jamn dosa ukumbuke tumecheza away na viwanja vya kule ni vigumu tunaendaga kule tunapoteza point ila wao wamecheza mechi mbili home kiwanja kizuri ngoja jumapili tuko home
Nisawa yanga hajawahi kuwa na mchezaji mwenye skills na talent tofauti na kukimbia kimbia mpira wa kizamani mfano huyo boka ukiwa njiani mwake hakuna mpira anajua nikukimbia TU skills ya mpira hakuna
Huyu Dosa hajielewi Yanga ipo bora ndo maana tunatengeneza nafasi nyingi angalia makipa wa upinzani wanakua Man off the match tukubali ubora wao on targeted nyingi Makipa wameokoa. Mechi na ken gold hatujacheza mazoezi tulikua safari mpaka siku moja kabla mechi uchovu na uwanja mpira haukubali njia zetu.
Ingawa mim ni simba ila dosa kuanzia Leo nitakuwa shabiki yako kama hautobadilika baki hvo hvo ongea mpira ushabiki tunakujua wew ni nyuma mwiko ukweli hubadiliki
Ao wapumbafu sana maana milaji shbki wasimba mbona uwa anasifia wachezaji wa yang lakini mlisha skia kuwa mashbk wasimba wamemtenga au kumwambia lolote maana huo ni mtazamo wamtu ueshimiwe
Dossa yupo mwanasimba anaitwa Mchome muda wote yeye anikosoa timu yake mpaka hizo jezi anazovaa kazikosoa vibaya vibaya NB: Jihadharini nae atawaharibia mipango yenu Yanga
MWAMBA KABISA HUYU KWA JICHO LANGU JAMAA HANA SIFA ZA KUWA UTOPOLO MAANA ANA AKILI KITU AMBACHO UTOPOLO HAWANA SIFA HIYO
😂😂😂😂😂 HUO NDIO UBAYA UBWERA DOSAAA
Watu ukweli awautaki funguka kaka
Dosa mm ni mshabiki wa Simba na apa naongea nikiwa mozambique ila naanza kukuelewa na naona unaendana na miraji
😂😂😂😂😂Yan Kuna hao wazee waliomzunguka dah wanamuangalia Dosa Kwa jicho fulan hasa anapoizungumzia Simba
DOSA yupo sahihi kabisa
Dosaa mtuu wa maaanaaa kabisaaa nakuelewaaa sanaaa
Jamaa anajua mpira
Ukweli usemwe
Mtangazaji jafe. Naomba. Naomba nipatie namba ya dosi pls
Tucheck Kwa namba ambazo zipo kwenye Video hapo chini... Familia
@@wispoti_tv KUMBE HAWA UTOPOLO WAMEKUWA VIBARUWA WA KUFYEKA VICHAKA NINA SHAMBA LANGU WAULIZE KWA EKA MOJA SHILINGI NGAPI SUPU CHAPATI JUU YANGU 😂😂😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE OYEEEEEE
@@HumudSalim-b3l 0758099136 WhatsApp number
Mzee Chembela roho inauma hapo😂😂😂
Eti mwaka mmoja duuuuuh njoo na akiri zako shekhe
Daaaaaah huyu jama kweli ni mtu wa football anajuwa sana mpira
👏👏♥️♥️♥️🔥🔥🔥🦁🦁🦁
Vipi mzee chembea umenuna kuskia dosa akimsifia mavamboo.??
Dosaaaa uko vizur babaaaaaasa
yanga msikilizeni dosa ananeno la msingi sana mimi nipo kenya lakini nimemuelewa sana
Dosa na miraji niwatu wampira kweli kweli .
Chembela leo hatokula dosa anamchoma sana
Hyu jamaa nimemuelewa sana leo
Dah huyu jamaa anajua mpira bhna
Utopolo subiri atimize miaka 35 nd mtamchukua mamaee
Yanga ishashuka mkitaka kuamin hili subirin trh 19october
Yanga wachezaji wamekufaa wote wamekufaa matumbo
DOSA LEO NIMEJUA WEWE UNAJUA MPIRA UMEONGEA FACT SANA, UBORA WA SIMBA NA KUPUNGUA MAKALI KWA YANGA
Dosa mtu wa mpira sana
Na bdo mtawataka wote mara hii ubaya ubwela😂😂
Dosa kweli mwamba ukweli umuweka huru mtu
Me mwenyew dosa namkubalii saivi ..anajua mpira nilikuwa simuelewi
Huwez usikalili vitu vilivyopita ubaya ubwela unawatafuna sana na mtalia kwa simba hii
jamn dosa ukumbuke tumecheza away na viwanja vya kule ni vigumu tunaendaga kule tunapoteza point ila wao wamecheza mechi mbili home kiwanja kizuri ngoja jumapili tuko home
Kama Dossa atakuwa akizungumza km hivi atakuwa mchambuzi bora sana, ameanza kujua kuchambua soka sio ushabiki
Nyie mlifata nini KMC na wakati uwanja mnao? Avic town chamanz
KOTE WANADAIWA HUKO 😂😂😂
Mshaanza kuogopaee😂😂😂😂😂
Ucjl Ateba akifikisha miaka 45 atakuja yanga na mavambo pia
Nisawa yanga hajawahi kuwa na mchezaji mwenye skills na talent tofauti na kukimbia kimbia mpira wa kizamani mfano huyo boka ukiwa njiani mwake hakuna mpira anajua nikukimbia TU skills ya mpira hakuna
Watu wameamua kutubu sasa😂😂😂
Saf dosa
Dosa nd wakumfundisha mapovu mpira, mm ni mwana Simba ila adi leo naikubali mechi yanga na mamerodi
Huna lolote
Mwamba unajua mpira
Umechanganyikiwa Dosssa sasa uwanja wa KMC unashida Gani sasa kutokujituma tu kwa wachezaji
Kwann sisi simba hatupataki Chamazi
Spit the fact... Mimi mwenyewe mnyama hila lile jitu la Hamisa ni nyoko Aziz K mwenyewe nahitaji acheze Simba one day
Alikamwe sindiyo Supasaa wenu
Huyu Dosa hajielewi Yanga ipo bora ndo maana tunatengeneza nafasi nyingi angalia makipa wa upinzani wanakua Man off the match tukubali ubora wao on targeted nyingi Makipa wameokoa. Mechi na ken gold hatujacheza mazoezi tulikua safari mpaka siku moja kabla mechi uchovu na uwanja mpira haukubali njia zetu.
Nakufatiliaga sana nikajuaga unaongeaga utumbo kumbe unahakili wasifiye ty ila amtowagusa subiri wasikie umri wachama
Dosa kumbe we mtu wa mpila kuanzia leo dosa mshabiki wako
Sasa si ndo vzuri simba akishinda dhidi ya yanga.
Uyu sio akili yake
Mpira mchezo wa wazi kunawakati tuwe wazi ili tujenge timu zetu
Hajasema mpaka mseme
Et ni Ina kikos Bora Africa wew bwege kwel na Al ahly watakuwa na Nini
Mchome alihanzaivyo
Hamchelewi kujitoa ufahau
Ubaya ubwela umeanza kuwaingia
😂😂😂😂😂😂😂😂 UMEONAEEE
Huyu shabiki ana akili sio akina mwalim yanga
Ingawa mim ni simba ila dosa kuanzia Leo nitakuwa shabiki yako kama hautobadilika baki hvo hvo ongea mpira ushabiki tunakujua wew ni nyuma mwiko ukweli hubadiliki
Umechanganyikiwa wew hukuwa ivyodosaa
ALIKUWA MUONGO KAMA WEWE AU 😂😂😂😂😂😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE OYEEEEEE 😂😂😂😂
Huyu nae choko tu anaongea pumba tu walivyofungwa waethiopia mbona ulikaa kimya lakini watu wa tanga hawa hawashangazi nyumba mganga nyumba.....
Ao wapumbafu sana maana milaji shbki wasimba mbona uwa anasifia wachezaji wa yang lakini mlisha skia kuwa mashbk wasimba wamemtenga au kumwambia lolote maana huo ni mtazamo wamtu ueshimiwe
Ni mchomepekeake
Ila huyu jamaa anaongea ukweli huo ndo ushabiki!!
Ndiokwanza leo huyu dogo nimuone anaongea mpira
Dossa yupo mwanasimba anaitwa Mchome muda wote yeye anikosoa timu yake mpaka hizo jezi anazovaa kazikosoa vibaya vibaya NB: Jihadharini nae atawaharibia mipango yenu Yanga
UTOPOLO WAMEKUWA VIBARUWA WA KUFYEKA VICHAKA UKITAKA ONGEA NAO 😂😂😂 LAKINI SUPU CHAPATI LAZIMA UWANUNULIE 😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE OYEEEEEE
Endelea kusifia wachezaji wetu mbwa ww
Umeupiga mwigi Doda
Sio doda sema dosa
Haka kajamaa Nako kamekuwa kama kamchome eti halali kuitwa sio kamwanachama
Hahaha mchomeeee
Hivi wewe Dosa gotofani zipo keeli kuna vitu vya kuongea hadharani pumbavu kabosa wewe