MUZAMIRU YASSIN AWAPA WACHEZAJI WAPYA UJUMBE MZITO/"MAKOCHA HAWANA BAYA/TUNASHUKURU"
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Kabisa inabidi waambiwe Kila kitu kuhusu Simba na karicha ya tiam kiujumra❤❤❤🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Hakuna namna Kila kitu tupush tu, Ubaya Ubwela#Simba nguvu moja#Let gooooooooo
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤
Simba ❤❤❤
Ujumbe mzuri sana 💪Ubaya ubwela.
Mzamir jitahidini kutufurahisha mashabiki mwakani mungu awatangulie
Well said mzamiru yassin
simba nguvu moja
Kupush............😂😂😂❤❤❤
Hapo mwshoni mbn km nimeckia Asante sana kibu
ASANTE SANA KIUNGO
Mzamiru a.k.a kupush😅😅😅
Unaonyesha umepiga tizi kweli!
Push
Mzamiru. Amepungua sana
Zoezi kari
Ana Push sana😂
😂😂jirani tupush na ligi yetu mtaani huku kibugumo tutoboe😀😀tupush jirani tupush tufike ligi kuu
Kiungo punda huna baya huwa unajitoa kwakwer tunakupenda sana nimvujaji jasho unajitoa sana mungu akulinde na ukujarie afya njema kuelekea msimu ujao
Tujitahidi kuwa na staha kwenye comment zetu tafadhali
Mwendo wa kupush tu
Mtu wa KUPUSHIII 😂😂😂
Mchawi wa timu
TUMESKIA ONANA NA FREDY WANATURUDISHA NYUMAA KAMAA VIPI WAFANYIWEE UBAYA UBWELA WAPELEKWE HATAA TABORA UNITED KWA MKOPOO
Misumali uache
Tatizo la Simba ni kupambana na propaganda kuwa timu yetu ni dhaifu.
Mzamiru umezeek kakaaa
Tupush tupush
😂😂😂😂
Kupush
Unapushi gogo au gari limekwama Muha ni muha2😅😅😅
Inainekana mazoezi yanaingia kiungo punda amepungua
Simba ni club ya kijinga sana. Sote tunajua simba day haiko kwa faida ya mashabiki.... Ni tukio la kutusahaulisha ujinga na upumbavu wote waliofanya viongozi misimu iliyopita, ni tukio lililotengenezwa ili kuuza sanda tu. Club serious haiwez kufeli kumsajili elie Mpanzu. Hapa siasa zinaendelea.... Inatosha, sitaki presha tena. Huu mwaka sichangi mchango wowote wala sivai sanda mimi. Pumbavu zenu
Hatutaki michango yako ... ikiwezekana hamia huko NYUMA MWIKO😮
😂😂😂 mashabiki wa yanga msije kukoment huku jmny
HUNA SHUKURANI WEWE
Hulazimishwi kushabikia. Ww haupo kwenye benchi la ufundi unajuaje ubora wa Mpanzu
Wewe umemsajir nani kwenye hicho kikos unachokidharau
Kwa mazoezi hayo trh 8 mtapigwa mapema tu.
PUSTI WEWE
Mzamiru a.k.a kupush😅😅😅
Mzamiru a.k.a kupush😅😅😅