тому +3

    Kiukweli katuachia majonzi mazito sana

  • @chemsachouchou3087
    @chemsachouchou3087 6 років тому

    RIP kanumba😢😢

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 роки тому

    Hii ni Adam kanumba vs Hawa elizabeth yani mtoto kala tunda la nyoka mwenye sumu kali. Usije ukamuua Ma jey wewe ...muuaji hajui hukumu

  • @johnkipata9752
    @johnkipata9752 6 років тому

    Inauma sana 😭R.I.P.

  • @jaybchaponda6886
    @jaybchaponda6886 6 років тому

    Duh moyo wajaa nabutwa hadi milele

  • @jancybimetv2856
    @jancybimetv2856 6 років тому

    R.P Mr Steven kanumba hatuto kusahau

  • @sharifa2274
    @sharifa2274 6 років тому

    Innalilah wainailah rajuun

  • @queenmaa7892
    @queenmaa7892 6 років тому

    Ameen

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 6 років тому +1

    R.I.P..we loved you

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 6 років тому

    Dah r.i.p kanumba tutakukumbuk daima

  • @elviramboje2491
    @elviramboje2491 6 років тому +1

    miss you kanumba😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 років тому

    ASANTE KAKA KWA HABAR KAKA

  • @trendymom7659
    @trendymom7659 6 років тому +1

    Rip😇🙏

  • @fatmaamran9739
    @fatmaamran9739 6 років тому +2

    Pumzika kwa Aman

  • @lalauganda4467
    @lalauganda4467 6 років тому +1

    RIP dear 😭

  • @shiraann632
    @shiraann632 6 років тому +1

    Continue resting in peace Kanumba ..

  • @solomonitv7808
    @solomonitv7808 6 років тому +1

    RIP kanumba

  • @jenivavedasto636
    @jenivavedasto636 6 років тому

    R.I.P Kanumba!

  • @elizabethmutua9273
    @elizabethmutua9273 6 років тому

    R.i.p. Steve kanumba

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 6 років тому

    Rip bro

  • @yusufalmamari4236
    @yusufalmamari4236 6 років тому +1

    Siku yaka kanumba sito kuja kuisa hau nili umwa sana nilipo hatonae tena r.l.p

    • @chemsachouchou3087
      @chemsachouchou3087 6 років тому

      yusuf almamari aca my mimi naishi burundi yani tumeingiliwaga na baridi inci nzima ilikuwa nikiliyo😢😢😢😢

  • @charlesambra3540
    @charlesambra3540 6 років тому

    R.I.P STEVEN KANUMBA

  • @sabrinaayoub7032
    @sabrinaayoub7032 6 років тому

    Pumzika kwa aman knmba

  • @onesmojeremia9713
    @onesmojeremia9713 6 років тому

    R.I.P Kanumba the Greater

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 6 років тому

    😢😢😢😢😢

  • @nihalimohamed1875
    @nihalimohamed1875 6 років тому

    R. I. P kanumba

  • @sheilahluchombo6570
    @sheilahluchombo6570 6 років тому

    Rest in peace the Great Kanumba

  • @Plykerproduction
    @Plykerproduction 6 років тому +4

    tumemc. 😫😫😫😫

  • @somalytyre8644
    @somalytyre8644 6 років тому

    Rest In Peace R.I.P

  • @ashaamose5232
    @ashaamose5232 6 років тому

    RlP Kanumba

  • @damasmatare7549
    @damasmatare7549 6 років тому

    R I P broo utakumbukwa milele daima kaka

  • @antonyally3824
    @antonyally3824 6 років тому

    rest in peace kanumba

  • @joshuajoao3245
    @joshuajoao3245 6 років тому +1

    R.I.P KNMBA

  • @halimamaggy8551
    @halimamaggy8551 6 років тому

    r.i.p

  • @amani2555
    @amani2555 6 років тому

    Rest in peace ✌

  • @mwajabungoma5246
    @mwajabungoma5246 6 років тому

    😤😤😤

  • @alfredidanda1423
    @alfredidanda1423 6 років тому +1

    Rip

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 років тому

    R.I.P

  • @estermgaya6701
    @estermgaya6701 6 років тому

    rest in peace

  • @michaelmshuda1118
    @michaelmshuda1118 6 років тому

    R.I.p the great

  • @nassoroswalehe956
    @nassoroswalehe956 6 років тому

    R I p

  • @بدرالشمري-و3خ
    @بدرالشمري-و3خ 6 років тому

    R.I.P.😭😭😭😭😭😭😢😢😢

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 6 років тому

    mungu akupunguzie adhabu ya karibu kanumba

  • @shabaniasha6363
    @shabaniasha6363 6 років тому

    jamani hakuna msanii wa bongo muvi nilinayempenda kama kanumba na nitampenda milele, kiukweli niliumia sana nililia sana na bd nazidi kuumia kila nikiangalia muvi zake jamaniiii duuuuuuh!!!!! r i p # kanumba# mungu akunguzie adhabu ya kaburi

  • @EddyEdyuseEddyOneTv
    @EddyEdyuseEddyOneTv 6 років тому +5

    R.I.P the great

    • @marymayeye7947
      @marymayeye7947 6 років тому +1

      Millard Repoter , together we can 👍

  • @saidiaboumaryam4289
    @saidiaboumaryam4289 2 роки тому

    R.i.p

  • @nihalimohamed1875
    @nihalimohamed1875 6 років тому

    R. I. P kanumba

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому

    Rest in peace kanumba

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 6 років тому

    R.I.P

  • @mkolehans2438
    @mkolehans2438 6 років тому

    Rip