Hakika sitaacha kumsifu Mwokozi wangu Yesu Kristo aliye nguvu zangu, Mkombozi na Mfanya sheria wangu milele na milele apokee sifa heshima na utukufu katika jina la Yesu Kristo Amina ❤❤❤
Sauti ya wimbo huu ipo katika kitabu Tumuimbieni Bwana ikisema kila jicho litamuona aliye wambwa mtoni hakini hii ni neema ndg yangu Godwin ubarikiwe sana
Hakika sitaacha kumsifu Mwokozi wangu Yesu Kristo aliye nguvu zangu, Mkombozi na Mfanya sheria wangu milele na milele apokee sifa heshima na utukufu katika jina la Yesu Kristo Amina ❤❤❤
I woke up with this song on my mind. Kweli sitaacha kumsifu Mwokozi kwa yote aliyotenda na anayozidi kutenda.
❤❤❤❤
Hakika sitaacha kumsifu aliye mkombiozi wangu. Ni wimbo mzuri mno. Mbarikiwe sana watumishi wa Mumgu.
Tunashukuru mutumishi wa Mungu tunabalikiwa kwa Nyimbo. Mungu awajalie mupate Nguvu za kumusifu na kumwabudu from Congo
All the way from Kenya, loving this songs hakika ni nyimbo za kuinua Mungu
Nimebarikiwa Sana na wimbo huu
Inapendeza sana mwanangu kwa utukufu wa Mungu
In all situations,,,He will still remain the most highly God,,,,Amen
Ubarikiwe sana mtumishi
Kweli kabisa.
Mungu anastahili Sifa !
hakika sita acha kumsifu usiku na mchana kwa kua ametenda makuu mno mwaishani mwetu ,mbarikiwe sana watumishi
Sauti ya wimbo huu ipo katika kitabu Tumuimbieni Bwana ikisema kila jicho litamuona aliye wambwa mtoni hakini hii ni neema ndg yangu Godwin ubarikiwe sana
Yes Lord
Aksante sana Ruach Group keep it up
I will continue praising my God through out my lifetime 🙏
Nyimb0 zako ndugu. Zina upako
Good melodies be blessed anen
Sitaacha kumusifu muumbaji wangu siku zote za maisha yangu milele na milele.Amina
Haleluya!
Amen Mtumishi nimebarikiwa sana kwa wmbo huu nahisi kama vile tuko mawinguni tukippaa Bwana wetu❤❤❤
Hallelujah! Nyimbo hizi zinabariki sana, Mungu azidi kutainua maono haya!!
Sitaacha kumsifu Kila wakati.
😢😢😢Rest in peace mama idedicate this song just special for u mama wherever you are
I'm blessed with the song. Neema ako wapi Mwenye aliimba na pastor Fanueli Sedekia
Napenda sana nyimbo zote ...zinabariki sana...
Amen , sitaacha kumsifu amenitendea mengi hapa Duniani na mbinguni itakuwa zaidi. Barikiwa sana watumishi
Kikundi cha ajabu...wabarikiwa
Hakika sitamuacha kumsifu Mwokozi!! Kwa yote aliyotenda!!
Ata nikipitia mangumu sitaacha kukusifu na kukupenda mungu
We will praise God here on earth and in heaven we continue singing together with the angels of God.
hakika sitaacha kumsifu yeye nikilakitu kwangu
wimbo huu ni mzuri sana naomba kujua kundi hili sasa hivi liko wapi
Indeed!
I will cease not to praise My God🙌
Up
I learned this song at Kaimosi Friends Meeting in Kenya!
Glory be to God
Asante
Let us all praise HIM HE is a good GOD!
Halleluya 🙌
Truly I praise my father all days.
Mungu ni Mkuu
Made me strong wen ilost my husband 😢😢😢😢
God bless you
Ni kweli Mungu Muumba alinitendea mambo mengi.
Barikiwa
Mungu awalinde sana pia awaone mahali mulipo
Ongera mtumishi ombeni wimbo umenibariki sanaaa
Sitaaja kusifu neema yatosha good song
My wife's wedding choice song is powerful words
Awesome thanks
AMEN
I'll never cease to praise the good Lord my saviour
Ameeeen
So touching and uplifting songs thanks for the amazing work of God you're doing.....Listening from Nairobi
Amen Amen
Ameen
Huyu mtumish love so much
Seif Ayub Nasser Baqlan niko oman
Mungu awabariki sana
Mkombozi wetu ni wa kusifiwa daima
We❤kll LL l
Amen. Sitaacha kumsifu...
Let the love of God cover you
Thanks for keeping fire burning
Aminaa
Asante sana ,Mungu awajalie mema
Sitaacha kumsifu
Wow beautiful as usualy, keep the fire burning
Hakika
My god and my saviour amen
Keep on with the same faith in Christ guys!This song uplifts my desire to Almigty God.
😊😊😊
Powerful
staacha kumsifu
❤
Ubarikiwe
Sana
Amenii
God bless you and your ministry am really blessed 🙏
Amen
Amen
Zakayo. Ombongi Amen
Good work pastor Godwin Ombeni and Family, I Will never cease to praise our living God
I will live to exolt you lord
Glory to God I'm blessed
praise jesus
Amen 🙏
Hallelujah 🙏
the song real uplifts me
GOD bless you kwa nyimbo ya upako. Nimebarikiwa.
Uplifting song...... stay blessed singers
Ooooh be blessed my coworkers of Our Lord Jesus Christ
Amen. Great.
👏👏
Inspiring songs...
Ameen
Amen
Amen ❤
Amen