MLINZI wa LOWASSA AMPIGA MWANANCHI HADI AKAZIMIA - POLISI WAWAFUKUZA WALIOZUIA GARI LENYE JENEZA....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  10 місяців тому +3

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

    • @dorothmlay
      @dorothmlay 10 місяців тому

      E3eftet😍☺️😉😚😍😍😍😉😙😍😎☺️

    • @dorothmlay
      @dorothmlay 10 місяців тому

      E3eftet😍☺️😉😚😍😍😍😉😙😍😎☺️

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis 10 місяців тому +15

    😢😢😢 mimi kimeniumiza sana raia kupigwa bila kosa...kwa Nini waliwatangazia raia wajitokeze???? 😢😢😢

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 10 місяців тому +6

    Marehemu mwenyewe kama angeamka,asingefurahishwa na tendo hilo 😏😏😏😏

  • @asmasalumu
    @asmasalumu 10 місяців тому +6

    Hajafanya sawa kabisa huyu Askari daaa!!! Imeniuma😂😂😂

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe 10 місяців тому +5

    Mmmmh sio sawa kwa hiki amefanya huyu afande

  • @EmmanuelAron-sk4zt
    @EmmanuelAron-sk4zt 10 місяців тому +11

    police msipende kutumia nguv ambapo sio mahal pake

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 10 місяців тому +4

    Sija elewa hyu jamaa anatafuta wa kwemda na Lowassa kwa nguvu watu weusi bana 😢😢😢

  • @juicebar8443
    @juicebar8443 10 місяців тому +5

    Achukuliwe hatua yakisheria

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 10 місяців тому +7

    Huyo askari ni mpuuzi mkubwa,,,pumbavu zake anajifanya mbavu nene,,,,

  • @nyanjachannel5517
    @nyanjachannel5517 10 місяців тому +5

    Ushenzi Sana 😢 Tanzania hii kweli unapiga binadam mwenzako kwenye tukio la majonzi

  • @FrancoFrances
    @FrancoFrances 10 місяців тому +3

    Hii nchi ya hatari sana mtu anapgwa hvyo aiseee

  • @steliussane863
    @steliussane863 10 місяців тому +2

    kwa kweli huyo mwananchi kupingwa vile ni kuonea tu jamani huo ni uonevu tu inatumika nguvu sehemu ambayo sio sehemu yake

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 10 місяців тому +2

    Alikuw mbali tuu baba watu ila kipigo alichopew sizan km kichwa kipo Salam. Sheria ichukue hatua kwa huy Police

  • @BakariMakame-j5f
    @BakariMakame-j5f 10 місяців тому

    Karibu Tanzania

  • @BernadVitalis
    @BernadVitalis 10 місяців тому +1

    Uo ndo ualisia wa polisi wetu ...siku nyingine ..akuna sababu ya kwenda ..kumuaga ..kaeni kwenu kuangaliwa kwenye tv ..unaweza kufa kabra ya siku si zako

  • @SAIDIMUKSIN-iy2op
    @SAIDIMUKSIN-iy2op 10 місяців тому +8

    Sizan uyo mwombolezaji kama atakuwa amekosea kiasi Cha kupigwa mpaka akazimia

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 10 місяців тому

    Sio sawa kuwapiga hao vijana hv Askari wetu sometimes cjui wapoje sehemu hata sio ya kutumia nguvu yaan dah inaumiza kweli.maana hiyo ngumi.

  • @MrishoSaidi-c5i
    @MrishoSaidi-c5i 10 місяців тому

    Utasikia kapandishwa na cheo bongo bhana😢😢😢😢😢😢

  • @JosephMroki-gg9nc
    @JosephMroki-gg9nc 10 місяців тому

    Mbona kwa magufuli mtu alisogezwa pembeni kistaarabu inakuwaje huyu achezee kichapo kikali namna hiyo ? Kwani ameathiri nini? dah! 🤔

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 10 місяців тому +1

    Huyo mlinzi amezingua sana

  • @davidmsuya4993
    @davidmsuya4993 10 місяців тому +1

    Arusha bila ngumi hawaendi

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 10 місяців тому

    Hii ndo tofauti yetu na wazungu

  • @NAFTALIMUNDANGA
    @NAFTALIMUNDANGA 10 місяців тому

    Dah nchi ya uonevu hii, yaan ukiwa polisi au mlinzi wa kiongozi basi unaweza piga mtu yoyote bila kosa lolote. Ukweli ccm ni chama cha kifalme.

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 10 місяців тому +1

    HAIKUBALIKI KABISA...!! JAMAA HATA HAKUWA NA KOSA LOLOTE.INAUMA

  • @Haimanmond1
    @Haimanmond1 10 місяців тому

    Tunapenda kutoa lawama ila ni hatari kwa msafara kuzingirwa kama vile

  • @rogatianmtenga7265
    @rogatianmtenga7265 10 місяців тому +1

    Kwa sifa alizokua nazo marehemu aliyempiga mwombolezi barabarani bila sababu ni lazima achukuliwe hatua

  • @malungamtoro9047
    @malungamtoro9047 10 місяців тому +4

    Watanzania weng tatizo lao ubishi wakiambiwa nchi inawenyew hii hawasikii acha wapigwe

  • @jasperluoga6788
    @jasperluoga6788 10 місяців тому +1

    Hiyo askari aliefanya hivyo yapaswa achukuliwe hatua za kisheria. Maana hakupawa fufanya hivyo. Ni aibu sna kwa jamii ilivyo starabika kufanya mambo ya kibangi bangi

  • @Nansi-x8m
    @Nansi-x8m 10 місяців тому +1

    Mh niatari sana

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 10 місяців тому

    Haikua haki wala hakustahiki kufanya hichi alicho kifanya mkuu wetu hp wa usalama coz jama mbona kisharudi nyuma na wala hakuashiria kuendelea kugusa geneza afande kachukua hatua isiyo sawa 🤔🤔😭😭😭.. ama jua na mbio zishamchemshaaaaaa inasikitishaaa kwa kweli

  • @muktabsumra2441
    @muktabsumra2441 10 місяців тому

    Tatizo la CHAWA ndio hilo Haya huyu alie pigwa ngumi kafanya kosa gani???KESHO WANANCHI WAKIGOMA KIJITIKEZA KWA KUWASABAKHI VIONGOZI UTASIKIA HOOI ALIKUA NA ROHO MBAYA KWAMBE NIIII HAO CHAWA

  • @hassanisaimon1531
    @hassanisaimon1531 10 місяців тому

    Umezingua ww kama msingepa watu ungeanza kulaumu sasa mpata hiyo neema ya watu mnawapiga nyoooh? Puzi kwel

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 10 місяців тому

    Mlinzi anafanya kazi kwa mihemko, kwanini umpige ngumi mwananchi, kama hamkutaka watu barabarani mngetumia usafiri wa ndege kuliko kuwapiga wananchi wasio na hata silaha

  • @eliasmshiu
    @eliasmshiu 10 місяців тому

    Dola Tanzania wanaona raia kama takataka tu

  • @RidhiwanSuleyman-eh5wl
    @RidhiwanSuleyman-eh5wl 10 місяців тому

    matumizi ya Nguvu ni KISHAWISHI cha Dhuluma

  • @JosephMichael-d7e
    @JosephMichael-d7e 10 місяців тому

    Huyo askari anatakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria Kwa kosa la uzalilishaji. Serekali imewatangazia wananchi wajitokeze kuuaga mwili wa marehemu Lowasa. Wameitikia wito matokeo yake ni kupokea kipigo kutoka Kwa askari. Wanasheria tunakuombeni mjitokeze msaidia muhanga aliyepigwa bila sababu apate haki yake kisheria. Maana nchi hii ubabe tu

  • @RamadhaniLukambuzi
    @RamadhaniLukambuzi 10 місяців тому

    Angemsogeza pole pole lakini sio kwa kumpiga namna hiyo,Askari huyo kakosea sana!

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 10 місяців тому +2

    Huyu askari achukuliwe hatua za kisheria, huwezi kumpiga hivi hivi bila kosa lolote, naomba vyombo vya sheria vifuatilie hili suala

    • @chefr3020
      @chefr3020 10 місяців тому

      hawez chukuliwa hatua yoyote kwa sababu yupo kazini na kazi yake ni kulinda huo msafara nimeshuhudia shemeji yake kikwete akipigwa mtama mbele yake bagamoyo na yy ndio akaamuru aachiliwe huyo mtu ni shemeji yake

  • @CatherineVicent-b9l
    @CatherineVicent-b9l 10 місяців тому

    Huyo asikarii achukuliwe hatua

  • @pagijohn4611
    @pagijohn4611 10 місяців тому

    Kiukweli niliumia sana mtu anatoa hisia zake unampiga kwa kosa Gani hasa angekua baba yake ingekuaje,hafai kua askari wa amani eti hao ndio wanatulinda,wakati wanatuua nini hicho Sasa haibu kubwa kwa jeshi

  • @YadanAgatha-q9z
    @YadanAgatha-q9z 10 місяців тому

    Nitakukumbuka baba yetu kipenz

  • @ashaanab-sy4cq
    @ashaanab-sy4cq 10 місяців тому

    LOWASSA ANGEFUFUKA AONE HUO UPUMBAVU ASINGEMUACHA HUYO ASKARI LAZMA ANGEADABISHWA,NIMEHUZUNIKA SAANA🤔🤔🤔

  • @AnastaziaKalimanzila
    @AnastaziaKalimanzila 10 місяців тому

    Kisa

  • @BakariAthumani-vs8lk
    @BakariAthumani-vs8lk 10 місяців тому

    Kumpiga mtu ngumi y kichwani hili sawa kweli askar wa hii nchi wapo juu ya Sheria hata angeamua kumuua yule mtu tusinge sikua chchte

  • @alidamgeni7051
    @alidamgeni7051 10 місяців тому

    Dah hiyo siyo sawa amemsukuma vibaya huyo mtu

    • @allymanyika3502
      @allymanyika3502 10 місяців тому

      Sio kumsukuma tu kampiga ngumi haswaa mpaka kazimia sijui kama atapona huyu jamaa

  • @annamussa185
    @annamussa185 10 місяців тому +1

    Achukuliwe hatua nyau huyo

  • @MbwanaSamata-nt6pd
    @MbwanaSamata-nt6pd 10 місяців тому

    Sio saw nahiyo ndio maan ya msiba wa tajir masikin haitajik

  • @zakiakusaja8603
    @zakiakusaja8603 10 місяців тому +1

    Sasa anampiga mtu hivo msibani😢😢na camera ziko on😅😅😅Duni ikitazama

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 10 місяців тому

    Mnaosema kaonewa mnakosea sasa msafara unapita yeye anasogea barabarani anamaanisha nini bora kastuliwa kidogo bangi zikae sawa wamezidi hao wavuta bangi wa arusha kufanya fujo misibani iwe fundisho

  • @HelenaNkwera
    @HelenaNkwera 10 місяців тому

    Kamumiza maana kahangukiwa kichwaa 😢😢

  • @joycekaguo8476
    @joycekaguo8476 10 місяців тому

    Kakosea😊

  • @simonmagibo7804
    @simonmagibo7804 10 місяців тому

    Mimi sielewi akili ya binadamu kabisa,alitaka kuiba maiti au
    Hivi kwanini atupendani

  • @mariambakari7010
    @mariambakari7010 10 місяців тому

    Jamani huyu askari sijaona sababu kubwa ya kumpiga baba wa watu wakati wameruhusu watu waombeleze mama Samia na viongezi wakuu walione hili jamani huyu askari katumia madaraka yake vibaya sana

  • @edgarmbegu1974
    @edgarmbegu1974 10 місяців тому

    Huyo mlinzi mpumbavu. Anastahili kuchukuliwa hatua!

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 10 місяців тому

    Mama aje rais wetu

  • @Laizer3
    @Laizer3 10 місяців тому

    Huyo ni kuruta anatumia nguvu kuliko akili

  • @soplisjoachim5884
    @soplisjoachim5884 10 місяців тому

    Hicho kitasa ni cha lazima ili atulize wenge

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 10 місяців тому

    Kampa kimoja tu😂😅😂😂😂

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 10 місяців тому

    Kama wana wapiga wana nchi, kwa nini wana wapitishia wana nchi barabarani ili wamuage mpendwa wao?????

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 10 місяців тому

    Mbona kuna watu wanasema kafariki huyo mtu

  • @NAFTALIMUNDANGA
    @NAFTALIMUNDANGA 10 місяців тому

    Polisi sio watu wazuri kabisa, kwani huyo jamaa kakosa nini? Au kwa vile sio kiongozi ndo aonewe? Mnakumbuka polisi walimuua mlinzi wa Boardroom na habari zake zimesha sahaulika? Hakuna anayejua familia ya Razak inaishije leo. Je huyo naye akifa atakuwa kafa kama mbwa tu hana maana, maana mapolisi wanamiliki uhai wa watu wote masikini na wanyonge

  • @FadhiliMgalla-ds9fx
    @FadhiliMgalla-ds9fx 10 місяців тому +1

    Huyo akamatwe

  • @johnmbugua5690
    @johnmbugua5690 10 місяців тому

    Reminds me of magufuli burial

  • @harithtahir4398
    @harithtahir4398 10 місяців тому

    mbna cjaon hilo tukio

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 10 місяців тому

    Jaman mapoce maombolezo uchungu tena mnakuwa na hasira pole mwananchi

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 10 місяців тому

    Halafu anaachiwa aendelee na msafara hajatenda haki kabisa MUNGU atakuona wewe imeniuma sana wallah mpaka nimestuka ubinadamu gani huo ulomfanyia binadamu mwenzio

  • @erickbeneth784
    @erickbeneth784 10 місяців тому

    Huyo aliye mpiga kofi niusalama wataifa waga wanahizo tabia kama vile wao hawatakufa hicho kitendo nichakulani kabisa angekua mimi na musibani nisinge kanyaga kabisa hajafanya vizuri nimeona kama vile nimuzee hapo kama nipulesha sianakufa na yeye jamani

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 10 місяців тому

    Kwenye tukio kama hili si vema kushambulia wananchi. Tunahitaji weledi kujua ni mahali gani askari atumie nguvu...

  • @jakayajuma9867
    @jakayajuma9867 10 місяців тому

    Jamaa kadondoka kama ndege imeisha mafuta

  • @AnnaMrsmoses
    @AnnaMrsmoses 10 місяців тому

    Hiyo ndio maana ya akili ndogo madaraka makubwa

  • @Chemba67
    @Chemba67 10 місяців тому

    Kazi za polisi wa kibongo ni kama zifuatazo-Kupiga raia bila hatia, kuonyesha ubabe sehemu ambazo hata hauhitajiki, kukimbia kimbia kama wehu ktk sherehe au dhifa za kitaifa ikiwemo mazishi ya viongozi na kutanua mikono kwa kuzuia licha ya kua hakuna dalili yoyote ya mtu anayetaka kujipenyeza ilimradi tu, dhuluma, kusema uongo NA MENGINEYO meeengi yasiyo na kichwa wala miguu, yaani wameiharibu profession kiasi hata cha kutokutamani ndugu wa karibu au mtu unayehusiana nae awe polisi. Hovyo kwelikweli , bure kabisa. Amekosa nini huyu mtu mpaka apigwe kiasi hiki?? ni kwa kuonesha huzuni ya kuondokewa na kipenzi chake??

  • @ElizabethJustin-wv8gb
    @ElizabethJustin-wv8gb 10 місяців тому

    Amlipe fidia hatujafurahi hawo waliyosimamisha msafara hajawaona akawapiga inaonyesha nitabia yake serekali imchukulie hatua

  • @SaudaNodrini
    @SaudaNodrini 10 місяців тому

    Hii ndio safar yake ya mwisha pumzka kwa aman lowasa

  • @mohamedmbalazi748
    @mohamedmbalazi748 10 місяців тому

    Mnafuata nn misiba ya watu, mnaishia kupigwa

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 10 місяців тому +2

    Askali amekosea, yule mtu alikuwa pemben kabisaaa

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 10 місяців тому

      Ulimuona alichofanya kabla ya kupigwa walio pembeni wapo kimya mbona

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 10 місяців тому

    Masifa police wetu wanasifa Sana keani huyo jamaa angefanya nn na mtu tayar keshakufa nyie police feki mmewekwa hapo kwa ajili yawajomba zenu ndio mko hivyo Ila hivi huyo mwananchi nae akikupiga wewe utajiskiaje yaan we police nimekumaind kishenz Ila poa tu

  • @HezroniJonh
    @HezroniJonh 10 місяців тому

    Tanzania nchi ya amani 😂😂😂😂

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 10 місяців тому +1

    Wananchi kataeni vitu kama hivi.

  • @FadhiliMgalla-ds9fx
    @FadhiliMgalla-ds9fx 10 місяців тому

    Amefanya jambo baya sana huyo asikali hakika nimeumia sana mtu anauchungu nakiongozi wake yeye anamupiga tena kweli nimeumia sana ningekuwa namamulaka ungenambia vizuli nasikitika sana hawa ndio wanao tumia vibaya mamulaka walio pewa kuwa namoyo wakiutu

  • @henrymntangi7783
    @henrymntangi7783 10 місяців тому +2

    hawa polisi ccm wana shida gani, haikuwa sahihi kumpiga mtu ivo

  • @edgarmbegu1974
    @edgarmbegu1974 10 місяців тому

    Huyo mlinzi ni mpumbavu

  • @-TECHNICIAN
    @-TECHNICIAN 10 місяців тому

    ACHUKULIWE HATUA ZA KIJESHI HUYU ASKALI ....AFUKUZWE....KAZI YA ASKALI NI KULINDA SIO KUPINGA

    • @siamnyone8403
      @siamnyone8403 10 місяців тому

      😂😂😂ndoto za abunuasiiiii

  • @JeremiaNgonyani
    @JeremiaNgonyani 10 місяців тому

    Wakome kujipendekeza mamboyawakubwa waachieni wakubwa

  • @dullayomwinyi3359
    @dullayomwinyi3359 10 місяців тому +1

    Ndo aache kiherehere

  • @joshuandaki-g9s
    @joshuandaki-g9s 10 місяців тому

    7:34

  • @ghottaman2570
    @ghottaman2570 10 місяців тому

    Sheria ipite kwenye mkondo wake sîyo fea alicho fanya

  • @SaudaNodrini
    @SaudaNodrini 10 місяців тому

    Anatakiwa ashushwe daraj

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 10 місяців тому

    Afu kampiga mtu mdhaifu fala yule

  • @JoelinaPareso
    @JoelinaPareso 10 місяців тому

    Duhhhhhhhhhhh

  • @yusuph1547
    @yusuph1547 10 місяців тому

    Duu kaumia jamaa

  • @Solace577
    @Solace577 10 місяців тому

    Shenzi sana, hivi majitu kama haya bado yapo nchi hii, mtu anaomboleza unampiga why??? Shetani, iblisi wewe

  • @georgeikinya2779
    @georgeikinya2779 10 місяців тому

    But why should this idiot hit someone mourning a hero he adored like he is dealing with a hard core criminal? This is not a police officer but a savage with nothing between his ears and should not be associated in any way with a disciplined force. So painful to watch this incident.

  • @MabulaLufumbo
    @MabulaLufumbo 10 місяців тому

    Huyu mlinzi gani mpumbavu kiasi unampiga mtu bila sababu yupo kwenye maombolezo hakika kuna watu wanajisahau sana kama hii dunia ni yao peke yao hakika mungu atamuadhibu naye pia,huyo aliopo kwenye hilo gari alikuwa mtu mkubwa zaidi yako wewe mlinzi lakini hakuwahi kumpiga raia kiasi hicho ukizingatia hiyo ni rami kama akipasuka fuvu si utakuwa umeua? Nakushauri na kukumbusha walikuwepo zaidi yako wewe ,namuomba mheshimiwa rais wetu mama samia kama umeiona hii video tafadhali nakuomba mchukulie hatua huyo mlinzi

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 10 місяців тому

    Haaahaahaha duh!

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 10 місяців тому

    Mjinga sana uyu mlinzi

  • @nyanjachannel5517
    @nyanjachannel5517 10 місяців тому +1

    HUYO ASKARI KAFANYA UJINGA ALAF KWELIKWELI AMEKOSA NINI MBONA KWA MAGUFURI HAIKUWA HIVYO !?

    • @erickbeneth784
      @erickbeneth784 10 місяців тому

      Tuna ombasana mama yetu Raisi umuombee musamaha yuyo asikali na jua utakuwepo siku ya kumupumuzisha mzee wetu huyo asikali kafanya makosa

  • @Haimanmond1
    @Haimanmond1 10 місяців тому +2

    Tunapenda kutoa lawama ila ni hatari kwa msafara kuzingirwa kama vile