🔴
Вставка
- Опубліковано 7 тра 2024
- JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 pmbet.co.tz/en/auth/signup?ut...
NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA HARRIER NA NISSAN X TRAIL
TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE UA-cam CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU
INSTAGRAM @pmtvtz
TWITTER @Pmtvtz
TIKTOK @Pmtvtz - Спорт
Msaliti Huyo hatumpendi aje YANGA aishie huko huko sawa na Tshimbi
Watazunguka kila Timu hizi za kawaida hadi waote sugu
Kwao hawarudi
Huyo anatamani aichezee YANGA
Mkweliii
Faridi mariki Musa mwamnyeto msiwaache wabaki yanga
Simpendi huyu choko
Hakuna jambo baya kama binadamu kutamka maneno kama Aya kwani unavyosema ivyo ata wewe hapo ulipo Kuna mtu akupendi pole sana Allah akukombie kwenye ilo inshallah
Alicho ongea sahih tz yunazarau vyakwetu
Una dharau Sana we dogo ndio maana unatapatapa sanaaa
Kaa kwa kitulia,si uliigomea Yanga na kukimbia?
Sasa kama yeye foreigner halafu anajiona bora na kuwaponda foreigner wenzake ana maana gani huyu mbona simwelewi. Ingekuwa hivyo timu zenye wenyeji wengi zingekuwa bora zaidi mbona wanasuasua
Unaongea vizur sana kijana
huyu mbona haerewk anavoongea mtangazaj unamoyo
Anaongea kama kameza chura, maisha yamemshinda kabakia majungu tu
Akituliza akili ataongea vizuri zaid😊😊
Chirwa una akili
Huyu jamaaa kajifunza kiswahili,,,
Duuuu mbotwasana huyu bwan
Amefika Tanzania zaidi ya miaka10 iliyopita,asijue kiswahili?,Huyu Ni Mzambia.
😂😂😂😂cjui nacheka nin uyu ety siwaogopi nawaeshimu tu kubwa akil akun sasa bora aishi na diarra ila diarra na kakulanyo mbwa wewe
Anachembe chembe za ukolo uyu bwege