PATANISHO : SASA WEWE KIJANA YA 22 YEARS UNATARAJIA NINI INAEZA KUUWA
Вставка
- Опубліковано 18 тра 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho
Subscribe to RadioJambo UA-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - Розваги
Nimependa hio advice😂😂😂
Hii n maajabu😂😂😂😂😂
Walai😂😂
Ati mashetani ilimpachika mimba wololo, huyu anafaa kichapo 😅😅😅
Kijanaa Ako ready kulea mtoto n anasual n mshaara n elfu sita wololo🤣🤣🤣
Advice ni aache ujinga😂😂😂😂😂sikuexpect hiyo
😂😂😂😂😂 awaje utoto ati advice atoe ama asitoe
Gidi na ghost, for cases like this. You should just end it immediately. Kesi kama hii will even cause your show to be closed down. Huyu jamaa anafaa kuwa ndani saa hii for impregnating a child. 😒 Yeye kwake ni mzaha na kwa familia ya msichana hii ni janga!!!🤔
kiboko 100kwa matako kabisa
Awache ojinga kabisa
Surely huyu jamaa anapenda huo msichana..huku nairobi wanaume wanaruka ball left right and center
Hii ni maajabu......Naskiza tu!
Haki Gidi ametramatise kijana wa wenyewe 😅😅
This man is a Joker Mr Giddy
We vijana😢😢😢
Still following
Waah noma sana sema kimeumana gidi mchome huyo boy kwa maneno juu walijitakia wenyewe
Huyo kijana na miaka 22 yuko na akili timamu kabisa. Wewe gidi unamuabisha kwa kusema awache ujinga na hali amewambia mimba haikua kusudi.
Mmmmh miaka ishirini na mbili kwanza ni watoto wanafaa kuwa kwa shule
Wewe wacha ignorance. Hii ni kesi ya defilement already 😒 tena ako na audacity ya kupiga simu kwa radio kuiongelelea as if ni kitu kidogo 😒😒😒 huyu jamaa anafaa kuwa ndani!
@@sketch9062 Ignorance ni wewe. Wote wako zaidi ya miaka 18 iliowekwa kisheria. They are not children. Unless you don't know the meaning of defilement. This is a young couple who may get married or choose to co-parent. Abortion is not only murder, but illegal. The young man fighting against abortion is a morally upright person.
@@agnesandalo6936 Kama shule ni university. Ni wakenya wangapi huingia university?. Wengi huanza kupata pesa mara tu wakimaliza high school wakiwa na mia 17 ama 18.
Hakuna shatani
😅😅😅😅😅 hapo kwa ety shetani........
Mapema ndiyo best.
Aiwanda😂😂😂😂😂
Age is just a number,Erick Yuko right.
Wako rika moja
Chapa yeye
Hahahaha anaeza kua shetani gidi
Huyu ni joker 😅
😂😂😂😂😂weh
Eiiiiii watu wa pungoma hawakosi kwa patinisho 😂😂😂mwezi hsushi
Punguza kicheko
morning,miaka sio shida gidi ata mm hubby wangu alinioa akiwa na 22yrs.
Ilifaa mkuwe kwa shule na hizo miaka
😂😂😂😂
Kijanaa Ako ready kulea mtoto n anasual n mshaara n elfu sita wololo🤣🤣🤣
😂