TANASHA akamatwa na kuwekwa ndani, Aponzwa na TAJIRI huyu wa Kenya, Atashitakiwa kwa makosa haya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 202

  • @OmanOman-iu7jf
    @OmanOman-iu7jf 4 роки тому +3

    Tanasha malaya kweli si anashinanda na daimondi daimondi humuezi mama tuli uleee mwanao muangaliee mwezi zari katulia kweli zari atakuwa mshindi tu

  • @thureyaseif7143
    @thureyaseif7143 4 роки тому +13

    Huyu msichana ana ujinga sana, wala hawezi kulea mtoto, chibu afanye haraka akamchukuwe mtoto wake, otherwise mtoto anateseka.

    • @lewalewa7509
      @lewalewa7509 4 роки тому

      Nakubalia Tanasha sio mlezi . Hana time na mtoto kabisa maskini Tom kaka 😷

    • @albs1448
      @albs1448 4 роки тому

      Arudishe mtoto

  • @kwejajunior1679
    @kwejajunior1679 4 роки тому +16

    siku hizi Mnaongea sana, Stori ya Dakika 3 mnaifanya mpaka 10 - 12 Minutes...

    • @reenesa
      @reenesa 4 роки тому +4

      Kweja Junior This is so true, mpaka ina bore.Wanarudiarudia sana.

    • @fisjaykitamuliko1183
      @fisjaykitamuliko1183 4 роки тому +3

      Kwelikabisa

    • @MohammedAli-vq2dk
      @MohammedAli-vq2dk 4 роки тому +2

      Mm sikilizagi mpk mwisho

    • @aishamsofe3274
      @aishamsofe3274 4 роки тому +2

      Kweja Junior mpk inakera kabisaa

    • @kwejajunior1679
      @kwejajunior1679 4 роки тому +1

      @@MohammedAli-vq2dk Mimi Pia, wanaongea sana halafu hawana Script na wanajiongelea tu, ila Bro Sky ana uzoefu hua anaongea stori maneno hayajirudii...

  • @mtumwaharunaally7255
    @mtumwaharunaally7255 4 роки тому

    Safi sana jeshi la polis Kenya uzuri wakwake fanyeni kazi kuwaokoa wakenya wengi kuliko huyu mmoja.

  • @halima23862
    @halima23862 4 роки тому +3

    Tanasha amezidiiiii kuhaika Tangia kuachana na Daimond

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 4 роки тому +4

    Pole sana Naseeb junior mum 😭😔

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 4 роки тому +2

    Ashukuru mungu ni Kenya ingekuwa Uganda angechapwa hadi asahau ustar wake.

  • @hellennjeri2431
    @hellennjeri2431 4 роки тому +18

    Amekaa tz akasahao serekali ya Kenya 🇰🇪 aitaki mchezo 😂😂 niulizeni mimi kutoka msa 😭😭😭

    • @mabyserolouchcraig2431
      @mabyserolouchcraig2431 4 роки тому

      Atatoka kednya nipesa tu everthing is imposble

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 роки тому +1

      Nani kasema Tz serikali inataka mchezo??? Unamjua Magufuli au unamsikia tu

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 роки тому +7

    Na hyo mfanya biashara aliye waalika pia akamatwe yeye ndo sababu

  • @najma3268
    @najma3268 4 роки тому

    Stress zimemponza huyu dada, ukweli ni kuwa tanasha ana stress toka waachane, hakuna mahusiano ambayo yanaweza kuvunjika halafu eti mtu unajifanya huna mawazo Na hufikirii chochote hiyo ni uongo, ogopa sana mtu anaeumia huku anacheka , mtu wa hivyo anaumia sana kuliko yule anaeonyesha , sasa yy anafanya shoo of ya kuwa yupo sawa lakin hayupo sawa huyu dada

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 4 роки тому +1

    Maabinti was siku.hizi umeondoka kwa mwanaume na mtoto wenu.unarudi kwenu matako hayakai chini.kama kiti kinamoto utaleaje mtoto ? Sasa hapo Diamond platinumz akitaka anaweza kuchukua full custody ya Nasseb Jnr na akashinda kesi Maana Tanasha toka smerudi Kenya Usiku yupo kwenye ma birthday party Hii Niya 2hata Eric Omondi alimuuliza Sasa nyie hamuogopi corona ? Mtoto siyo toy full time job Halafu bado mdogo sana .It's sad

  • @josephinelittle6623
    @josephinelittle6623 4 роки тому +2

    Hajatulia huyu msichana, ameshauliwa Sana atulie hasikii, anafanya Kila kitu kujionyesha na kutaka aonekane Ana life kumbe tunamuona mshamba furani huyo msichana Hana mafundisho mazuri, mama dagote alisema ukweli, mtu mzima Mama mwenye hekima, aliona mapema

  • @islandgirl4578
    @islandgirl4578 4 роки тому +2

    Sipati picha wakisikia kinajuma lokole na esma

  • @sabinadede9138
    @sabinadede9138 4 роки тому +4

    Tanasha hajielewi jamani alafu dharau ni lingi sana kwake

  • @najma3268
    @najma3268 4 роки тому

    Kawaponza wenzake , wote hao ndo kinadiva wanajua wanawazalilisha watu wao kumbe wanajizalilisha wao

  • @Kanicynjuguna
    @Kanicynjuguna 4 роки тому +12

    Ignored people 😒..Kaa ndani sasa. Kihele hele.🤣🤣🤣.wow..kenya wako serious sasa👏👏

  • @norawilliamshoo2588
    @norawilliamshoo2588 4 роки тому +1

    Never mind, but be careful next tym.

  • @perrybenson7188
    @perrybenson7188 4 роки тому +3

    Iknew she will land her self in trouble coz shez trying to prove

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 роки тому +2

    Atatoka tu kenya ukiwa na pesa everthing is impossible na hafungwi atalipa fin tu atoke.....vitu kwa ground ni tofauti....karatin atakaa tu kwake..

    • @islandgirl4578
      @islandgirl4578 4 роки тому

      Nyooo kwa pesa gani Hanna pesa yoyote anaranda tu

    • @princess-uf5ux
      @princess-uf5ux 4 роки тому +1

      @@islandgirl4578 wew unayo pesa fuck you Acha roho mbay

    • @islandgirl4578
      @islandgirl4578 4 роки тому

      @@princess-uf5ux Yani nimfanyie roho mbaya tanasha we vip aaache mbwembwe ajidai mjuaji kumbe paka tu

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 4 роки тому

    Alafu karantini Kenya naskia ni 9k per day after 14 days anadaiwa 126k ndo atajua hajui

  • @esadkulovic6777
    @esadkulovic6777 4 роки тому +1

    Usiku huo na mtoto bado mdgo,kunani dia usikae ukapare na mwanao hm,wakati utapita utapari mpka useme basi,huyo mtt wako nae ala ngumu maskini mola saidia,amezaliwa hukukaa mbio studio,umeshaachana na dye umerudi hm hujitulizi,vituko punguza hta kma uko depressed utaleta shda hta kwa mtt hapati malezi ya kutulia,tyri ashakosa baba nawe mama wajitia mtahiriko,jitulize usikose yote.

  • @aminajuma2981
    @aminajuma2981 4 роки тому

    Si kweli

  • @josej9888
    @josej9888 4 роки тому +2

    Tatizo kanajifanya kumuiga Zari kwamba kanaweza kufanya kila kitu, katapata tabu sana.

  • @frorenceetoile3016
    @frorenceetoile3016 4 роки тому +1

    Usiku ni mda wa mama na mtoto kusikiana kifukuto ila yeye usiku kuzulula akae ndani sasa ashukur awakumuchapa sawa sawa

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 роки тому

    Zari iko wapi yeèee babaaaa tanasha amuashiye zari.hajabu kweli maisha haya

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 4 роки тому +1

    Anapenda ku jionyesha uyo nae kwani asinge endesha gari bila ku jiposti?

  • @mtumwaharunaally7255
    @mtumwaharunaally7255 4 роки тому

    Viherehere karantini zitawahusu sana watulie wakiweza viongozi hawana masihara na corona

  • @risperjerotich8127
    @risperjerotich8127 4 роки тому +2

    not true

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 4 роки тому +2

    Ndo maana kaachwa una mtoto mdogo ju yanini usibaki nyumbani ukachunge mtoto wako?? Njomaana bi Sandra alikukata wamekatataa kutembeya ila kwa maana nitabiya yako yakuzurura ona leo kuzaaa nawapita njia ndo hasara zao izo hawakuwagi wanajitambuwa

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 роки тому +1

    Apo Diamond ajifuze kitu ju ya faida ya watoto wake leo alijuwa junior atakuwa furaha yake kube anamuweka muchida .hatarisana

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 роки тому +5

    Lkn nae aliyataka kwa nn alijipost?? Pengine police walimuacha sasa akajiumbua mwenyewe.🤔🤔🤔

  • @sismnfamily3426
    @sismnfamily3426 4 роки тому +4

    Aliyekuambia wasani wananyonyesha ni nani? Mungu saidia tu!

  • @halima23862
    @halima23862 4 роки тому +1

    Tanasha anajiuona kuwa ni Star Sasa ataweka makalio yake chini

  • @officialpriscillakiloko9811
    @officialpriscillakiloko9811 4 роки тому +1

    Pole cute girl yatapita tu

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 4 роки тому

    Acha bwana kumkejeli mwenzako mambo yake gani😀😃😄

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 4 роки тому +1

    Ndo hayo mambo ya kupost kila kitu... Yeye kama mtu maarufu wakimuacha watu wataiga sasa ni kiherehere chake cha kupost.!
    Vitu vingine vya kukausha wewe unapost aya aende kupumzishwa akili ikae sawa.

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 роки тому +1

    Wangem'beba wcb akabaki huko carantini yote labda mondi angemchungiya mtoto.

  • @millicentwangu4815
    @millicentwangu4815 4 роки тому

    Sns it's a lie she is fine don't believe everything you see

  • @leticiaelias7543
    @leticiaelias7543 4 роки тому

    Pole tannasha

  • @Juma_Content
    @Juma_Content 4 роки тому +8

    Kama wewe ni shabiki wa konde gang bonyeza link na usikose ku subcribeua-cam.com/video/ChTDGnwQMCM/v-deo.html

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 4 роки тому +1

    SIFA zinaponzaa mimwenyew nilijiuliza cfa zishamtokea matakoni...nanyie punguzeni kuongea....mshakuwa mnachoshaaa....

  • @therealafricana1372
    @therealafricana1372 4 роки тому +2

    😂😂😂Hajakamatwa wacheni uongo..Hebu angalieni mwenye birthday.hakuna kukamatwa hapo.ni wachochezi tu.

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 роки тому

    hatari kweli

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 роки тому +13

    🤔🤔🤔🤔🤔🤔inshallah ili naloo litapita 🙏🙏🙏

    • @ano959
      @ano959 4 роки тому

      In shaa Allah

  • @husnahemed3717
    @husnahemed3717 4 роки тому +10

    Pale unataka kumukomoa ex wako unajikuta unaingia matatizoni ujinga shida sana

  • @hahmadhabibu2076
    @hahmadhabibu2076 4 роки тому +2

    Apana cheza na serikali ya kenya NILIKAMATWA ETI KISA NILIPITA NJIYA TAFAUTI NA HIGHWAY NIKAFUNGWA 10HOURS SINTOSAHAU😝😅siku hiyo nilitetemeka aise lol ..NIKATOWA PESA NAKUACHWA BADA YAHAPO NIKAHAMA KENYA.....

  • @kiokorenei2623
    @kiokorenei2623 4 роки тому

    No one is above the Law. She would have kept it mum...

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 4 роки тому

    Pole dada

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 4 роки тому

    Unacheza na Pre.Uhuru wewe

  • @munaibrahim8829
    @munaibrahim8829 4 роки тому +1

    Akome asofunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu nabado lock imekuhusu😂😂😂 ungekaa uka nyonyesha mwanao wala yasinge kukuta

  • @glorynguma3593
    @glorynguma3593 4 роки тому

    huyu si ndo alisifiwaga kuwa hapendi mambo ya mitandao sahiv ndo kiongozi wao😂😂

  • @esadkulovic6777
    @esadkulovic6777 4 роки тому

    Hata watu wengine mbli,anaeza muambukiza na mtt nae bado mdgo mungu asijaalie yarrabi,mwaka wenyewe umetuingilia vbya na korona na ww wauzidisha,jitulize bby.

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 4 роки тому +2

    Mh huyu alikiua anataka kumkompa mtu ila imekua tofauti na matarajio yake

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 4 роки тому +2

    Atafumgwa kavana mwenyewe alifumgwa miaka kumi yani watu wakenya wanadharau sana mungu akutangulie

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 роки тому +1

    Ni madogo hayo.... Tanasasha yuko self

  • @abigaellapeta7182
    @abigaellapeta7182 4 роки тому

    Kila kitu Kina mwanzo na mwisho

  • @fatimamowa8166
    @fatimamowa8166 4 роки тому

    Mie nimesima huyu Tanasha si mlezy anapenda starehe

  • @Chillaxingpics
    @Chillaxingpics 4 роки тому

    Yani anafanya mzaha wakati huu? Mamayangu! Anachukulia huku bongo...wabunge wanajeshi magistrates wenyewe wanakamatwa...huku sio mchezo

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 4 роки тому +1

    KENYA KAMA ULAYA TUNAJIKINGA NA CORONA...TZ WANAFICHA.

    • @Lassana755
      @Lassana755 4 роки тому

      Hatufichi sie tunajiamini corona chamtoto tu haitushtui

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 4 роки тому

      @@Lassana755 wee usiseme ivo, yani usiombee ikupate trust me

  • @nashnelly4717
    @nashnelly4717 4 роки тому +1

    Hamna uakika na izi story coz tanasha alikuwa live jana usiku mchana yote amekuwa akipost😂😂😂 hivi iyo quarantined ni ya aina gani acheni story za uongo

  • @imakulatasumaye6818
    @imakulatasumaye6818 4 роки тому +5

    Tunataka mtoto wetu dai fanya mpango huyu hawezi kukaa na mtoto

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 роки тому +1

    Duh mtihan kweli

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 4 роки тому

    Atakua alilewa

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 4 роки тому +2

    Sasa kakamatwa peke yake? Mwenye party vepeee na waalikwa?. Yuko Quarantine kwa friend juzi alikua live na nandy akasema yuko huko . Ataachiwa tuu in sha Allah.

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 роки тому +1

      Ameshikwa usiku wakati MD WA kuwa nnje ushaisha wakampata barabarani

  • @halima23862
    @halima23862 4 роки тому +3

    Anahangailka sanaaaaaaaa

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 4 роки тому +2

    Zarau ndiy zimemponza uyo ukiwa unajiona wewe ndiy mremb wa taifa kila mtu umtawale ndiy ayo sasa

  • @officialzu3772
    @officialzu3772 4 роки тому

    Yakujitakia hayana pole😂😂😂😂yajao yafurahisha hivi na kwenya mnataka sifa kama wabongo🤣😉😭mgawe tu huyo mtoto maana kuputwa huku😂😂😂kwedraaaa2020🙄🙄🙄

  • @redibatafulai2583
    @redibatafulai2583 4 роки тому

    Mimi kamenisinya tu vile kamekuwa reluctant badala ya kutoa mziki ...nakapenda lakini kamaanza kuniudhi

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 роки тому

    😄😄😄😄ashukuru Mungu n Kenya ingekuwa uganda angeisoma no ya museven

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 4 роки тому +1

    Alitaka kiki ajulikane kapata kiki kajulikana sasa anautumiaje umaarufu alioutafuta? Twende kazi yetu masikio na macho.

  • @janepherkhisa1801
    @janepherkhisa1801 4 роки тому

    Uongo, umbea wa tz

  • @khadijaomar2723
    @khadijaomar2723 4 роки тому

    Hio ndio kenya yetu

  • @francismsami2169
    @francismsami2169 4 роки тому

    The problem with tanasha is that she is trying to show us that she is okay...

    • @perrybenson7188
      @perrybenson7188 4 роки тому

      Very true

    • @millyiemills
      @millyiemills 4 роки тому

      But she's OK. Hajashikwa. Alikua live jana na alidhibitisha. Na leo ako studio

  • @shanatafoxboy2454
    @shanatafoxboy2454 4 роки тому

    Diamond amsadie mama watoto wake aisee

  • @chalamossi6656
    @chalamossi6656 4 роки тому

    Yeye ni Staa kushinda Leo Messi mbon anatuliya kwa nyumba 🤦aleye kwanza mtoto 😁😁

  • @elizabethambani5896
    @elizabethambani5896 4 роки тому

    A mega wedding madam ....

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 роки тому +1

    Daah pole yake

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 роки тому

    Kama si SnS nisingeyajua coz Kenya hakuna media nyingi za umbea. Naibu Gavana alipelekwa Kotini aya nae na ayaone. Sasa na mtoto vp!!!😥😥😥😥😥😥

  • @masebtommy1863
    @masebtommy1863 4 роки тому

    Kwa Kenya walivo Serious huyo lazima awe ana covid19.
    And mashtaka yake lazima yampeleke Gerezani.

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 роки тому

    Kumbe nikuekwa tuu pahali... mmmh...mkanakazi Sanaa wa Tz

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 4 роки тому

    Kayataka mwenyewe

  • @masibosvlogmasibos9738
    @masibosvlogmasibos9738 4 роки тому +2

    Tnsh chil kiss 😍💪

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 роки тому

    Kenya basi 😒😒

  • @risperjerotich8127
    @risperjerotich8127 4 роки тому

    sns
    .... those are fake news

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 роки тому +2

    WHAT??

  • @thuwaibaabdallah6880
    @thuwaibaabdallah6880 4 роки тому +1

    Mh jamani amejisahau huyo anazani bado tupo Tz pole yake 😏

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому

    Uso lea ww tu na mrango haya ss zani hilo

  • @richardjilles4071
    @richardjilles4071 4 роки тому +2

    Duh pole yake

  • @jackiendambuki4788
    @jackiendambuki4788 4 роки тому +13

    Ujuaji mingi na ako na mtoi mdogo 😂😂😂😂😂

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 роки тому +1

      Change Mindset hahaha jamani

    • @jackiendambuki4788
      @jackiendambuki4788 4 роки тому +3

      @@veronicadaniel1122 I like her but for this a big no am a mother too no apology.

    • @sismnfamily3426
      @sismnfamily3426 4 роки тому +1

      Pole pole tu tutajua yeye, since we haven't heard the other side of the story. We are only supporting her coz her mum is kenyan sio yeye!

  • @funnyshitl673
    @funnyshitl673 4 роки тому +2

    First place baby

  • @aminaabdiabdi7112
    @aminaabdiabdi7112 4 роки тому +4

    Mmh Kwa Kenya hii vitu Kwa ground ni different pesa ndo kusemaa😂😂😂 labda ATA ametoka

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 роки тому

      Kwa hii Corona siku 14 zinamuhusu

    • @nashnelly4717
      @nashnelly4717 4 роки тому +1

      Hakuekwa ndani tanasha mwenyewe alikuwa live jana usiku😂😂😂 leo yote ashinda kupost video hakuwa kwa nyumba

  • @mishackjessy6870
    @mishackjessy6870 4 роки тому

    fake news style up sns .. mushaanza na nyinyi kuleta fake news without getting the facts..she is not arrested you should try to bring us the true story

  • @millyiemills
    @millyiemills 4 роки тому

    It's a lie.uongo. Yuko sawa

  • @johndieme6402
    @johndieme6402 4 роки тому

    Niriwabiyazirepombezakezitamupotezanarikuwanahakiritanasha

  • @mercymwanika9467
    @mercymwanika9467 4 роки тому +2

    Huyu naye anapenda scandal 🤨🙄

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 4 роки тому

      Akicheza atapotea. Ni ajitambue na umaharufu alio nao. AnaShida sana

    • @mercymwanika9467
      @mercymwanika9467 4 роки тому

      @@aaa64sa13 kabsaa nilidhani ana akili kumbe bado utoto unamsumbua mxiuuuuww 😏

  • @bibi-yk8ut
    @bibi-yk8ut 4 роки тому +2

    Aka ka tanasha kataleta makumbwa kwa mtoto wetu wa familia 🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤐🤐🤦‍♂️🤣🤣

  • @rehemasalim513
    @rehemasalim513 4 роки тому

    Anataka kumletea mtoto Corona? Huyu Tanasha si mlezi kama Zari, party za usiku za nn na una mtoto wakunyonya

  • @bittybitty2712
    @bittybitty2712 4 роки тому

    Awe pole litapita hili

  • @itNeza
    @itNeza 4 роки тому

    Unaona Sasa Umejichanganya Tanasha : Ona Matokeo Yake.

  • @sharifaabdulla1890
    @sharifaabdulla1890 4 роки тому

    🤣🤣🤣wamueke hata miez miwili huko karantini