Haaba_nasii | Mwakizaro ya mwaka Huu hakuna anayeweza kuvunja Hii Rekodi | Ust Ahmadi afunga Hadhara

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Katika Hadhara ya mwaka Huu 2022 #MWAKIZARO maajabu makubwa yameonekana nayo ni kufana kwa Samai Hii kwa kiwango cha Asilimia 100 Tazama Uhodari aliotumia Sheikh ahmad bin sheikh Shaabani katika hii Qaswida #HAABA_NASII ni Hakika Hadhara imefunga Mwaka na Ubora wake na Katika Hili Tunasemaa tukutane Mwakani.. #MAAWAL_DAY ... 🚶🚶🚶
    Usisahau #subscribe CHANNEL YETU YA ‪@KHAIRIYYAONLINETV‬ ....

КОМЕНТАРІ • 7

  • @saumu4682
    @saumu4682 7 місяців тому

    Mashaallah

  • @user-fr6kx2zm4y
    @user-fr6kx2zm4y 9 місяців тому

    ❤😊

  • @hassancassim8748
    @hassancassim8748 Рік тому

    Mungu awajalie na mwakani muwe salama mtupe Raha namkumbuka mjomba almaruumu mjomba Angu atbu mungu apunguzie adhabu za kabur ishalaa

  • @ambassador1067
    @ambassador1067 Рік тому

    MASHALLAH ustadh chogo,
    M/MUNGU AWAPE AFYA NJEMA .

  • @jumaaruwa8793
    @jumaaruwa8793 Рік тому

    Mashallha tunaendelea kusubir

  • @mustafakhalifa3932
    @mustafakhalifa3932 Рік тому

    Twaomba mawaidha yaliyotolewa kwenye hii samai ya mwaka huu.yalikua mazuri sana mashallah