TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA LAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Wakazi waJiji la Dodoma wameendelea kumiminika katika Viwanja vya Nyerere Square na kutembelea banda la Tume ya Utumishi wa Mahakama kwaajili ya kupata elimu kuhusu tume hiyo. Elimu hii inatolewa katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria 2025 ambapo Kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma.

КОМЕНТАРІ •