MASHIMO AMJIA JUU MKE WA CLEAR MALISA "HUYU AMETUMWA KUMCHAFUA MALISA " NITAPAMBANA NAE MPAKA MWISHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2023
  • #clearmalisa #sundayworship #wasafitv
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 10

  • @deuslmathias1631
    @deuslmathias1631 9 місяців тому +1

    Wachungaji msisemane. Unamkosea sana Mungu

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 9 місяців тому

    Bora mwanamke aondoke vizuri sana. ,manabi wa mchongo mmezidi mungu. Atawaumbuwa kwa yale. Mnayoyafanya

  • @adamjackson6580
    @adamjackson6580 8 місяців тому +1

    Mashimo habari ya Malisa wewe ayakuhusu tuachie Prophet wetu

  • @ndigwako
    @ndigwako 4 місяці тому

    Wala haijatengenezwa habari ni ya ukweli mtupu.... Wewe umeoewa zawadi ya spika na pesa ndo umejidai unakuja kumtetea huku khaaaa... Watumishi badirikeni mnauabisha mwili wa Kristo

  • @nyakahodenis1473
    @nyakahodenis1473 8 місяців тому

    Ni ukweli bwana kazaa na mshirika,na kama kalogwa kwa nini siombewe acheni ushabiki wa mambo ambayo wao wawili wanajua nini tatizo

  • @user-sj7fn1wt6d
    @user-sj7fn1wt6d 8 місяців тому

    Aliyeanza kwenda kwrnye vyombo vya habari na Malisa mwenyewe.Hujielewi wewe mkewe anajua walipotoka na kinavjoendelea.

  • @fredrickmapunda3110
    @fredrickmapunda3110 8 місяців тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣mashimo kalambishwa asali make wa Malisa anaitwa Rissa Mapunda Akina mapunda ni wanyakyusa?

  • @FiveFunny
    @FiveFunny 9 місяців тому

    Mbeya akunamwanamke wa kuoa uko kachemka bro