Mzidole Kakangu mkubwa naomba nikulize ivi kwa uhalisia wako uko ivi Kwa kusaidia watu au Ni movie tu Sina ubaya kakangu nimekuliza tu 🙏🙏🙏🙏ju Yaani kaka kila movie naipenda ju yako kwa vile unasaidia watu ❤❤❤🌹🌹🌹
@Mzidole wow🌹💓🫂yaani kaka nakuombea kwa mungu akusaidie uishi maisha marefu ili uendelee kusaisdia watu maana ni wachache sana wenye roho nzuri kama y kwako,ukiendelea na huo roho Basi mungu atakupa kila kitu utakacho mwomba maana una roho safi na moyo wa kusaidia wenzako
@all Mzidole Good actors Mzidole kipaji icho cha mzidole kimekufaa kabisa, Kimekufaa sana Kipaji cha mzidole kuwa muokozi wa siri na style zake ni Safi sana ni Good Actors. Namkubali sana Mzidole. Big up mzidole more fire
Wenye tunapenda mavazi ya hawa tkutan e apa maua kwa hawaa❤
Jamani mzidole uko vizuri pokea 🎉🎉🎉 yako
Kwa sasa hawa ndio mwigizaji bora wakike hapa Tanzania no more
Kuna huyu dada wa kuitwa Hawa,mie mwenzenu ananikosha sana ❤️❤️❤️❤️❤️ yan nmempenda bure
Aliefurahia hawa alivyokuwa akimuuliza maswali mzidole na kujibiwa ufasaha kama mimi anipe like yake
Anaitwa mzidole Mzee wa viuno mgando, watu kecha nawasha gari kateleza ❤❤❤ hawa nakupenda unavyo jistiri chukua maua yako
ILA mzidole utafika mbali sn hongera sna Nawapenda nyote kwakazi munazozifanya❤❤❤🎉🎉🎉💯💯🔥🔥👌❤️
Kazi nzuri sana ,nawapenda sana from kenya❤❤❤
Ila hawa umenifurahisha sanaa ulipomjibu mumeo kwa ujasiri alafu hapo ety huyu n dalali 😂😂😂 kakoso kazi unayo kaka
Super genious director kakoso salaam kutoka simalia one love bro🎉
😂Kakoso mambo yanaenda kuwa magumu sasa acha inyeshe tuone panapovuja hongeren kwa kazi nzur 🎉🎉🎉🎉
mashallah hawa kwa kujistiri allah akusimamie
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hawa mwanamke na nusu tungekuwa wanawake tuna misimamo kama hii alipojibu Hawa yaani wanaume wangekua na heshima ktk ndoa zao Hawa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kakoso uyo unaitwa ni mucezo wa ndani😂😂😂safaiiyi kimekuramba mkeo kaishajuwa kilakitu yani basi imekula kwako naucawi wako😂😂😂
Gonga like kwa super genius yan ball imeixh nae kaachia kitu pia gonga like kwaajil ya goli la seleman bwezi 😂😂alilo mtungua Diara leo 😂😂
@Tina-xr9lr hhhh noma gol moj la ken gold limebeba magor yot ya yanga 😂
Kudadadeki hakuna mimba tenaa😂😂😂😂
Nikiona tu picha ya mzidole kwenye move napata hamu ya kuangalia hiyo move nakuelewa sana mzidole🎉🎉🎉🎉❤
Waoooooh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 thanks
Wakwanza leo allihamdhulillah 🎉..alaf kazi nzuri Kakoso kazi inatoka kufuatana vizuri hongera saaana mkuuu🎉🎉🎉
Mzidole mzidole wapelekee 🔥🔥 hao wanga tuko pamoja na ww mpka uwakomeshe half huyo mganga wa mchongo ❤❤
Vraiment courage 🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩
Hawa mashallah ♥️..hongera sana zidi kujistiri wapendeza hatari🎉..❤from kenya
Muzidole kunabiti anakupenda amesema hawezi kuishi bila wewe,kwa kweli tunapenda unavyo cheza karata zako
🎉🎉🎉🎉 thanks 😂
Apa kuna Vita kali sana ya Msisi wa msisile na Mzidole wawa Zidole yote Tanga moja 😂😂😂
Maskini Hawa na Mwasi yaan Mzee Msisi😢😢😢😢
😅😅😅 ya leo kali kakosa kapigwaa zauso et haamini unasemaje wewe
Unga, Unga unga mwana hii nimeipanda Sana ❤❤
Team Mzidole tujuane
Mix by yas umesaau
Mzidole unaongeza radha ya kuangalia kweli pokea maua❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Heshima kwako kakoso from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Big up sana🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Mungu atubariki sote atuongezee kipato ili kila mmoja awe wa kwanza kusapoti vipaji vyetu sema Ameen🙏
Sasa kakoso ndie mchawi mbona mganga unasema ati ni Hawa.hawa chukua maua ❤❤❤❤❤❤ya kutunza sili usisae tena watakula
Mzidole Kakangu mkubwa naomba nikulize ivi kwa uhalisia wako uko ivi Kwa kusaidia watu au Ni movie tu Sina ubaya kakangu nimekuliza tu 🙏🙏🙏🙏ju Yaani kaka kila movie naipenda ju yako kwa vile unasaidia watu ❤❤❤🌹🌹🌹
Yeah kiuhalisia huo ND moyo wng ulivy kaka usjl hupaswi kuomba samahan siku zote mtu mwenye kutaka kujifunza Huwa ni mtu Bora San 🎉🎉🎉
@Mzidole wow🌹💓🫂yaani kaka nakuombea kwa mungu akusaidie uishi maisha marefu ili uendelee kusaisdia watu maana ni wachache sana wenye roho nzuri kama y kwako,ukiendelea na huo roho Basi mungu atakupa kila kitu utakacho mwomba maana una roho safi na moyo wa kusaidia wenzako
Mzidole kaka nakukubali sana kaka tuko pamoja
Jaman muwe mnatoa hata vipande viwili maana inogile😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Naomba like from saudi Arabia ...lock in
🌹❤ *Kwa mara yangu ya kwanza naombeni tumpe HAWA like kwakupenda kuvaa stara kwenye Tamthilia mbali mbali* ❤
Hakika anapendeza sana❤
@@MwanaidiMwenje haswaaa ❤✌
Hakika HAWA ni binti anajitambua sana
@@esterkimalio8846 kweli 🌹🤝🌹
🎉
Sina la kusema kaka Kakoso, zaidi ya kukupongeza. You're super brand big up.
Muvi kali❤️❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩 mungu akubariki sana Kaka wg kakoso 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳💋🌹
Ongezea dakika angalau zifike 20 ama 30 mkuu Kakoso
Hawa bo, na kakoso kikombe 🤣🤣🤣ani mwasi umeniweza kwa kweli aaaah… si kwa majina ayo
❤❤❤🎉🎉🎉 Kakoso,Hawa, mzidole n entire team
Saidi komba mwenyewe nipo apa mwanzo mwisho
😂😂😂😂😂😂Kakoso msimamo wote kujifanya mkali humu kumbe unakaa kwenye nyumba ya mke wako 😂😂😂😂😂😂
ila mzidole anajiona kama hii series yakwake vile 😂😂😂😂😂😂
Kakoso mpe hiyo sehemu ya uchawi mpe Sengo
Chawa wa mwasi shazna unakuponzaga lkn unakufa kufa kwa ajili yake🎉
Napenda san uandishi wako kakoso one day yes mangu akubaliki🙏
@all
Mzidole Ni habari Nene sana big up broo. Una acti safi sana.
Nakubal kaz nzuli san
Mzidole my favourite actor kwakweli. Anafanya kazi ipasavyo
Haya na leo tena sijachelewa sana jamanii
❤❤❤ much loove mzidole
Hawa mzuri❤❤❤❤
Mzidole nakupenda ❤ mmmh huwa unaficuwa Siri za wacawi
🎉🎉❤
@all
Mzidole Good actors
Mzidole kipaji icho cha mzidole kimekufaa kabisa, Kimekufaa sana
Kipaji cha mzidole kuwa muokozi wa siri na style zake ni Safi sana ni Good Actors. Namkubali sana Mzidole. Big up mzidole more fire
🎉🎉🎉🎉 thanks brother 🙏
Hapo kakoso na hawa mmetupiga hakunaga kijiti cha miaka sita ni mitatu au mitano ila jokes tu Hahaha big up super genius director😂😂😂😂😂
Atakuwa anaweka vya miaka mitatu mitatu viwili
hawa mwanamke anae jiheshimu
MZIDOLE MZIDOLE MZIDOLE 😅😅😅hatare sana mzidole wa wazidole kakutana na MSISI WA MSISIRI TANGAAA
Mzidole siwez ishi bila wew❤❤
😂😂😂❤
Asanteni sana kwa kitu kizitoo 🎉🎉 from drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Waoooo Asanteni❤❤❤❤kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
Dole Awaa nimeipenda iyo
Good nice one story brother kakoso 🎉🎉🎉🎉
Nimekuwa wa 29 na wakwanza leo from DRC 🇨🇩 congo 🎉🎉
Mzidole jmniiii 🌹 I'm waiting for you 🙏
Mzidole uko vizur chukua❤❤❤❤ zako
😂😂😂😂😂sa itakuaje hawa umeweka kijiti
Kaz nzuri xana karb babati
Mzidole kazi nzul sana 🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂
Mzidole uko fsurii brazaa😂😂
😂😂😂makubwa mimba ibebwe miez 9 bila kukua wacha wee mzee msisiri😂😂😂
Watoto wa kasongo vipi mpo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂
Tupo 😂tunalal humu tukiamka humu 😅😂😅😅😅
Tuta Anza maandamano hapa ndani kama hawata ongeza time 😂😂
Tialala😂 Tibim😂
Kazi safi 💥💥💥
Wangapi wamegundua huyo mganga n fake kaa Mimi ...gonga like tukisonga 😂😂😂
😂😂😂mganga na mchawi ni majina tuu wametofautiana huwa wanalindana😂
Aise kazi nzuri sanaa vijana mkaze buti ili tupate vitu vizir dada hawa unanifurahisha sana
Tulio furahi kumuona mr kawaida tujuane nampenda sana mr kawaida ❤🎉🎉🎉🎉
Manina hakuna mimba for the next 6 years 😂😂😂😂
Kazi nzuri kakoso
Huyu mganga ni mshenzi sana, ila Mzee msisili
Unae angalia ukiwa kitandani hi😂😂❤
Hi😅
Tupo😅
Naomba like za kakoso jamen
Movie nzur sn ❤❤❤❤
Nakukubali Sana mzidole
Sucesso para sempre Mzidole by Boy from Palma Moz 🇲🇿🇲🇿
Kali hii wananguu🎉🎉🎉❤
Tunaomba Black Day tolewe Ep mbili mbili kwa week angalau kidogo tuta lizika au munasemaje wenzangu
Kaka kakoso kimekuramba kijiti cha miak 6 eti unasemaje wewe 😂
Mwasi umepigwa tanga la macho
Karibu sana Naarabuk 😎😎😎❤️❤️❤️
Mm nampenda mzidole ❤❤
Jmniiii jmniiii 🎉🎉
Maua kwa hawa jameni🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Zungu nae mmbeaa😂😂😂😂
hakuna mimba tena 😅😂😅😂😅😂😅
Duh nimechelewa wa 114 nafunga mlango 😊
mganga safi sana tumejifunza kitu apo
16:26 maskin hawa anasingiziwa😢
Nami nimechelewa ilah leo musiniache 🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂Kumbe kakoso marioo 😂😂😂😂nmechekaaaaa
Safi sana mzidole
Kazi nzuri sana ❤❤
Big up mzidole 🎉🎉🎉 hayo am from kenya 🇰🇪