Watu wanaoishi maeneo hatari watakiwa kuhama katika saa 48

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Wakenya wanaoishi katika maeneo yaliyo kwenye hatari ya mafuriko nchini wametakiwa kuondoka katika muda wa chini ya saa 48. Mkutano wa baraza la mawaziri aidha umetangaza kuwa wakazi walio kwenye mitaa iiyo chini ya mita 30 kutoka mto Nairobi ikiwemo Mathare, pia waondoke la sivyo wafurushwe.

КОМЕНТАРІ • 62

  • @GloriaWewuda-eq2bc
    @GloriaWewuda-eq2bc 4 місяці тому +5

    mungu atuonekanie na watu Kwa hi dunia waseke maombi Kwa mungu tena Sana hi sio mvua yakawaido 😢😢😢

    • @shabankolia8204
      @shabankolia8204 4 місяці тому

      Watenda dhambi ndio hao tu hapo maumbwa sana

  • @jamesmwangi1415
    @jamesmwangi1415 4 місяці тому +4

    It is hard decision to the president,but vaa viatu zake,hawa watu wakiendelea kukaa huko mafaa yataedelea, sasa watu watumia akili zao waondoke, it is painful but president atafanya nini?

  • @kennedywabomba1851
    @kennedywabomba1851 4 місяці тому

    Mungu anaipiga dunia na hakuna taifa ambalo halitaomboleza msipo kusanyika kama taifa kwa pamoja na kumlilia Mungu kilio cha kulingana Mungu atawapa kisogo kwasababu ya ushoga, usagaji,ulawiti yani uovu umekuwa mwingi na kuyaruhusu haya mapigo ujue serikali haiwezi kusaidia haina uwezo sababu serikali ni wewe na watumishi wa Mungu you have failed Jesus Christ so repent for you sins na mrudieni Mungu na ataiponya nchi yetu.

  • @mufush
    @mufush 4 місяці тому +2

    Waende wapi? Si huko state house ,ya Nairobi, mombasa na hata eldoret kuna nafasi

  • @StephenKangala
    @StephenKangala 4 місяці тому

    Mungu tunakusihi tupunguzie mvua

  • @petersifuma8741
    @petersifuma8741 4 місяці тому +1

    Let the Government create emergency rescue centres.... people have to go somewhere.... they want to disperse them to nowhere......money was set aside for disaster management.. we can do better as a country.

  • @elkananaibei992
    @elkananaibei992 4 місяці тому

    To leave to go where and the funds meant for this is in .....

  • @user-ih4ps5po9o
    @user-ih4ps5po9o 4 місяці тому +1

    Wakiambiwa waame ni sawa but waende wapi waongoze

  • @robertkimani2420
    @robertkimani2420 4 місяці тому +5

    Wapelekeni kwa affordable housing zenye mlisema mtajenga na kifua na hamna mbaka pesa zakulipa madaktari

  • @ThomasWachira-vu4nc
    @ThomasWachira-vu4nc 4 місяці тому

    Jeremy Damarls

  • @ndukumwendwa-jq7fq
    @ndukumwendwa-jq7fq 4 місяці тому

    Maoni yangu ni serikali ichukue jukumu ya kuwahamisha na kuwapeleka mahali save plz.

  • @lenaatieno508
    @lenaatieno508 4 місяці тому

    Seriously watoke waende wapi

  • @shadrackkaremu782
    @shadrackkaremu782 4 місяці тому

    0:22

  • @elfasaluda9640
    @elfasaluda9640 4 місяці тому

    Life is very hard they want them tuco where they have to provide to them God

  • @introvert-14
    @introvert-14 4 місяці тому +1

    Government should help those people na place ya kustay na food until they settle back in their places after the floods. Sa kuwaambia waende alafu after kuenda??

    • @simonomolo1016
      @simonomolo1016 4 місяці тому

      Wengi wao wanaishi kwa njia ya maji. Then wanasumbua GK. Huku Nairobi wakikuyu wamejenga kwa njia ya maji.

  • @annekariuki4734
    @annekariuki4734 4 місяці тому

    Kiambu near ruiru river near agape bridge and down river is dangerous .please people hameni kindly

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 4 місяці тому +5

    Waende WAPI ama mshawatafutia mahali pakuishi Prezzo think kama mwanadamu

    • @FULANDAALEXANDER
      @FULANDAALEXANDER 4 місяці тому

      Zile affordable houses wamejega tangu waanze kukata watu pesa, siwapee hawa Kwa sasa

  • @patrickmurunga4820
    @patrickmurunga4820 4 місяці тому

    Ask the donor countries through the embassies to give financial support

  • @johnonkoba740
    @johnonkoba740 4 місяці тому

    Watahamia wapi!! Sometimes. But where are they been all this years, again how come people are living where water are supposed to pass

  • @Morrismutembei-sl2tq
    @Morrismutembei-sl2tq 4 місяці тому +1

    Hizi siku serekali inakupea 48hours kuama kwako

  • @rodgers3215
    @rodgers3215 4 місяці тому

    Waondoke waende wapi?? Are you rehousing them temporarily? Gava ya ma hustler!!

  • @diackomwansu660
    @diackomwansu660 4 місяці тому

    What is this madman saying? Waondoke waende wapi? Have you given them alternatives? 😂

  • @Shaheeda-fn2pr
    @Shaheeda-fn2pr 4 місяці тому

    Can the government, as an emergency measure, set up strategic sites such as schools to house the evacuees? Put up portable toilets. Army vehicles to transport victims to these centers. A nationwide plea for mattresses and blankets cutlery, and other basic essentials to be delivered to central locations, Same location to collect food items. We are willing to donate but to where exactly??? Army to be deployed to oversee the evacuation process. This should have been in place 2 weeks ago. If Eric Omondi could literally singlehandedly commissioned boats to evacuate people, what is this government waiting for???

  • @GladysMoraa-og5hn
    @GladysMoraa-og5hn 4 місяці тому

    Waende wapi...?

  • @Benjaminkakamasha662
    @Benjaminkakamasha662 4 місяці тому

    Kuhama ni pesa na wengine atunazo

  • @Faithchepo2166
    @Faithchepo2166 4 місяці тому

    Woyeee mutyooo

  • @MaulidiRashidi-ry9et
    @MaulidiRashidi-ry9et 4 місяці тому

    Give them a place to go not to force them to go where they don't know!!!

  • @reginamuthoni2484
    @reginamuthoni2484 4 місяці тому

    Wahamie wapi?

  • @monicahjoseph1476
    @monicahjoseph1476 4 місяці тому

    Kuondoka wataondoka ndio,lakini wakimbilie wapi jamani 🤔you got a bunker for them???

  • @user-yk2bo5dq3j
    @user-yk2bo5dq3j 4 місяці тому

    Sasa tunataka kuona Ile mamilioni wanasemanga wametenga ikifanya kasi

  • @awinoatito379
    @awinoatito379 4 місяці тому

    Wnaama waende wapi

  • @josephmuiga-gx8vu
    @josephmuiga-gx8vu 4 місяці тому

    Na wale wamejenga Shauri Yako Embu?

  • @Faithchepo2166
    @Faithchepo2166 4 місяці тому

    Shida ni mbaya saaaana

  • @geoffreymoore2575
    @geoffreymoore2575 4 місяці тому

    Waende wapi,,, mr prezzo hii ni kusaidia ama ni kuleta shida juu ya shida

    • @norahk6587
      @norahk6587 4 місяці тому +1

      Acha basi wakae wabebwe na maji kesho mkuje kusema serikali ni mbaya, hii ni mvua sio politics

  • @shabankolia8204
    @shabankolia8204 4 місяці тому

    C mjenge mahali wataenda ussles government ever

  • @dominicmusesya6428
    @dominicmusesya6428 4 місяці тому

    Waendie wapi

  • @alicewambui4474
    @alicewambui4474 4 місяці тому

    Watahama waende wapi aki😢😢😢😢😢

  • @leahgituku3035
    @leahgituku3035 4 місяці тому

    Waende wapi muwajengee nyumba

  • @immaculatenzisa9038
    @immaculatenzisa9038 4 місяці тому +1

    Waende wapi

    • @aishawangui-pr4ye
      @aishawangui-pr4ye 4 місяці тому

      Swali langu waende wapi ..serikali ingewatengenezea mahema mahari wanajua ni salama na wawape Malorry ya kuhama

  • @mustafa5516
    @mustafa5516 4 місяці тому

    Mimi siendi mahali popote heri nife munizike

  • @manasseskamau5327
    @manasseskamau5327 4 місяці тому

    Waende wapi? Wengi wanaoishi maeneo hatari hawana uwezo wa kuhama.

  • @patrickkariuki9542
    @patrickkariuki9542 4 місяці тому

    Zakayo anasema nini ama ni pr

  • @harunaotieno2893
    @harunaotieno2893 4 місяці тому

    ..Ametoka magazi hayo...wametoka waende wapi ....poor government...si basi hata mtenge maeneo maalum kama mashule ama viwanja ...48hrs mnafaa kuwa mmetoka ama mfurushwe...hauna hata adabu

  • @jmansule7884
    @jmansule7884 4 місяці тому

    Mtalinda malizawatu au zitaibiwa

  • @Mylife-g4u
    @Mylife-g4u 4 місяці тому

    Jesus waede wapi ghai

  • @johnoleheshima2142
    @johnoleheshima2142 4 місяці тому

    Government peana Pesa za kuhama, because the emty speech cannot help.

  • @alfanmwatamu9030
    @alfanmwatamu9030 4 місяці тому +1

    Waondoke waende wapi?? Serekali inafaa kuaangalia pale watapeleka raia wake sio kuwa furusha😢

    • @kukuzambawazambanga
      @kukuzambawazambanga 4 місяці тому +1

      Wakibaki huko wataishi wapi😭😭
      Kama si kufa just ondoka hatutaki kukupoteza Wacha kubishana
      Safety first mengine badaye

    • @monicanjoroge8842
      @monicanjoroge8842 4 місяці тому

      Wewe unaweza ambia mtu kitu cha maana Akili zingine nashukuru mungu hakunipatia. Za kufikiria kwenye utaenda na unaambiwa kifo inakuja. Wataenda mahali pema peponi basi..

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 4 місяці тому +1

    Kabla useme wahame ulitakiwa kam raisi kuwatengea sehemu mbadala Kwanza

    • @shhjab3621
      @shhjab3621 4 місяці тому +1

      Yes I agree with you

    • @monicanjoroge8842
      @monicanjoroge8842 4 місяці тому

      Basi wakae. Walale kabisa wangonje serikali iwatoe huko.

  • @simonnjaumumbi7477
    @simonnjaumumbi7477 4 місяці тому

    Zakayo anakunywa chai akitembea