@@official_Nanga 😂😂😂😂Ujuwe watu wanazanigi kuwa Mungu hasikii kilio cha mnyonge mnawaza kulogwa tu juzi kuna watu walipikiwa saiti wamemaliza kujenga wakamtoroka mama wa watu alipiga goti dk na Mungu alijibu hapohapo walikuwa 6 walikufa vifo ya ajabu wote sikuhyohyo walisagika alipona mmoja tu Kiukwelii kunamuda Ukimlilia Mungu anajibu bla kuchelewa
unajua sana nanga mm shabiki wa dam
daaaah....!! #Nanga mtata 😂😂😂😂..anadaiwa ila mipango mingi
Duh mpaka mnaongea Kiarabu 😂😂😂
Usionyeshe unyonge wewe acha kuwa mnyonge kwenye madai yako akal Musa nanga mbishi uyoo😂
Nanga akipigwa akil itamkaa saw
Kaka mbavu zangu umezivunja nilipe.
Ucmwachie uyoo unaweza kuwa chizi 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Hyu asinge samehewa
Unaroho wewe
@@official_Nanga 😂😂😂😂Ujuwe watu wanazanigi kuwa Mungu hasikii kilio cha mnyonge mnawaza kulogwa tu juzi kuna watu walipikiwa saiti wamemaliza kujenga wakamtoroka mama wa watu alipiga goti dk na Mungu alijibu hapohapo walikuwa 6 walikufa vifo ya ajabu wote sikuhyohyo walisagika alipona mmoja tu Kiukwelii kunamuda Ukimlilia Mungu anajibu bla kuchelewa
Nange
Experience ya madeni hyo kali😂😂
😂😂😂😂😂😂nangaaa
Dadeki😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😢😂😅hhaàaa