Hongera walimu kwa kazi kubwa mliyofanya.Allah ndio atawalipeni kwa juhudi zenu pia sio mbaya kwa serikali kuanzisha Award kwa Best teacher of the year kwani hata walimu wanahitaji motivation katika jamii kwani walijinyima raha,waliziacha familia na kuhakikisha malengo yanafikiwa. KEEP IT UP .
Nakubal kaz kipez mashaallah
Mashallah kaka umefanya vizuri sana hongera sana sana
Asante
Hongera sana MashaAllah
Hongeren 👏👏👏
Shukran
Hongera walimu kwa kazi kubwa mliyofanya.Allah ndio atawalipeni kwa juhudi zenu pia sio mbaya kwa serikali kuanzisha Award kwa Best teacher of the year kwani hata walimu wanahitaji motivation katika jamii kwani walijinyima raha,waliziacha familia na kuhakikisha malengo yanafikiwa. KEEP IT UP .
Mashallah
Bingwaaaaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 doh balaaaa
Khatar sana
Wa kwanz rashid hamad mashallah
Good work! MashaAllah
Kazi kubwa bingwaaa
Shukran sana kwako pia
Mashaallah kaka ake ❤❤❤
Hongera 🙏
Hatari kijana
vittah
🔥🔥
Maashaallah
Saw mwalimu wangu
Nice
Umi omar mmb
😘😘😘❤
Wee mtu khatwaar utatuuwa 🤣
Aaaah mwalimu wangu me ni mdogo sana
@@rashidzunguaqaz watu wakubwa mara. Nyingi ndy maneno yenu hayo mnapenda kujishusha🤣