Kutaja watu wa uongo sio tiba Tengeneza watu wa kweli, automatic watu wa uongo wataisha.. Ukisemea kila wakati watu wa uongo ni kama nawewe unasaidia kuwatangaza badala ya kuwamaliza
Waefeso 4:11...... Nabii yupo hapa....Vipi hakuna Ofisi ya Nabii???? Unabii (Prophecy) si lazima iwe kutabiriwa tu. Nimeipenda kauli ya Pastor kuhusu "Mafanikio ni KANUNI zaidi ya KUTABIRIWA".. Ahsante sanaaa na Barikiwa.
UTUME ,unabii na uchungaji,waalimu ,wainjilisti zote Ni Karama za Mungu za kiroho zimewekwa ili kulijenga kundi la Mungu na kulitunza Liwe Salama na Karama izo sio offisi ivyo basi mazngira ya kuweka ofisi Ni sisi wenyewe ndio tunaetumia Akili zetu kufanya mazngira ya offisi ili kuleta kufanya huduma Kwa wepes Ila sio maelekezo ya Mungu ,Karama zimekuwa vyeo na wadhifa
Kweli kabisa baadhi ya wachungaji wamekengeuka , wanamtumikia shetani, kwa tamaa ya pesa na magari mazuri na umaharufu siku ya mwisho Yesu atawambia ondokeni cwajui
Huyu ni mwehu wa injili ,Hana akili sana na maarifa Hana .... Huduma zote zimeandikwa kwenye biblia na hakuna mahala ambapo Yesu alisema huduma za kinabii zimeondolewa ...... Hosea 4: 6 Watu wangu wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa
Wewe jitafakari sanaaaa wewe Mchungaji kama ofisi ya unabiii ilisha agano la kale kwanini uchungaji haujaisha una matatizo wewe soma biblia vizuri acha kutumia biblia kulinda mitazamo yako mitume wapo na manabiii wapo ungeongea kuwa ofisi hizi zimetumiwa vibaya ningekuelewa naomba uniambie waefeso 4:11-13 , na 1Kor 12:28
Jose ni mtu wa mungu kiukweli. Mlio karibu naye endeleeni kumtumikia mungu kwa kupitia huduma yake.
Ningependa Uwe kama baba wa kiroho kwa sabaabu ya ukweli wako hongera Sana pastor
Kutaja watu wa uongo sio tiba
Tengeneza watu wa kweli, automatic watu wa uongo wataisha..
Ukisemea kila wakati watu wa uongo ni kama nawewe unasaidia kuwatangaza badala ya kuwamaliza
Waefeso 4:11...... Nabii yupo hapa....Vipi hakuna Ofisi ya Nabii???? Unabii (Prophecy) si lazima iwe kutabiriwa tu. Nimeipenda kauli ya Pastor kuhusu "Mafanikio ni KANUNI zaidi ya KUTABIRIWA".. Ahsante sanaaa na Barikiwa.
Hongera mtumishi nimejifunza mengi
UTUME ,unabii na uchungaji,waalimu ,wainjilisti zote Ni Karama za Mungu za kiroho zimewekwa ili kulijenga kundi la Mungu na kulitunza Liwe Salama na Karama izo sio offisi ivyo basi mazngira ya kuweka ofisi Ni sisi wenyewe ndio tunaetumia Akili zetu kufanya mazngira ya offisi ili kuleta kufanya huduma Kwa wepes Ila sio maelekezo ya Mungu ,Karama zimekuwa vyeo na wadhifa
Mungu akusaidie umjue yeye kwa undani Sana
Nakukumbusha mtumishi kuwa, ELISHA pia aliua. Angalia aliua mtumishi wake baada ya kumzunguka kwenda kuchukua zile zawadi kutoka kwa Namani
Nimrkuelewa
Kweli kabisa baadhi ya wachungaji wamekengeuka , wanamtumikia shetani, kwa tamaa ya pesa na magari mazuri na umaharufu siku ya mwisho Yesu atawambia ondokeni cwajui
Sasa kuna mchungaji mkweli?
Kweli kabisaa hawa manabii wa kutabiri mafanikio ni wa ajabu Sanaa, wao wameona mafanikio ndo injili.
Kama amekubali kuwa nguvu ya uanguzi inaweza kuona nguo za ndani kwani nguvu yamungu isione kwa fahida ya muda huo
Ofisi ya unabii Iko wapi?
Huyu ni mwehu wa injili ,Hana akili sana na maarifa Hana ....
Huduma zote zimeandikwa kwenye biblia na hakuna mahala ambapo Yesu alisema huduma za kinabii zimeondolewa ......
Hosea 4: 6
Watu wangu wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa
PTV Umekosa watu wakuoji au ni uncle wako huyu jamaa? Eti akuna ibada ya kuchinja 😮
Ibada kuchinja ni waislamu
Injili inahitaji ukweli
Watu kama weweee