YOHANA 4:13-14 “YESU akajibu, akamwambia, kila anywaye maji haya ataona kiu tena; walakini ye yote atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi hataona kiu MILELE; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujikia uzima wa milele 🙏🏿🙏🏿
Jito hilo latoa maji mengi wala hayaishi 🥳
YOHANA 4:13-14 “YESU akajibu, akamwambia, kila anywaye maji haya ataona kiu tena; walakini ye yote atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi hataona kiu MILELE; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujikia uzima wa milele 🙏🏿🙏🏿
Ee Bwana nitakase unisafishe kabisa Ili nikauone ufalme wako 🙏
Nyimbo nzuri saana, Mungu aendelee kukutumia na kukubariki.
Barikiwa sana mtumishi katika kazi yamungu
The song! The person Jesus in the Song! Ooh the glory! Thank you pastor for this gift
Barikiwa Sana mtmish wamungu 🙌🏻
Barikiwa mpendwa. Huduma yako ni njema
AMEN Mtumishi Jito lililoponya wengi.🙏
Kazi yako Ni Njema Mungu Akubariki Sana
Ubarikiwe sana, kaka. Kazi zako zinatubariki
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Nyimbo imenibariki sana🙏🙏
Wahoooo! Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu.
Amina mtumishi ubarikiwe sanaa
Hongera Sana kwa wimbo niupendao Sana uzidi kubarikiwa Kaka yangu
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe na Mungu, nyimbo umeiweka kipekeee sana.
Aiseee Kaz nzur saaaana God bless you
Amen, kubwa kwa Bwana
Umebarikiwa sana sana sana
This song is a blessing, be blessed man of God 🙏
Ubarikiwe Pastor
Good song.. hongera sana pastor ombeni kwa kazi njema
Barikiwa Sana kwa Pana jito
Amen Mungu aendelee kukuinua Pastor
Mungu azidi kukutumia Pastor. Nimebarikiwa sana🙏
Much blessings to you my beloved brother!
It's a blessing song l really like it.
Hallelujah
Amen Ezekiel
47:6-12
Tuko pamoja
🙏🙏
Halleluyah,
Barikiwa sana mtumishi ujumbe mzuri Sana 🙏🙏 Subscribe to me