"JAMII IMEKUBALI KUPOKEA MABADILIKO KUANZIA NDANI YA CHAMA,WAPIGA KURA MSIJIANGALIE NINYI PEKE YENU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 День тому +7

    Hongera mh. kwa kuongea hayo mimi ninapenda sana kusikiliza mameno matamu ya namna hii.

  • @nestor384
    @nestor384 День тому +7

    Msela mjanja sana big up, si upumbavu wa Yerico Nyerere
    Kama ni Alfa na Omega, alishakuwa Alfa sasa ni muda wa kuwa Omega

  • @kayombogregory8241
    @kayombogregory8241 День тому +3

    Hizo ndizo busara; Big up kijana, tena ongeza miwani ya pili, wasemelee ukweli.

  • @japhetlukumay2778
    @japhetlukumay2778 День тому +3

    Excellent

  • @JohnKatwanga-l1g
    @JohnKatwanga-l1g День тому +3

    Safi kijana maneno mazuri

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu День тому +3

    Hongera kamanda

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 День тому +1

    Asee Mungu akubariki sana sifa ya Mungu unampa mwanadamu

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane День тому +6

    Huku chini wote tunasema LISU

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День тому +5

    Mbowe kwaheri kila jambo linakwenda na wakati pumzika

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane День тому +3

    😮Tunaenda na Lissu

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane День тому +5

    Tunaenda na Lissu

  • @RevocatusKitambi
    @RevocatusKitambi День тому +3

    Kwel kabisa Kuna mzee mmoja alitoa KAULI mbovu sana mbele ya Mbowe et kinyago tilicho kichonga kweli?

  • @samwelyesaya1202
    @samwelyesaya1202 День тому +2

    Umeongea maneno ya busara sana kiongozi

  • @BoniphaceManyama-y2s
    @BoniphaceManyama-y2s День тому +3

    Tumekwisha amua nani anatakiwa mkutano wa nini tena Lissu ndio habari ya mjini

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 День тому

    Uko vizuri Brother

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 21 годину тому +2

    Yaani Sisi huku ni LISU LISU TUU

  • @DonaldMgohele
    @DonaldMgohele День тому +1

    Umenena hongera sana

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 23 години тому +2

    Nyie mafisiemu hammutaki lisu watanyika tunamtaka lisu kwa hiyo kakojoeni mlale

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 19 годин тому

    Hongela sana mkuu

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 День тому +2

    FAUSTINE MKOLIMWA...MBEYA MOJA

  • @Laluma2023
    @Laluma2023 20 годин тому

    Mbowe anajivua heshima mwenyewe kwa hiki anachokifanya hata cc wanachama tutaanza kuacha kumuheshimu. Kila uchaguzi ukifika anajiona bila yeye chama hakiko salama kitu ambacho sio kweli. Yaani mbowe hamuamini hata kamanda anayetembea la risasi mwili kwa ajili ya kikupigania chama na watanzania kwa ujumla wetu? Mbowe must go

  • @SabinahMboma
    @SabinahMboma День тому +1

    Nilikuwa naumia sana mbeya bila kutoa neno..Kwa Sasa nilisu.

  • @gwaluganosaiba629
    @gwaluganosaiba629 20 годин тому

    Kinyamana ujobhile isya mundumbula kyala akutule gwamyitu uswe tukulonda lisu atulongosye people's power.

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 День тому +4

    syo lema aliesema wakuja ngumi ni wenje

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 День тому

      Msikilize tena kasema wenye katuzalau kutuita wakunja ngumi lema ndio katupa moyo

  • @MwatijaFikoti
    @MwatijaFikoti День тому

    Kijana upon kanunu sana God bless you.

  • @DavidTuya-n8p
    @DavidTuya-n8p День тому +2

    Kamanda uko sahihi lakini yule jamma wa alf na omega looo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День тому +1

    Mashabiki wake wameona kuwa akiondoka na wenyewe kwaheri ridhiki hakuna tena

  • @fredrickkaaya6287
    @fredrickkaaya6287 16 годин тому

    Utaongea sana lakini atachaguliwa Mbowe kuwa Mwenyekiti na Tundu lisu kamwe hatakaa awe Mwenyekiti wa Chadema. Kwa kuwa ni kiumbe ambacho hakina shukrani. Yeye na wenzake pamoja na wewe unayeongea tangulieni mlikopanga kwenda kwani mnachelewa.

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 15 годин тому

      😅😅😅😅 chomoa paka mate chomeka itakuchuna 😅😅😅😅wakunja ngumi 👊🤛 tumechoka

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 16 годин тому

    Mashati ya vitenge huku kwetu ktk imani, Mungu anasema wamelaaniwa wanaume wavaao mavazi ya kike

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 День тому +1

    Kaka wewe akili kubwa sana

  • @mosesibrahimu-kg1ib
    @mosesibrahimu-kg1ib День тому +1

    Hongera kina unahakiri, sio mpumbavu kama yeriko nyerere, anazalilisha jina nyerere atumie jina la baba yake. Hajui lolote swahili yake yenyewe mbovu
    . Lisu ndo mkombozi wetu.

  • @EliaMhando-c4y
    @EliaMhando-c4y День тому +1

    Kwaniaba ya watanzania wrote tunasema niLISU tu

  • @cosmaskusekwa2327
    @cosmaskusekwa2327 День тому +1

    Wewe zinakusukuma kusema hivyo hizo pesa mlizopewa huko ugaibuni mhuu pesa hiyo inazungumuza

  • @samwelkadege8496
    @samwelkadege8496 День тому +1

    We jamaa uko poa sana nitakutumia Pepss upoze koo

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 19 годин тому

    UKO VIZURI SANA NAMPENDA MTU ANAYEFAFANUA VIZURI KAMA WEWE, HATA HECHE NILIMPENDA ANAJITAMBUA.

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 16 годин тому

    Hao sio mashabiki ni chawa wake wako kwa maslahi ta matumbo yao na vyeo vyao,

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 16 годин тому

    Mtieni adabu hyo Nkurunzinza

  • @AlphonceTemba-g4f
    @AlphonceTemba-g4f 21 годину тому

    kapigeni kura sasa sisi tunahusika nini

  • @suwedwakil4392
    @suwedwakil4392 День тому +1

    Hilo tu

  • @AlphonceTemba-g4f
    @AlphonceTemba-g4f 21 годину тому

    sasa mbona kama lazima awe Lisu na si wengine

  • @Valerianshad
    @Valerianshad 20 годин тому

    Sugu mbona hajaongea ana muunga mboye siyoo????

  • @AlphonceTemba-g4f
    @AlphonceTemba-g4f 21 годину тому

    hamuwezi kweli kumshinda Lisu mbona nguvu kubwa sana kwa ni kama Lisu anashinda subirini Lisu atauwa chama

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 День тому

    Lisu hawezi kuongoza kabisa anatumika kuuwa chama. Lisu tumeshamgundua. Mbowe amefanya jambo jema kugombea maana hataweza huu ni mzigo mkubwa.Kuna watu wanataka nchi iwake moto kama Msumbiji. Wananchi hawana tatizo ila wamedanganywa na Lisu anayemchafua Mbowe. Lisu alishatangaza chadema si baba wala mama yake, aondoke leo atakiongozaje leo! Hafai maneno matupu na ujasiri wa kuchafua viongozi. HAWEZI bora Wakiti PETRE KIBATALA anafaa.

    • @mosesibrahimu-kg1ib
      @mosesibrahimu-kg1ib День тому +2

      Anayetumika ni mbowe aliyetoka gerezani akaibukia ikulu.

    • @HaroldTarimo-g6f
      @HaroldTarimo-g6f 22 години тому

      Sasa we mungure ndio hujitambui kabisa huyo kibatala ametia nia ya kugombea?
      Au umelambishwa

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 День тому

    Ila chadema epukeni sana vyombo vya habari

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 День тому

    Same story😢😢
    Kura itaamua kama ndege.
    Mbowe zi b a masikio.
    Unahaki ya kugombea .Mbona mnashupalia Mbowe hivyo.
    Chadema chama cha hatari kwa taifa Futeni chama hicho😢😢

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso День тому +1

      Kwanini kisifutwe CCM kilichopoteza matumaini ya wananchi?

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn День тому

      Grace kagoma kwenda ccm naendelea kukufuatilia Hadi tarehe kieleweke 21

    • @HaroldTarimo-g6f
      @HaroldTarimo-g6f 22 години тому +1

      Duh leo grace kagoma unamsemea Mbowe
      Ama kweli siasa ni mchezo mchafu
      Ccm inamshabikia mbowe leo makubwa

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik День тому

    Sugu bado yuko njia panda

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 День тому

    Huo ndio wimbo wenu .

  • @AlphonceTemba-g4f
    @AlphonceTemba-g4f 21 годину тому

    Mbowe Akiamia TLP hapo chadema mtabaki makapi. Lisu apiti mnajisumbua

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 День тому

    Hawezi kuleta mabadili za ya kuwasha moto kama Msumbiji. Badilikeni acheni kushambulia watu wenye busara na akili nzuri mnabeba hasira

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso День тому

      Kwa akili zako unafikiri msumbiji ni wajinga kadri maisha yanavyokuwa magumu ndivyo wananachi wanavyozidi kupoteza matumaini viongozi wa CCM wakijisahau na kuendelea na ubinafsi ufisadi na kujilimbikizia mali usitegemee wananchi kuwa na matumaini na utawala wa CCM

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 День тому

    Vua miwani yako

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 День тому

    Huna lolote mavi ya paka ww! Uongee na watz gan ww? Sema uongoee na misukule wenzio na kama Mbowe ni mwamba ni kwako na misukule wenzio! Siasa hizo zinakupa nn ww? Ww ni mnafiki tu unampambaa weee halafu unaanza kusema umpokee ila ww akili huna! Kwa nn mnamlazimisha kupumzika? Akijiona amechoka atan'gatuka mwenyewe kwa muda muafaka