Ndalini Media Solution Limited
Ndalini Media Solution Limited
  • 548
  • 130 888
RAIS SAMIA AWATANGAZIA NEEMA MAHAKIMU NA MAJAJI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameyafunga maadhimisho ya Wiki ya Sheria 2025, huku akiahidi kkuboresha maslahi ya Mahakimu na Majaji ili kuboresha huduma ya utoaji haki Nchini.
Переглядів: 89

Відео

WAKAZI WA DODOMA WAKOSHWA NA MAHAKAMA KWA ELIMU WANAYOITOA MITAANI.
Переглядів 2012 годин тому
Wakazi wa Jiji la Dododma wamezidi kumiminika kwenye mikusanyiko ya utoaji elimu ya Sheria inayotolewa na Mahakama ya Tanzania katika kuhakikisha kila Mwananchi anapata fursa ya ushauri wa kisheria. Elimu hii inaenda sambasamba na Wiki ya Sheria 2025, inayofanyika kitaifa Jiji Dodoma katika Viwanja vya Nyerere Square.
MITAA YA DODOMA YAITIKA KWA KISHINDO CHA MAHAKAMA
Переглядів 8714 годин тому
Wakazi wa Jiji la Dodoma wamejitokeza kwa wingi kwenye Gari la matangzo la Mahakama ya Tanzania kwa ajili ya kupata elimu ya sheria inayotolewa na Maafisa na Wada wa Mahakama mitaani. Elimu hii ya Sheria inatolewa ikienda sambamba na Maadhimisho ya wiki ya Sheria 2025 yanayofanyika Kitaifa Jijini Dodoma katika Viwanja vya Nyerere Square.
DPP ARIDHISHWA NA MABORESHO YA MAHAKAMA YA TANZANIA
Переглядів 4219 годин тому
Mkurugenzi wa Mashtaka Sylvester .A .Mwakitalu, ameipongeza Mahakama ya Tanzania kwa namna wanavyoendelea kupiga hatua katika Maboresho mbalimbali yanayofanywa na Mahakamani. Hayo yamejiri wakati DPP alipotembelea Maadhimisho ya Wiki ya Sheria 2025 yanayofanyika Kitaifa Jijini Dodoma Viwanja vya Nyerere Square.
MAHAKAMA YATINGA KITUO KIKUU CHA MABASI DODOMA KUTOA ELIMU YA SHERIA.
Переглядів 24719 годин тому
Mahakama ya Tanzania imeendelea kutoa elimu ya sheria kwa Wakazi wa Jiji LA Dodoma na Viunga vyake huku safari hii wakivamia kituo cha Mabasi ya Mikoani Nanenane. Elimu hii inaenda sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Sheria 2025 yanayofanyika Kitaifa Jijini Dodoma katika Viwanja vya Nyerere Square.
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA LAO
Переглядів 2221 годину тому
Wakazi waJiji la Dodoma wameendelea kumiminika katika Viwanja vya Nyerere Square na kutembelea banda la Tume ya Utumishi wa Mahakama kwaajili ya kupata elimu kuhusu tume hiyo. Elimu hii inatolewa katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria 2025 ambapo Kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma.
MAHAKAMA YATOA ELIMU YA SHERIA MITAANI DODOMA
Переглядів 7321 годину тому
Wakazi wa Jiji la Dodoma, wamefurahishwa kwa huduma ya elimu inayotolewa na Mahakama ya Tanzania Mitaani kwao. Elimu hii ni muendelezo wa shamrashamra za Maadhimisho ya Wiki ya Sheria 2025.
NIMEGUSWA SANA NA MUITIKIO WA WANANCHI WANAOTEMBELEA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA 2025.
Переглядів 46День тому
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mheshimiwa Dkt. Mustapher Siyani, amefurahishwa kwa namna Wakazi wa Jiji la Dodoma wanavyojitokeza kwa wingi kutembelea Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Nchini, yanayofanyika katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini humo, huku pia akiwapongeza watoa huduma kwa namna wanavyotoa elimu kwa ustadi mkubwa.
TUWAPONGEZE MAHAKAMA KWA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA 2025.
Переглядів 52День тому
TUWAPONGEZE MAHAKAMA KWA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA 2025.
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YAWAHIMIZA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LAO.
Переглядів 12День тому
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YAWAHIMIZA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LAO.
MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA AFURAHISHWA NA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA 2025.
Переглядів 44День тому
MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA AFURAHISHWA NA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA 2025.
TUNAJIVUNIA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE NA WATOTO KWA ZAIDI YA MIAKA 25.
Переглядів 25День тому
TUNAJIVUNIA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE NA WATOTO KWA ZAIDI YA MIAKA 25.
TEHAMA YASAIDIA KUPUNGUZA MALALAMIKO.
Переглядів 116День тому
TEHAMA YASAIDIA KUPUNGUZA MALALAMIKO.
MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA 2025 TANZANIA YAANZA KWA KISHINDO JIJINI DODOMA
Переглядів 20114 днів тому
MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA 2025 TANZANIA YAANZA KWA KISHINDO JIJINI DODOMA
MNAZI BAY DOCUMENTARY
Переглядів 633 місяці тому
MNAZI BAY DOCUMENTARY
MBOLEA YA RUZUKU DOCUMENTARY
Переглядів 203 місяці тому
MBOLEA YA RUZUKU DOCUMENTARY
PASS LEASING SUCCESSFUL DOCUMENTARY
Переглядів 313 місяці тому
PASS LEASING SUCCESSFUL DOCUMENTARY
KILELE CHA WIKI YA FEDHA CHAFANA MBEYA
Переглядів 583 місяці тому
KILELE CHA WIKI YA FEDHA CHAFANA MBEYA
ELIMU YA FEDHA IMEWAFIKIA WANANCHI WENGI MBEYA
Переглядів 243 місяці тому
ELIMU YA FEDHA IMEWAFIKIA WANANCHI WENGI MBEYA
TPDC IMESHIRIKI KONGAMANO LA 10 LA NISHATI YA JOTO ARDHI BARANI AFRICA
Переглядів 613 місяці тому
TPDC IMESHIRIKI KONGAMANO LA 10 LA NISHATI YA JOTO ARDHI BARANI AFRICA
MAADHIMISHO YA WIKI YA FEDHA MBEYA YAZIDI KUNOGA
Переглядів 303 місяці тому
MAADHIMISHO YA WIKI YA FEDHA MBEYA YAZIDI KUNOGA
WIKI YA FEDHA YAFUNGULIWA RASMI JIJINI MBEYA
Переглядів 633 місяці тому
WIKI YA FEDHA YAFUNGULIWA RASMI JIJINI MBEYA
WAKAZI WA MBEYA WAFURAHISHWA NA ELIMU YA FAO LA KUSTAAFU
Переглядів 323 місяці тому
WAKAZI WA MBEYA WAFURAHISHWA NA ELIMU YA FAO LA KUSTAAFU
PROF. HOZEN MAYAYA AFURAHISHWA NA KAULIMBIU YA NANENANE 2024
Переглядів 995 місяців тому
PROF. HOZEN MAYAYA AFURAHISHWA NA KAULIMBIU YA NANENANE 2024
PPPC - WAKULIMA NJOONI MJIPATIE FURSA ZA KILIMO
Переглядів 366 місяців тому
PPPC - WAKULIMA NJOONI MJIPATIE FURSA ZA KILIMO
TUULINDE NA KUUTUNZA MUUNGANO WETU
Переглядів 716 місяців тому
TUULINDE NA KUUTUNZA MUUNGANO WETU
TUMIENI NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Переглядів 886 місяців тому
TUMIENI NISHATI SAFI YA KUPIKIA
PASS LEASING YAENDELEA KUTOA FURSA KWA WAKULIMA
Переглядів 856 місяців тому
PASS LEASING YAENDELEA KUTOA FURSA KWA WAKULIMA
TUNAJIVUNIA UCHUMI WA BULUU
Переглядів 946 місяців тому
TUNAJIVUNIA UCHUMI WA BULUU
WAKULIMA WAFURAHIA MBEGU ZA MAZAO YA BUSTANI EAST-WEST SEED
Переглядів 1356 місяців тому
WAKULIMA WAFURAHIA MBEGU ZA MAZAO YA BUSTANI EAST-WEST SEED

КОМЕНТАРІ

  • @takelight6196
    @takelight6196 3 дні тому

    Tupen no z simu mm nahitaj nipo tanga

  • @HhBbh-tn5uh
    @HhBbh-tn5uh 3 дні тому

    Jani mwapatikana wapi naomba namba🙏

  • @HhBbh-tn5uh
    @HhBbh-tn5uh 3 дні тому

    Mm nataka

  • @AndCharls
    @AndCharls 5 днів тому

    Nice

  • @hawamkuzi8931
    @hawamkuzi8931 8 днів тому

    jina wetu mashallah mwenye zimungu akulinde

  • @MRKp-zk7xs
    @MRKp-zk7xs 9 днів тому

    🎉🎉

  • @Lizzydiana
    @Lizzydiana 13 днів тому

    👍🏽

  • @EmanuelJoseph-cx3hz
    @EmanuelJoseph-cx3hz 15 днів тому

    Mati ni pana

  • @NasraNasoro-z8j
    @NasraNasoro-z8j Місяць тому

    Mwizi mkubwa mungu atalipa

  • @DoricusGasper
    @DoricusGasper Місяць тому

    Makapet yananzia shingap

  • @DoricusGasper
    @DoricusGasper Місяць тому

    Makapet shingap

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 Місяць тому

    Upagani

  • @RaifatMilaji
    @RaifatMilaji 2 місяці тому

    Unapatikana wapi

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 2 місяці тому

    Mati super brand ltd 🤴🏆🏆🏆🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 2 місяці тому

    Mtangazaji na mtoa hoja, matumizi ya neno Neema mnalikosea, mnalinajisi!!! "Neema" ni kile kitu mtu anapata pasipo kukigharamia!! Ni.mungu tu ndo anatupa neema ikiwemo uhai na hii pumzi tunavuta bure. Kwa maana ya hoja yako hii kurekebisha pensheni za wastaafu siyo *neema* bali ni jambo fulani linaloendana na sheria na mazingira ya watu unaowaongoza. Jiepusheni na hili neno, siyo la mambo ya kimwili kama mnavyodhani. Acheni kunajisi NENO la Mungu

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 2 місяці тому

    Nani kama mati super brand ltd nikapuni bora Tanzania 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇦🇼

  • @epielamu891
    @epielamu891 3 місяці тому

    Mmmh hao chotara wa mahabara ndio hao Gmo siyo?

  • @KefaAjibu
    @KefaAjibu 4 місяці тому

    Video ya bilionea leizer 3:27

  • @SheyoZumba
    @SheyoZumba 4 місяці тому

    Mbeya mpo wapi

  • @selemanisalimu8377
    @selemanisalimu8377 5 місяців тому

    Mm nimevutiwa na hayo majani yanayo zuiya wadudu waharibifu

  • @Adamu-p1o
    @Adamu-p1o 5 місяців тому

    Nipo singida tanzania nitaipataje pia ni bei gan pia mashart yakoje

    • @Adamu-p1o
      @Adamu-p1o 5 місяців тому

      Naomba mnijibu niweze jua maana nahitaj sana

  • @HamisPaul-j2r
    @HamisPaul-j2r 6 місяців тому

    Nawapata sana , lakin mbona cpea au vipul vya iyo powe tella hujaweka waz upatikanaji wake

  • @HamisPaul-j2r
    @HamisPaul-j2r 6 місяців тому

    Kwan power tella n bei gani

  • @nassorjuny
    @nassorjuny 6 місяців тому

    Hatuutaki Muungano Zanzibar, msilazimishe utamaduni wa Zanzibar ji tofauti sana na bara kila nchi iwe huru kivyake tuwe majirani wema km mlivyo na Kenya au Uganda itoshe hiyo tu

  • @nevermwambela3719
    @nevermwambela3719 6 місяців тому

    Viruga Biocide ndo mkombozi wa wakulima Tanzania

  • @AbdulhamiduHamisi
    @AbdulhamiduHamisi 6 місяців тому

    tanzanite how much

  • @LindaUrassa
    @LindaUrassa 7 місяців тому

    Mbali na 77 mnapatikana wap duka lenu????cos wengne tuko mbali hatuwez fika hko

  • @zakayomtweve893
    @zakayomtweve893 7 місяців тому

    Nahitaji ila nipo mbali napataje

  • @tarrismediatz
    @tarrismediatz 7 місяців тому

    🔥🔥..

  • @Lizzydiana
    @Lizzydiana 7 місяців тому

    👌🏾

  • @MRKp-zk7xs
    @MRKp-zk7xs 7 місяців тому

    🤝

  • @MRKp-zk7xs
    @MRKp-zk7xs 7 місяців тому

    🤝

  • @Lizzydiana
    @Lizzydiana 7 місяців тому

    👌🏾

  • @aquilinemakoi2028
    @aquilinemakoi2028 7 місяців тому

    Mati ni pana

  • @MohammediAyubu
    @MohammediAyubu 7 місяців тому

    Je wanafunzi wapya wanaanz kijiung mwez w ngp

  • @Amani7160
    @Amani7160 7 місяців тому

    Napataje mkopo wa pawatila 16 hp naomba utatibu

  • @KassimSeifu
    @KassimSeifu 8 місяців тому

    Huwezi kusomea degree

  • @Waltergifty
    @Waltergifty 8 місяців тому

    Kama mtu hajafaulu mathematics

  • @Waltergifty
    @Waltergifty 8 місяців тому

    Ada shingapi

  • @Ahamadh-v1e
    @Ahamadh-v1e 8 місяців тому

    Mbn hamutaji bei zake munataja asilimia tu

  • @danieltelesphory
    @danieltelesphory 9 місяців тому

    Namba zenu please mbona hamtoi

  • @MsMollel-rw2tl
    @MsMollel-rw2tl 10 місяців тому

    SASA TUNAPATAJE HIYO ELIMU YA MIGOMBA?

  • @danielmwakatumaakimu1050
    @danielmwakatumaakimu1050 10 місяців тому

    Naomba mamba ya cimu ya Whatsapp.

  • @epnyagawa
    @epnyagawa 11 місяців тому

    Je Njombe maeneo ya Makambako Migomba inastawi?

  • @evelinamwaikambo2506
    @evelinamwaikambo2506 11 місяців тому

    Tari hoyeeee,

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 Рік тому

    Namba mbon hazieleweki weka namba

  • @AthumaniMchenje
    @AthumaniMchenje Рік тому

    Naitwa juma napatikana tabola naitaji pawatina

  • @AthumaniMchenje
    @AthumaniMchenje Рік тому

    Nitaipaja pawatila Mimi Niko tabola

  • @Lizzydiana
    @Lizzydiana Рік тому

    👍🏽👍🏽👍🏽

  • @ZabronGelald
    @ZabronGelald Рік тому