BMG TV: Serikali kufanyia kazi maoni ya watanzania, mkataba wa Bandari

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 439

  • @BMGOnlineTV
    @BMGOnlineTV  Рік тому +3

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi akijibu maswali kuhusu Mkataba wa Bandari ua-cam.com/video/IsNjCeQN6CI/v-deo.html

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      mzee tunakuhurumia sana wewe maana umejitengenezea kuzimu ambayo inakusubiri kwa hamu kubwa sana mzee mzima wengetakiwa kwa sasa umrudiye mungu wako kwa sasa hapo ulipo nywele zimesha puputika kicwani ujioni kua umelishwa haramu kama shida ni uongozi kwanini kama serikali ya ccm msibadilishe uo uongozi au mnawaogopa

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      wewe mzee nakuapia kwa mungu Ali hair pigo utakalopigwa na mungu Sikh hiyo utaomboleza wewe mungu athiakiwi wewe mlaaniwa wewe waambie watanzania watafidi nini wewe mlaaniwa wewe ujiurumie wewe kama kuna unajisi umemezishwa jiurumie sana nakuambia siku utayo ondoka dunia nakuapia kupita vitabu vitakatifu utajibu uofu wote uliofanyia watu wa mungu na kwa bahati mbaya ulionayo angalia USO ulivyo nyonyoka USO umekua kama umepuliziwa kokomanga

    • @williamgaonyangasa352
      @williamgaonyangasa352 Рік тому

      Tumekuelewa kiongozi. Ila ingekuwa vema zaidi tukimsikia na Katibu Mkuu wako nae atueleze maana alihusika kutoa saini kwenye mkataba wenyewe.

  • @ghuhenjasper8666
    @ghuhenjasper8666 Рік тому +7

    IELEWEKE WAZI KWAMBA MWEKEZAJI YEYE NI MPANGAJI WETU,, HIVYO SISI TUNAOMPANGISHA MPANGAJI SISI NDO TUMPE MASHARITI YA UPANGAJI WAKE SIO YEYE NDO ATUGAIYE MASHARITI KATIKA UPANGAJI WAKE. HAYO NI MAWAZO YANGU.

    • @malemawatson1130
      @malemawatson1130 Рік тому

      NIMEPENDAA

    • @elyotchisanga138
      @elyotchisanga138 Рік тому

      Hilo neno bro, Nyumba ni yako alafu mpangaji wako ndio aje kukupangia mashaliti kwenye Nyumba yako hiyo siyo sawa

  • @williamgaonyangasa352
    @williamgaonyangasa352 Рік тому +1

    Well said professor Mbarawa. Ila Watanganyika tunataka kuyaona hayo unayoongea yawemo ndani ya huo mkataba. Vinginevyo tutona ni porojo za kisiasa tu.

  • @isyukyugha2681
    @isyukyugha2681 Рік тому +1

    Tuna kuheshimi sana Msomi Professor Mbalawa.Unajibu kitu tofauti .wa Tanzania Tunalia na Vipengele vya Mkataba ni Vikatili na Vina Tufanya tuwe watumwa wa MWEKEZAJI.TUNAUZA UHURU WETU . MKATABA UNAVUNJA KATIBA YETU

  • @mashakakalamba3702
    @mashakakalamba3702 Рік тому +6

    MKATABA huu utakuwa chanzo cha KUVUNJIKA KWA MUUNGANO.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Рік тому +7

    Serikali ya Majizi ya Ccm 2025 ni mwisho wenu tena mshukuku Magufuli aliipa sifa ccm bila yeye 2015 ulikuwa mwisho wenu majizi ninyi hii nchi bila Ccm tungekuwa wa kwanza kiuchumi east Africa ila kwa sababu ya majinga na majizi haya ya ccm leo bado Tanzania 🇹🇿 ni nchi masikini.Watanzani asilimia 99% hatuitaki Ccm chama cha majambazi

    • @mwajabumkongowe7116
      @mwajabumkongowe7116 Рік тому

      Nindeni zenu mbona hamuwekezi bandari zenu Zanzibar tumesema hatutaki bandali zetu

    • @lightnessmushi8137
      @lightnessmushi8137 Рік тому

      Hatunashida na hiyo, shida kwawananchi nivilpenele vya sheria vinavyo ibana nchi na wananchi,yaani km ni kweli kabisa hamjaangalia madhara yatokanayo na vipengele vya sheria vina madhara kwetu ndicho tunacholalamika,na hilo mnakwepa,tunakataa kubanwa vizazi vijavyo vyote hilo mnakwepa kwa nini

  • @godfreymlila9958
    @godfreymlila9958 Рік тому +7

    Kwanini ujeutwambie baada ya kusaini nasi kabla ya kusaini mkataba iliwatanzania watoemaoniyao?

  • @MagovaThomas-zb3yf
    @MagovaThomas-zb3yf Рік тому +1

    Asante kwa ufafanuzi ila mapezi ya mungu yasimame tktk Hilo.

  • @talents7934
    @talents7934 Рік тому +4

    Sasa bandari mmefeli kuendesha wenyewe, Shirika la ndege mnasema lina hasara,na nyie ndio mliopewa dhamana ya uongozi vipi mnawashauri nini wasiokuwa na elimu kuhusu kujiajiri na wakati nyie ni wasomi Halafu mmeshindwa kuendesha miundombinu?? Na pia hamuoni kuwa mkitangaza kuwa mmepata hasara mbele ya public kwamba mtachochea kufifia kwa ukusanyaji wa kodi ya Maendeleo?

  • @SaidiIsmaili-m7i
    @SaidiIsmaili-m7i Рік тому +1

    mungu ankuoneni kwa uwango na kupindishapindisha ukweli magu tu na lana zake tunaziona we mungu tusimamie watazania wote tuliekua na msimamo na masilai ya tazania

  • @emmanuelzephania989
    @emmanuelzephania989 Рік тому +2

    Unaongea ujinga sana wew jamaa kwann tusijitegemee wenyew t kwan changamoto zinaweza kufanyiwa maboresho t

  • @LuphotoPesa-yz7ks
    @LuphotoPesa-yz7ks Рік тому +1

    hongera sana waziri nimegundua mnania njema yakuleta maendeleo makubwa tanzania mungu awabariki sana

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 Рік тому +5

    HATUNA IMANI NA SERIKALI YA CCM

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 Рік тому +4

    Wewe ujawajua watanzania atutaki WAZANZIBAR watupangie

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Tusibaguane

    • @EnekiMtawa
      @EnekiMtawa Рік тому +1

      Wewe ivi mnasikia au tumechoshwa na plopa Ganda zenu mmeumbuka na alie eaumbua ni Mungu hataweza itawaghalim mkumbuken yuda msalit kilicho mpata acheni ihizo bandari niuong mtupu apo

    • @abasssuleiman6149
      @abasssuleiman6149 Рік тому +1

      Wanzanzibar hatuna shida na nyinyi kabisa, wazanzibari tunajielewa sana, shida yenu watanganyika ni wabaguzi sana, wadini, wakabila na wakanda

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      @@abasssuleiman6149 sad

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 Рік тому +2

    Huyu waziri anatembeza siasa tu.
    Tatizo haliko kwenye utendaji, bali liko kwenye mkataba.
    Tunamtaka mwanasheria aje atufafanulie mkataba.
    Halafu waandishi wausome mkataba wauelewe halafu waulize maswali kutokana na mkataba huo.

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 Рік тому +1

    Wewe waziri koma kutuuzia bandari zetu,mwambie na huyo aliekutuma,Rudini kwenu Zanzibar,mmeshindwa hatutaki ninyi mafisadi, RIP JPM

  • @JosephMsanga-vl3ug
    @JosephMsanga-vl3ug Рік тому +2

    Waziri Mbarawa! Acha Upuuzi Bwana! Mimi nilidhani Unatangaza kujiuzuru Uwaziri kumbe Unaendeleza Ujinga tu. Unakera sana Waziri.

  • @BMGOnlineTV
    @BMGOnlineTV  Рік тому +2

    Serikali yamuonya Mbowe sakata la Bandari ua-cam.com/video/r5N3pic0WE0/v-deo.html

  • @TwahaSaidiLigoola-kr1rt
    @TwahaSaidiLigoola-kr1rt Рік тому +1

    Mama yupo kazini mwacheni apige kazi mh samia suluhu hasani mungu ambalik

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 Рік тому +5

    Ushauri wangu prof.hebu achana na hiyo biashara usilazimishe, watu hawataki kabisaa please,wasikilize kuna leo na kesho jali mawazo ya watu.Huu ni ushauri wangu binafsi.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Kasema Serikali itafanyia kazi ushauri wa wananchi/ wadau

    • @enockfumbuka6843
      @enockfumbuka6843 Рік тому

      Mmevunja Katiba ni wahaini Zanzibar siyo sovereign State,Wewe ni Mzanzibar Bara inakuhusuje.SUBIRINI.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      @@enockfumbuka6843 hakuna sababu ya kubaguana, sote ni watanzania

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp Рік тому +3

    Lini tutajitegemea? Kilakitu tunategemea vizungu. inamaan inchiyoote hakuna wasomi. Hakunavijan ambao wanaweza kufanyakaz?

    • @NipaDavid-vi6ky
      @NipaDavid-vi6ky Рік тому

      Unatudanganya poor management of our government

  • @neemarabani
    @neemarabani Рік тому +3

    Mangufuli alikataa mikataba mibovu alipokufa mkairudisha tena kwa Siri . Na hili tena!!!! Enyi VIONGOZI wa Tanzania mwogopeni Mungu mioyo inauma sana

  • @abeljames4043
    @abeljames4043 Рік тому +4

    Usituletee ujinga hapa Kenya wao wamewezaje? Mbona Kwa Nini sisi tushindwe na Kenya inamaana sisi hatuna watu wenye akili

    • @ibrahimgwasma1223
      @ibrahimgwasma1223 Рік тому

      Hamna akili hata wew ukipewa utakuwa hujui cha kufanya

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 Рік тому

      @@ibrahimgwasma1223
      Nchi onajengwa na wsnanchi wenyewe NA SIO WAWEKEZAJI

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 Рік тому

      @@ibrahimgwasma1223
      Huu ni uhuni ilio pita kiasi
      Raisi na serikali yake wasifikiri watanzania ni wajinga
      Ccm hatutaki waarabu waliofukuzwa Sudani
      Marekani hatuwataki
      Sisi watanzania tunaweza kuendesha bandari wenyewe kama hatuwezi basi tuwaachie watoto wetu na vitukuu
      Kenya wanaweza kwa nini Tz tushindwe
      Acheni porojo

  • @OdMinebillanathanael
    @OdMinebillanathanael Рік тому +2

    Mzee kakae na wajukuu nyumban aacha kuumiza nyoyo za watanganyika

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 Рік тому +1

    Maelezo yameshiba kazi IENDELEE serikali hii ya Mama Samia ipo vizuri sana. CCM oyeee.

  • @martinkipenya4592
    @martinkipenya4592 Рік тому +6

    Ushauri wangu kwako Makame Mbalawa Comet zote zinakukataa achana na biashara ya waarabu kwenye bandari yetu hawa watu mumewagusa pabaya wataleta madhara makubwa baadae.

  • @yakobosupuk7652
    @yakobosupuk7652 Рік тому +3

    Slaa hajakosea lolote hapo Dr slaa aliongelea hizia ya wananchi wa Tanganyika na siyo hisia ya watanzania.
    Bunge haitumikii haki unatumikia udhalimu na kuhujumu radhilimali ya wananchi kwa raia za kigeni ya Dubai
    Kwanza wakamatwe waliokubali mkataba huo mbovu siyo watetezi wa wananchi

  • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
    @TOUNDISELASSIE-xj8oy Рік тому +1

    Mh. Waziri, umeshaona mtazamo wa watanzania juu ya mkataba huu wa bandari. Japo wanasiasa wameingia kwenye suala hili, na kuonekana ni wanasiasa ndio wanapinga! Lakini nikuambie ukweli, watanzania hatulitaki jambo hili. Hivyo ni juu yenu kutusikiliza. Watanzania tutaviendeleza wenyewe vitu vingine. Sio kila muwape wawekezaji. Nyinyi nunueni ujuzi popote duniani. Kisha tuelimisheni kwa kutuuzia ama mtukopeshe kama mnavyofanya elimu ya chuo. Tukisha elimika tuvisimimamie wenyewe.

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 Рік тому +4

    TICS ameacha shughuli bandarini tangu 2022, je, ni TPA au kampuni IPI inayo shughulikia mizigo inayo ingia/inayotoka kwa sasa hadi hapo mikataba rasmi ya utendaji itakapo kabidhiwa DP World?? Naomba nielimishwe.

  • @SarahNgereza
    @SarahNgereza Рік тому +1

    Wazir na ww umekuwaje mbona ulikuwa vizur

  • @dapinitiative2451
    @dapinitiative2451 Рік тому +1

    Kwanza mkataba wenyewe ulivujishwa na msamalia Mwema ....HATUTAKI

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 Рік тому +1

    Professor atabaki kuwa professor tu. Upo vizuri.

  • @alicencyprian
    @alicencyprian Рік тому +1

    hamna kitu hapo,,unamaanisha unaielimisha jamii kuhusiana na umuhimu wa uwekezaji na siyo kwamba unatatua matatizo yatakayo tokana na kusaini mikataba ya hovyo. umesema mwenyewe kuwa siyo mwanasheria,,,acha wanasheria wachukue nafasi zao kuielimisha jamii kwa hili suala mmeshindwa wenyewe mapema kutuelimisha.. achana nasisi ajira za hovyo zenye kuteketeza na kukandamiza haki za kizazi kilichopo mpaka vizazi vijavyo

  • @StivinSapi-eg7kr
    @StivinSapi-eg7kr Рік тому +1

    Watanzania,tusilete siasa kwenye mambo ya msingi.Tanzania nimoja yanchi ambazo zinagharama kubwasana kwenye utoaji mizigo bandarini.inamaana hatuoni au nivipofu.Suala la bandari,Tuliechie bunge nawachumi,pia wanasheria wetu kwamaana yamikataba.

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 Рік тому +2

    Tuige kwa kenya walichofanya na sio huu upuuzi uliofanyika

  • @philipmollel5818
    @philipmollel5818 Рік тому +1

    Kwanini mkataba auna kikomo? 2 kwanini mseweke wazi kwamba Tanzania itapata asilimia ngapi kwenye mkataba! 3 sio kweli kamba mepokea maombi kwenye kampuni zingine mbona taarifa za bunge aziku zungumzia hizo habari ni baada ya malala miko ya wananchi kuweni makini sana na nchi yetu acheni kumzunguka mama MUNGU ata washughulikia hamtaamini Ole wenu ili taifa ni MUNGU katupa muwe makini sana!

  • @MariamKombo-w8z
    @MariamKombo-w8z Рік тому +1

    Sasa kama ni Tanzania kwa nini Zanzibar isiwepo wakati hiyo Tanzania ni muungano wa zenji na Tanganyika uo ni wizi

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp Рік тому +3

    Hiv kwelimumesoma? Dubai sio inchi. Tunabaloziwetu kule? bubai ni brack market. Sio inchi

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 Рік тому +2

    Hiyo hiyo sheria isiruhusu mtu ambae siyo mtu wa Tanganyika kusimamia bandari za Tanganyika. Vile haihusiki na Zanzibar, pia wasimamizi wawe Watanganyika.

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 Рік тому +1

    Kama kweli ulichokisema Prof Mbalawa ni sahihi kabisa, basi na tuwakalibishe DP World wafanye kazi.
    Bandarini hakutokua na watu wababaishaji wazembe na hasa waka RUSHWA tena.
    Hofu kwa wananchi wengi kuuzwa kwa bandari zetu na kufanya DP World wawe mamlaka kwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu. KAZI IENDELEE!!!!

  • @aloycekomba
    @aloycekomba Рік тому +2

    Sisi tumezoea kulala mika tu hatuna ujasiri wowote hatujui kukataa kwavitendo nani waoga kwelikweli kaziyetu nimidomo tu

  • @GreysonMheni-ln9rm
    @GreysonMheni-ln9rm Рік тому +1

    Kwann msiitishe kongamano la kitaifa Kama hivyo ulivyo itisha waandishi wa hbr hapo alafu muwaalike na wataalamu na wanasheria wengine wanaoongea na kuwakosoa mitandaoni alafu mfanye uchambuzi wa pamoja kwa kila mmoja kujibu hoja za msingi za mwenzake,kuliko hiyo ya kila mtu kuongea na waandishi wa habari.Mbona Kama mnaviaziana viziana vile ikiwa Kuna nia njema kweli?

  • @Edgar-fe8qe
    @Edgar-fe8qe Рік тому +1

    We makame acha kutudanganya na tena msitufanye watanzania kama wapumbavu kwanini mnalazimisha uwekezaji ambao watanzania hatutaki karni mkijua sisi kama watanzania hatuta kubari kabisa kuuza bandari yetu ambayo ndio mpango wa Nchi yetu

  • @anatorylukosi9359
    @anatorylukosi9359 Рік тому +1

    Hii NCHI VIONGOZI Kama MNASHINDWA kazi,, kitanuka..na Kama mnaangalia MAISHA yenu yenu tuu.. INATOSHA KABISA.

  • @olembetonga7341
    @olembetonga7341 Рік тому +1

    Haya maelezo ungeyatoa kabla yakusain mkataba wakihuni Tena kisiri HATUKUELEWI jambo ni Moja futa hiyo nonsense 😡

  • @nurdiniathumani9388
    @nurdiniathumani9388 Рік тому +2

    Mmetumia Trillion moja tu mnalalamika?? Kwani bandari inaingiza sh ngapi??

  • @mwesigapeter4958
    @mwesigapeter4958 Рік тому +1

    Hatutaki ilikuwaje mkasaini toka mwaka jana feb kabla ya kupelekwa bungeni tunajua kuwa kama sio huo mkataba kuvuja tusingeyaona hayo yote
    Kauze bandari ya kwenu maana mmekusudia
    Jibu lote tukutane mahakamani
    Au tukutane 2025

  • @donartkilimila1443
    @donartkilimila1443 Рік тому +2

    Hatutakiii

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 Рік тому +2

    UFISADI NDIO TATIZO
    WIZI NDIO TATIZO
    ACHENI KUUZA NCHI YETU WANANCHI HATUNA IMANI NA WEWE UNAYE PIGA KELELE NA VIONGOZI WENGINE WA CCM SISI SIO WAJINGA

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 Рік тому +1

    Mimi ninauliza Mhe. Prof Waziri wetu NI KWA VIPI SHERIA YETU PROCUREMENT ACT MLIVYOITUMIA NA KUCHAGUA SINGLE SOURCE MODE OF PROCUREMENT.

  • @mosesdavid-vm5hk
    @mosesdavid-vm5hk Рік тому +1

    Uyu Mzee uprofessor kapewa Bure au kaununua🤣🦉🐿️

  • @donartkilimila1443
    @donartkilimila1443 Рік тому +1

    Mikataba yooote iliyowahi kuaainiwa huu ndo mkataba wa ovyo.Hutuekewi.Kama mingine tuliweza kuiivunja.Kwanini huu hatuwezi kuuvunja.Acheni izo huu ni upuuzi

  • @williamgaonyangasa352
    @williamgaonyangasa352 Рік тому +1

    Sjayaelewa bado maelezo ya Waziri Mbarawa maana hayomo kwenye mkataba wenyewe.

  • @DannySanga-gh1oj
    @DannySanga-gh1oj Рік тому +2

    Mbona hatuutaki huo mkataba kawapeni wazanzibar

    • @AliJeff-ko8fo
      @AliJeff-ko8fo Рік тому

      Wazanzibar wangepewa si ndo mngelia kabisa

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 Рік тому +2

    Mkataba ni kati ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Dubai, lakini cha ajabu Zanzibar haihusishwi ktk mkataba huu.
    Sasa hii ni jamhuri ya namna gani?
    Kwa nini isiandikwe kwamba mkataba huu ni kati ya Tanganyika na Dubai?
    Huu muungano ni lazima uangaliwe na ujadiliwe kwa kina.

  • @Edgar-fe8qe
    @Edgar-fe8qe Рік тому +1

    Sisi kama watanzania hatutaki mkataba ya kihuni kama hiyo wala hatuhitaji polojo zenu pia hatutaki kuisikia habari za mafanikio ya Dubai

  • @GreysonMheni-ln9rm
    @GreysonMheni-ln9rm Рік тому +1

    WAWEKEZAJI WALIKUWA WANAONDOKA NA CONTENA ZA MADINI WAKIWAAMBIA NI MCHANGA MKAWA MNAKUBALI TU, TATIZO SIYO UZURI WA MWEKEZAJI, TATIZO NI UFISADI WETU SISI

  • @amosgosso6162
    @amosgosso6162 Рік тому +1

    Kwanini kama Taifa mnaingi makubaliano na nchi alafu Nchi iyoiyo inaingia mkataba na na kampuni na isiwe kampuni na kampuni kama ilivyoshauriwa.
    Pili faateni Msimamo wa Hayati Magufuri si kila kitu kufata mchakato wa kisheria ambazo wingi wake zimepitwa na wakati ukiitaja kila mwenyeakili anaona sheria ni ya kiwendawazimu na wewe unayeing'ang'ania ni mwenda wazimu guys change inamaana mpaka Magufuri ameondoka hamjajifunza kitu sasa tutawafunza adabu

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 Рік тому +1

    Muekezaji huyo sisi tunamtaka Zanzibar mleteni huku tukate mzizi wa fitina

  • @paskwinomponzi8455
    @paskwinomponzi8455 Рік тому +1

    Serikali inatuyumbisha sis wananchi mkataba wanamna hii ni kuikandamiza nchi na kurudi kwenye utumwa

  • @peacechodile8578
    @peacechodile8578 Рік тому +1

    Haijalishi anamiliki nini Acha kujikanyaga tunataka mkataba mpya mnaongeza maneno ya uongo mdomo unakataa 😂😂 pole we mzee kawahadidhi wanao toka apaa

  • @nicodemashaggite8429
    @nicodemashaggite8429 Рік тому +1

    Kimsingi hakuna unachoongea.
    Hivi kuwa pro unashindwa kuwa mbunifu mpaka unaongea mambo manyonge hivyo???
    Nenda kajifunze Kenya basi
    Kama shule haisaidii bora tufute shule zetu

  • @SaidiIsmaili-m7i
    @SaidiIsmaili-m7i Рік тому +1

    Aho wa muhambasa wamewebinafsisha au tunatoa mifano tu tujitegeme wenyewe bandali inangiza kila leoe

  • @salamathiastz274
    @salamathiastz274 Рік тому +1

    Kafanye mikataba na bandari za Zanzibar za Tanganyika ziache.

  • @arcmlundwa3217
    @arcmlundwa3217 Рік тому +1

    Prof huko darasani....subject NI ubovu WA mkataba..unasoma ulichoandikiwa na genge la wauza nchi! Soma comments ili ujue maji huwa hayabe wi kwenye kikapo.

  • @GreysonMheni-ln9rm
    @GreysonMheni-ln9rm Рік тому +2

    Ni kitu gn ambacho kinafanya mkataba uwe wa miaka mingi sana wakati na siyo muda mfupi ili kuangalia utendaji wao kwanza

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 Рік тому +1

    Mkistahafu malizenu lazima hi wekwe mdadani. Magufu ajafa. Vijana tupo.

  • @alfredmchami4295
    @alfredmchami4295 Рік тому +2

    Serikali inapaswa kuwasikiliza wananchi. Hii nchi ni yetu wote. Kwanini mnalazimisha? Kuna nini kimejificha nyuma ya huo mkataba? Huo mkataba hatuutaki. Kimsingi tunatakiwa kujenga uwezo wa kujitegemea wenyewe. Performance inakuwa chini kama unavyosema ni kutokana na rushwa iliyokithiri ndani ya serikali. Viongozi wetu wengi mmekosa uzalendo katika nchi yetu. Kwanini mnanunua magari ya mabilioni kwajili ya kutembelea viongozi na hamnunui mitambo bandarini? Kwanini tunafikiri kuwa hatunauwezo wa kufanya mambo yetu hadi watusaidie watu weupe? Ni nani aliyeturoga waafrika? Tumezidisha tamaa ya pesa na hivyo tunapoteza uzalendo.
    Huo mkataba utenguliwe achaneni nao. Kukubali makosa na kuwaomba radhi wananchi ni busara zaidi kuliko kuendelea kutetea ili kuonekana mko sahihi zaidi. Wabunge mmetuangusha sana na tunachekwa na dunia nzima.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Sawa sawa

    • @jarnskorelly464
      @jarnskorelly464 Рік тому +1

      Toka awamu ya nne mambo ni haya hayati alitufungua macho tusilala jamani serikali ltakuwa yajeneresheni kwa hiyo wataanza kubadili dini iliwawe maraisi kwa vizazi

    • @jarnskorelly464
      @jarnskorelly464 Рік тому

      Waarabu ni watu wa ukorofi wameingia ulaya kama wahamiaji lakini wakaanza kupigawatu mabomu sio binadamu wazuri kuishi nao kwa kweli

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      @@jarnskorelly464 tusiwaze hivyo watanzania

  • @alfredmwasandele6922
    @alfredmwasandele6922 Рік тому +1

    Wewe sisi hatukatahi kukodisha tuna uliza mkataba mwishowake nilini kwanni hamu elewi tuna uliza hiki muna eleza hiki ivi asiye mwelewa nani

  • @dapinitiative2451
    @dapinitiative2451 Рік тому +1

    Yaan we Mzee nilikuwa nakuona MTU WA maana Sana kumbe hamna kitu

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 Рік тому +1

    Tunaombasana serikali ya Tanzania wafanyakaziwawe ni raia kama wanavyofanya south Africa mzawa ndio Wa kwanza kupatakazi siowatukutota nchijirani kwanza Mtanzania apatekazi kaziimekua nikeroviongozi ndiomaana vijanawengitumekimbia nyumbani nakuamua kujitafutia njeyachi

  • @lucylyale7169
    @lucylyale7169 Рік тому +1

    Ulikuwa sahihi kipindi cha MAGUFULI na alikuamini sana ila saiv ushalishwa wadudu wasiojulikana nawe umekengeuka unatetea unga wako t😠😠🚶🚶

  • @estherdominic1673
    @estherdominic1673 Рік тому +1

    Imeeleweka mtumishi mh waziri ambaye ajaelewa basi huyo ana lake mambo Yako wazi kazi iendelee tumekuelewa

  • @mako331
    @mako331 Рік тому +1

    Hivi Tanzania ni Magufuli pekee alikuwa na akili na ujasiri wa kuyaona haya? Na kuyakataa hadharani?

  • @emmajoshua4858
    @emmajoshua4858 Рік тому +1

    Unatupigia kelele ww sisi ndio wanchi kwaiyo mlipaswa kuleta hoja kabla yakupitisha 😢

  • @KingkajosiRuvumwa-it8dx
    @KingkajosiRuvumwa-it8dx Рік тому +1

    Shida sio mkataba shida ni uarabu,kwan mkataba unasema ni mauziano ya bandari?fungueni vifua vyenu/mioyo yenu iwekkeni wazi.

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 Рік тому +2

    LAKINI KWA MUJIBU WA KATIBA,NENO ,"TANZANIA"....NI PAMOJA NA ,"ZANZIBAR"....LAKINI ZANZIBAR NINYI MMEBLOCK YA KWENU NA KATIBA YA ZANZIBAR

  • @datchdatch3836
    @datchdatch3836 Рік тому +1

    KIMSINGI tayari mna maamuzi ya kiserikali ,hivyo hata ushauli wowote watu wataoutoa , hamtazingatia. uzembe huu UNASABABISHWA NA SIASA ZA NCHI HII ZAIDI KUINGILIA TAALUMA.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому +1

    Hivi ungepata urais ungeiuza hiyo zanzibar yenu au una uza bara yetu jiudhuru tu kama lowasa aluvyojiudhuru kipindi cha richimond na rudi kwenu hatukutaki kabisa

  • @AliAhmed-m1o2u
    @AliAhmed-m1o2u Рік тому +1

    Wanao pinga na kupotosha mradi huu ni wazi wanadhamira mbaya na mamlaka ya nchi na pia napata mashaka kuwa wanamaslahi ya namna moja au nyengine 😮😮😮😮😮

  • @SalamaRashidi-bb4fe
    @SalamaRashidi-bb4fe Рік тому +1

    Zanzba hawataki upuuzi huu.huku matapeli kibao yananufaika yenyewe wananchi shida kibao hawanufaiki

  • @lawrencemwasa482
    @lawrencemwasa482 Рік тому +1

    Tuvunje Muungano wezi wakubwa

  • @daudiagustino8773
    @daudiagustino8773 Рік тому +1

    awa wamesoma sufuli kabs, Kwani selikali inashindwa nini, ili meli za mizigo zisichukue masaa malefu bandarini. kwani hao mnaosema wanachukua masaa chache walibinafsisha ya kwao???? mbn wanaendesha bandali zao mwenyewe.

  • @lutakiiza4671
    @lutakiiza4671 Рік тому +1

    Niuongo nyinyi nimatapeli

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 Рік тому +1

    HAYO MAWASIRISHO YALITUMWA WAPI NA MBONA HATUKUONA HAYO MATANGAZO SIO KWELI HAKUNA MAOMBI

  • @lameckmeshack
    @lameckmeshack Рік тому +1

    MWIZI AMEKAMATWA huku ameshachinja ng'ombe wa watu , kilichobaki Ni kujitetea tu Ni kweli wawekezaji wengi wanapoingia nchini Viongozi wengi wanawafuata fuata ili wapate angalau ASILIMIA FULANI YA MGAO na kusababisha ufanisi kuwa mdogo na uwizi kutawala na hata kukosekana faida moja kwa moja KWELI VIONGOZI WETU WA CCM Mimi SIWAPENDI SAAAAANA.

  • @HarunMarko-qc9rf
    @HarunMarko-qc9rf Рік тому +2

    Hivi miaka yote hiyo. Kweli watanzania hatuwezi kuendesha mambo yetu yakawa ya kisasa. Hivi, nisikiaga kuwa Tanzania tuna wasomi kweli. Au watanzania wanasomea kuiba tu.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Matajiri watatu waungane kwa pamoja na kuendesha bandari?

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 Рік тому +3

    Kwa hiyo Zanzibar sio Tanzania

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Ni Tanzania ila anasema kuna mambo ya Muungano na yasiyo ya Muungano kisheria.

    • @GreysonMheni-ln9rm
      @GreysonMheni-ln9rm Рік тому +1

      @@BMGOnlineTV kwani kubinafsishwa lazima kiwe Cha muungano tu na kisicho Cha muungano siyo Cha kubinafsishwa? 🤣🤣🤣🤣

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      @@GreysonMheni-ln9rm maswali ni mengi kuliko majibu.

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому +1

    Baada ya kelele zenu mnazodangwanywa na Tundulissu. Chadema wanatafuta KK tu

  • @lewisleonard9886
    @lewisleonard9886 Рік тому +1

    Hivi pr.Shivji hajuiwi kusoma mkataba? Mbona maelezo haya yako tofauti na mkataba unavyo someka

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Darasani kila mtu huelewa kwa namna yake

  • @maryalute8940
    @maryalute8940 Рік тому +1

    Hayo yaliyowekwa kwenye mkataba yatafsiriwe kwa lugha ya kiswahili vizuri na wanasheria wetu na iwe wazi kwenye mitandao watuwengi wayasome na kuyaelewa na kuyahoji vinginevyo haya maneno yanayosemwa tu ni matamu kwa kusikia tu

  • @abasssuleiman6149
    @abasssuleiman6149 Рік тому +1

    Hangaikeni sana ila mtaongozwa na Samia hadi 2030, hamna pakutokea,

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 Рік тому +1

    AKUNA HIYO WEWE USIUZE BANA WATU WOTE TUMEKATAA HIYO SIO MKATABA KABISA

  • @JoshuaNyato-gc6fp
    @JoshuaNyato-gc6fp Рік тому +1

    Mnaangalia faida tu bila kujali maoni ya watanzania

  • @izzofaith_lalisa3476
    @izzofaith_lalisa3476 Рік тому +1

    Mimi hoja yangu sio namna watakavyo endesha bandari na kurahisisha mambo kua mepesi zaidi swali langu sisi Kama Tanzania tutapata faida gani Yani tutakua na asilimia ngapi kati yahizo zitakazo patikana baada yawao kuendesha bandari yetu
    (2) mkataba utadumu kwamuda ganii?
    Sio waje kurahisisha mambo alafu tusiwe nafaida tunayo stahiri kuipata Kama taifa

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 Рік тому

      KWA MKATABA HUO HATUNA KITU HII KAMPUNI ILIFUKUZWA SUDANI NA MAREKANI KWA MIKATABA HOVYO
      ULAYA IPO MAANA WAINGEREZA WAJANJA
      MIKATABA YAO SIO MCHEZO WALA LELEMAMA KAMA SASA MKATABA ULIOPITISHWA NA BUNGE . UPUUZI MTUPU

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 Рік тому +1

    KATIBA NDIO SULUHISHO. Rais akifanya hujuma ashitakiwe.

  • @simonaloyce2040
    @simonaloyce2040 Рік тому +1

    Acha utoto Bhana ,mara ngap .mnasema Bandar yetu inafanya vzr we mzee

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 Рік тому +1

    ACHA KUTUCHEZA WEWE YANI MSAINI MKATABA NDIO UJE UTUAMBIE HANAGA MJINGA NANI.

  • @jkaaya3639
    @jkaaya3639 Рік тому +3

    JPM HALIVUNJA MKATABA WEWE ACHENI KUTUDANGANYA NYINYI KWANINI SISI SI WAZALENDO JAHMANI 😢😢😢

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Hahahaaaa

    • @AbrahamSekuza
      @AbrahamSekuza Рік тому +2

      Kauzeni bandari ya Zanzibar mikataba mingi haijaleta unafuu kwa mwananchi haya yote nikwa ajili ya manufaa ya familia zenu mbona watoto wenu hawasomi shule za kata?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      @@AbrahamSekuza Waziri anasema Zanzibar kuna mkataba kama huo pia

  • @KarimMfanga-uk4gw
    @KarimMfanga-uk4gw Рік тому +1

    Si mmesema mkataba Bado kusaini !?ww unasema tayari binge limesaini sasa tueleweje!