In Loving Memory of Pastor Peter Brian Genya | 12 April 2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @julietelia3513
    @julietelia3513 Рік тому +1

    Pumzika kwa Amani Peter tunamshukuru MUNGU kwa ajili ya maisha yako yenye shuhuda nzuri mnoo.. hakika ulikuwa mtumishi mzuri mbele za MUNGU.. pumzika kwa Amani ndugu yangu🙏🏽

  • @jaspermtuya228
    @jaspermtuya228 Рік тому +1

    Pumzika kwa amani jirani yangu pale sinza . Lkn pole kwa dada yangu joyce na wanae henoko na purity

  • @heriwokovujacob9650
    @heriwokovujacob9650 Рік тому +3

    R.I.P brother Peter Genya. Moyo wangu unamaumivu makali sanaaaa... Naomba Mungu nimalize mwisho uliomzuri ili nikakuone kwenye vazi jipya. Nakumbuka mengi uliyonifunza ukiwa nyumbani. Umetufunza na kutulea kwa neno, ukali pia. Byeee kaka byee byeee uwiiii.... Machozi yanatiririka kama maji. bado tunakupenda mbonaaa!!!

    • @raccqa
      @raccqa Рік тому

      Bwana akawe faraja! Peter amekwenda kwa Kristo aliyemwamini na kumhubiri.
      Ikawe amani ya Kristo Yesu kwa wafiwa wote!

  • @tammyshawa9042
    @tammyshawa9042 Рік тому

    Poleni sana majumba sita kwakilio hicho nilikua namupenda sana muchungaji Peter lakini alichoamua mungu hatuwezi kuzuwia kinanacho tufulahisha zaidi mungu hakosei hutenda lilo sawa siku zote yeye nimwenye haki

  • @bernadetteshukuru9154
    @bernadetteshukuru9154 Рік тому

    Brather Peter Mungu akupokeye kwa Furaha tele na vingelengele nime faata ushuuda wako ume pinga vita visuri nina tamani sana nikuwe sujaa kama wewe ili nimuone Mungu pole sana kwa family yote Mungu awatiye nguvu
    E

  • @MbwanaJumanne-ez6od
    @MbwanaJumanne-ez6od Рік тому +2

    Pumzika kwa amani kaka Peter ,P.S.A Iringa girls tutakukumbuka daima😭😭😭😭😭😭😭

    • @ezekielmgaya6308
      @ezekielmgaya6308 Рік тому

      Anaumiza huyu kaka acha tu,sio P.S.A iringa girls tu but P.S.A yote tutamkumbuka

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga Рік тому

    Poleni wafiwa kwa ndugu mtumishi uyu wa Mungu amen 🙏

  • @nuhungewe8979
    @nuhungewe8979 Рік тому

    Pumzika kwa aman peter

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 Рік тому +1

    Rest easy man of God ,we will always remember you bro ,and thank God for your life bro 🙏🙏

  • @sophrinaassey3330
    @sophrinaassey3330 Рік тому

    I am so sad... 😢😢. Peter our brother rest in peace 🙏🙏. Vita umevipiga, Imani umeilinda...

  • @stephenkikoti9223
    @stephenkikoti9223 Рік тому

    Kazi ya Mungu Haina makosa. Tujapo kufa tukiwa na Yesu tunakuwa tunaishi. Hatupotei

  • @christophergenya7499
    @christophergenya7499 Рік тому

    Glory be to God

  • @marylilian4102
    @marylilian4102 Рік тому

    Mungu ni mwema 🙏🙏

  • @yustomroki1419
    @yustomroki1419 Рік тому

    Pumzika Mtumishi wa Mungu

  • @jilymwamanda7218
    @jilymwamanda7218 Рік тому

    Peter kweli ni wewe jamani mdogo wangu

  • @cathys1535
    @cathys1535 Рік тому

    Pumzika kwa amani kaka

  • @heriwokovujacob9650
    @heriwokovujacob9650 Рік тому

    Heri wafu wafao katika Bwana

  • @jaynahassan258
    @jaynahassan258 Рік тому

    Rest in peace brother🙏🙏🙏

  • @heriwokovujacob9650
    @heriwokovujacob9650 Рік тому +1

    Byeeeeee

    • @jacksonhusseinbukuru2548
      @jacksonhusseinbukuru2548 Рік тому

      Byeee baba

    • @ngwegwebulula3163
      @ngwegwebulula3163 Рік тому

      Poleni sana familia ya Genya kwa msiba huu mkubwa, nimeguswa sana na maisha ya Mch. Peter yenye utukufu. Bwana alitoa, na Bwana ametoa, Jina lake libarikiwe.

    • @agnesmambina1876
      @agnesmambina1876 Рік тому

      Dah inaumiza sana pumzika kwa amani PETER B.GENYA nitakukumbuka daima class mate wangu Mugumu p/school tumeumiaaaaaa