Dah! Nimekumbuka mbali maana kuna ndugu yangu mmoja alikuwa anakoroma pamoja na kuota akiota anaweza akawqfanya mkakimbia nyumba maana anaweweseka balaa
Movie ikishakuwa na shida huwa tunaambiwa tutoe. Sasa mtu akikataa na movie yake huwezi kufosi. Ndio maana unaona naweka kitu kingine naachana na mali ya watu maana tumeshindwana biashara
The Mermaid Episode 2 : ua-cam.com/video/HsREVWZZz-8/v-deo.html
But we miss the land of war
Dj daah uyo kijana wetu handsome asiyetaka kuguswa ameshafarikii mwaka jana inasemekana alijiua😢
Niko mugeni from Congo, nikaribisheni kwa like😂😂😂
Dj ni vizur ukatuwekea vipande vitatu mwanzo mwisho ili tujue siyo kubadilisha badilish utapoteza ubora wako wa kazi
Kweli hata mimi na anza gucukia
Mimi ni mgeni hapa naombeni makalibisho😂😂❤❤❤
Kalibu😘🥰💓💘❤😊
Dj uwe watumalizia move yote please kama lost kingdom ❤❤❤❤❤❤
Uyo kaka ambaye alikutana na uyo dada baharini pia ni mmiliki wa hiyo hotel amefariki 😢
Hizi ndo move zangu sasa❤❤
Na mimi pia izi ndo move zangu❤🥰🙏dj
Sawa dj asante sana kwa kutuelewesha na hii ni nzuri pia 🎉🎉🎉
Dj unafanya poa sana wa kwanza kutoka kenya ❤❤ tuletee episode zaid
Dahh man uko vgood😊😊❤
Dj niunge ktk group lako movie nzr mashallah
Dj natokea congo lakin uyo kidjana anaye itwa WOO-HYUK tayari alisha kufa picha zuri lakini inatiya uruma kwasababu ya WOO-HYUK😢
Nimeipenda hii movie❤❤
Waooo, DJ, uko, bomba,kinyama, na, move, zako, penda,sana, wew, lulu, Niko, oman❤
Mm rafik mpy jaman
Dj wetu mbona umetuvuruga Brother 😂😂😂 maliza kwanza ❤❤❤❤❤
Mimi pia nimgen jaman
Safii DJ wetu Kazi nzuri twende nalo
Dj nahitaji mwendelezo wa prince li
Wanimaliza hivo unavofafsiri two🎉🎉🎉
Thanks dj movie nzuriii🎉🎉❤❤❤
Hatuvioni vipande vingine dj
Dah! Nimekumbuka mbali maana kuna ndugu yangu mmoja alikuwa anakoroma pamoja na kuota akiota anaweza akawqfanya mkakimbia nyumba maana anaweweseka balaa
Waooooh dj tup mamb 🎉
nashukuru leo ni meku wa sita.nakubali Dj wetu
😂🎉😊
Jina la move
Dj uje basi utafisiri season ya ashes love
❤❤❤❤mambo niyapendayo utanimalizia MB zangu dj weee😂new comer nikarikibishen🎉
Jamaniii moon bii uyu kaka aliyekuwa baharini kama anataka kuzama ni marehemu kafariki mwaka jana ripoti inasema alijiua😢😢
😂😂😂
@@MariamIddi-g6h ulichofurahi uyo kaka kufaa au?
Dj inavituko unafanya mv iwe nzuri
Jamn DJ movie ya land of war ni nzur sana
😂😂😂😂😂😂😂😂Nimecheka balaaa
Mbona vipande vingine hatuvioni dj
DJ naomba niwe napata movie zako no nzuri sana
Asante dj nakupenda bure
Nataka muendelezo
Wakwanza toka DRC nipeni like zenu please😂😂❤❤
😅😅😅shoga ana hamu 😅😅😅ila we ni noma sana DJ
dj tuletee na move za kichawi
Hiii ni tamu sana ❤❤
Asante dj ikosafisana ❤
Hii pia ni nzur San nimeipenda ya nguva mtu❤❤ asant dj wetu mwedelez Zaid
Najikuta nacheka kwasauti mbele ya boss kwailo ndoto yakupiga fujo😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni mzur xn dj 🌹🌹
Jamani mimi ni mgeni natokea tanga naitaji rafiki
Rafik wann
@@jumaelimu9883 🙄🙄
Nifanye rafiki,nipo mwanza
Mm hapa nikuwe rafik mwema kwako
Rafki wa nn
😂😂😂😂😂dj umejuwa kunifuraisha kweli 😂😂😂😂
Jmnii mmi nimgenii naombaa mnikalibishee jmnii
Muendelezo dj ❤
DJ Una tuvuruga sana
Oooh nimeipend san Dj jamn
Dj mbona unaput kitu kipia nazingin bado unatuchang DJ wetu 😢😢😢😢
Movie nzur sanaa
kila move nakukuta shost 😂 tuwe marafik 😂❤
Dj vipi.
Dj basi tuekee love and redemption..kiwa zile nyengine zilileta shida
Safi
mr hii ni kali san
Iko poa ❤🙏
Hodi hapa ndan jaman
Dj jamani mbona hautumalizie movie maliza kwanza ile ikiisha njo utuwekee nyingine😢😢😢😢😢😢
Ujaelewa alivyo andika juu kuwa wenye movie awataki ziwekwe UA-cam soma juu
Daah huyu mwanaume nguva ashafariki R.I.P
Dj jamani ❤
Miss you Moobin 🕊️🕊️
❤❤❤kazi nzr
Wow such a nice movie
Nzuli sana
Jamani MV kali kinom
pamoja san
Nimechelewa
jamanieee mi mgeni nipeni like😊
Duu kumbe mambo mazuli yapo uku
Bien sana 🥰
Lafiki Wakike au wakiume
Hakina inachkesh
Dj utuleteye yaki indie
Waooo dj kaz nzur gift kutok tnga
Oyooooooooo asante sana dj wetu
❤
😂😂😂😂😂
thank you
🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂 so funny 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dj ❤❤❤❤❤
Mbon ile ajatsiliwa
Dj ongeza sauti yako
Dj unatuchanganya ssna ss hivi kosa letu ni nini tuambie
Nimewahi dj ahsant
M pia ni mgeni naitaji rafik mzuri
Ndo movie zangu izi
Land of war bado hata vipande 5 sasa tena mpya,dj 😢😢
Dj ile nyingine umei broke?ebu twendereye ile nyingine dj please
naitaji nijiunge
bakr mbwela my hii ni kal
Dj huna baya
Maashaallah
endeleea kutililish episod
Toa no za what app
Sasa DJ mbona atukuewi tubaki Wapi Sasa
Dj mbona unatuchanganya jamani kila siku unatuvadilishia
Movie ikishakuwa na shida huwa tunaambiwa tutoe. Sasa mtu akikataa na movie yake huwezi kufosi. Ndio maana unaona naweka kitu kingine naachana na mali ya watu maana tumeshindwana biashara
@@iammichaellukindousijal dj binadam njo tulivyo hajui ugumu wakaz yako😊
Mashaal ❤❤❤😂😂🎉🎉🎉😢
R I P Moon bin 😢
Ndio yupi alie kufa
Huo steringi woyuki
Fine
magomeni mapipa😅😅😅😅😅😅