MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU TU! HAKUNA MATUNGULI, MASHEKHE, MAASKOFU ama MARAISI au MACHIFU isipokuwa kwa UWEZO WAKE YEYE! ALLAHU TABAARAKA WATTAALLAH!🎉❤❤❤
Mashallah Mashallah,Vina utunzi ,mtiririko,Nyuzi zinavyochanwa,sauti zinao uwezo wakumkotoa aliye nje ya Afrika,yaani utamu mtupu,asili mia Kwa mia,Gumba juu,kushebeduka Nako shwari tu, Mashallah Mashallah 🔥🔥🔥❤️❤️♥️👌👍🙌
Fatuma napenda nyimbo yote Mashallah hii mambo yote alafu you look good weight nayo Mashallah life is good haaa but because of Allah Subhana Wataallah kila kitu ni mpango wa MWENYEZI MUNGU YATAPIA KANDO WALLAHI 😍🥰👍🤲🤲🤲AMIN
Love your Taarab Kweli bila ya MWENYEZI MUNGU 💪your the BEST AM YOUR BIGGEST FUN ALL THE WAY FROM our LOVELY KENYA 🇰🇪 MAY GOD BLESS OUR COUNTRY AND THE WHOLE WIDE WORLD 💓
Nakupenda sana fatuma ......popote nikisikia Sauti yako lazima nitulie
Fatma dada changu ...
Mzee Yusuph kwa utunzi wake bora
Fatma Nyoro kama kawaida hana kazi mbovu
kwa kwel😘😘😘
Umeona enh
2024 na bado Sio poa kutishana Mimi si fanyi mishemishe🔥,watu wa gulf mukuje hapa🇶🇦🇰🇪
✌️
Pambe 2 ❤❤❤❤❤❤
Tupo 😅😅😅
Maruperupe mwenyewe top 👌
Kama ni nguvu yangu,huyu angeitwa wangu.
MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU TU! HAKUNA MATUNGULI, MASHEKHE, MAASKOFU ama MARAISI au MACHIFU isipokuwa kwa UWEZO WAKE YEYE! ALLAHU TABAARAKA WATTAALLAH!🎉❤❤❤
Wapiiii Tatma mahmuud mtot wa kizanzibar toen raha ww namdog wako zuchuu wazazibar kwa saut nyoro tu mashaallah allah atizidishie
Narudia mara kwa mara haushi.hamu tawile.pambee.chukuwa🎉🎉🎉🎉 yako❤❤❤❤❤ sana Fatma.mcharuko umeutendea haki huu mwimbo wenye ujumbe murua
Hkn m2 mwembamba duniani
Maruperupe hii nyimbo ajaab
Nakupenda xan❤❤❤❤❤
Lamungu hawaliwezi wallah Allah akutunze Fatma unanyimbo nzuri mashaallah
Kukupenda ndio najuaga
Sauti tamu sana nakupenda piaa umependeza umenenepaa dada❤️❤️❤️❤️❤️❤️👌👌👌👌
Kunichukia sio poa hakiyamungu😇
Pambeee
Nakupenda sana dada una kazi mbovu nyimbo zako zote zikovizur
Tulikumis ila umejua kurudi vzr hongera kw nyimbo tamu 😘😘😘😘😘🔥🔥🔥🔥
Hichi ki dame Cha nimaliza.
Hahaaeee dada Fatma kiukweli uko pambe 💯💯💯💯
Katika ubora na kiwango chako da fety maneno kintu,maneno pambeee🔥🔥🔥
Kwl sster wambie kua juu xio ujanja wa mtu bali mungu mwenyewe kutk
Like her name suggests,Fatma Nyoro ......sauti nyorooooro
Namkubali uyu mdada
Her vocals is another level
FATMA MWIMBAJI BORA ALOTULIA NA KAAJALIWA SAUTI NZURI MNO YA KUTOA WEUPE WALOJITULIZA
Fatuma anaju, anajua na anajua tena🙌
❤❤❤❤❤❤❤ huna baya dada
Am just in love with her voice 😍. I love taarabu music. From Nyali Cinemax Mombasa.
She's so talented mob love from us mombasa people
Much appreciation from you man. Here from Zanzibar
@@abrablack woow 😇
@@allyhabib9568 karibu habeeb ❣️
Kabisaaa 😊
Unashika no moja tanzania kucheza na kuimba ukiwa staging Fatu
Umetisha mwajina tuma kama tuma kwenye ubora wako
Dada mrembo kweli kweli, kaumbwa, kaumbika dada Fatma. wang'ara mithili ya almasi kwenye jua la asubuhi
Mpango sina, raha nijikoseshe
Maamuzi ya rabana, ninakubali yaishe
Sio poa kutishana, msifanye mishe mishe
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
SAFINA MODERN TAARAB SAFI SANA KWA KAZI YENU MUFTI KABISA MUKO JUU TU SANA.
Nachompendea huyu dada akiimba asimami kama mnazi yani anatoa na show ❤🔥🔥🔥🔥🔥🌹🌹
Achoshagi ktk mirindimo yke ❤️❤️😍
Nimecheka🤣🤣🤣🙌🏽😍
Mcharuko mwenye ❤❤❤
@@husnahomar5133 £
@
Mcharuko❤
Asanthaaaaa nyimbo pambeee🔥🔥Najiachia kwa raha zangu😃...kwa shida zaoooooo💃💃
Umeitendea haki nyimbo umecheza hadi raha ❤❤
Nakukubali San fatuma
Unashoo mbovu Dada angu
Santhaaaa Fatma Mahmood ameupiga mwingii 😘😘😘😘😘
Si kwa unene huu👐Mcharuko mwenye sauti yake🔥🔥
Radhia Juma...I luv taraab za Fatma sauti mwaaa😘😘😘kucheza nako ananipunga aisee
Naam Naam nyimbo ni tamu sana bgp kwako bi fatuma❤
Mcharuko hoyeee
Navyoipenda hii nyimbo hata kutwa naisikiliza hongera zako bby
mashall, jahazi inalejea jamani, kiukweli mzee Yusuf una kipaju,fatuma amependeza Sana ,tunamuomba na rahma tumusikie, jahazi yetu jamani tuliimisi
Jamani jamani nipeni mawasiliano ya huyo muhimbaji nimpe zawadi yake nipo USA 🇺🇸 ♥️ Mashallah.
Dada Fatma tumpeni mauwa 🎉🎉 yake jaman maana nyimbo ninzur hali yakuwa Kila wakati naisikiliza❤❤❤❤
Mashallah Mashallah,Vina utunzi ,mtiririko,Nyuzi zinavyochanwa,sauti zinao uwezo wakumkotoa aliye nje ya Afrika,yaani utamu mtupu,asili mia Kwa mia,Gumba juu,kushebeduka Nako shwari tu, Mashallah Mashallah 🔥🔥🔥❤️❤️♥️👌👍🙌
Umeonaeee
Jamani nauludia mala kama zote 🔥🔥🔥
Lisilo nifika Mola hajalipitisha
Litanipitia kando!
❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Naxkiza nkiwa 🇶🇦
I luv fatmah nyoro originally ....Asante kwa kurudi mamaa upo juu mavazi kucheza mashallah
This lady is talented,,, her voice is the best, her dressing cod is the best and her dancing style is 100% the best.
Kapagawa ww
Mwanzo hapo nyuma ni mambo yooote😊
Ako sawa Kila pande
Tuma unatisha sana, njia ulizotembea humu mwisho ,hatari sana
Huyo ndio Fatma mcharuko mwenyewee hanaga show mbovu
4m is great for anyone looking for a great ❤
Unaweza dada
Fatuma. Ukovizurisana.
Fatma sio poa❤❤❤
Watu weeeeeeweeee 💥💥💥🔥🔥🔥
Asante swaiba maneno pambe
Fatma msharuko💙hoyeee naku follow kutoka👉🇰🇲
Fatuma napenda nyimbo yote Mashallah hii mambo yote alafu you look good weight nayo Mashallah life is good haaa but because of Allah Subhana Wataallah kila kitu ni mpango wa MWENYEZI MUNGU YATAPIA KANDO WALLAHI 😍🥰👍🤲🤲🤲AMIN
Sauti nyororo
Nyie...nyieee...mbona pambeee
Pigs kelele kwa mcharuko we we weeeeeee
Nakupenda San Fatma nyimbo zako tamu kwel nazipenda san
Nakubali sana dada Fetty
6:32
Wooow sauti tu
Fatuma Mcharuko na Salha Abdallah nawapenda mno mno mnoo,haswa Fatma Mcharuko ananikoshaaaa mnoo
Sio poah kutishana nisifanye mishe mishe uwiiiiiiih ,,, UMEUA FATMA MCHARUKO 🔥🔥🔥
Pambeee 🔥
Fatma nyoro hatar tupu👌👌
Fatma karud ten kwamzee yusuph
Maneno ya kweli.
Me sio mpenz wa taarabu ila huyu dada anajua sana...
Nampenda huyuu dada wallah
I love you fatma allha akupe maisha marefu
Huwa naipenda sana Taarab tangu utotoni sijui Kwa nini sikupata bahati hii jamani nikutazama Fatma najiona mimi
we Fatuma wewewewe tenaaaaaaa
Mic u fatma nyoroooo mtt wa kizanzibar...mby lini jamannnnn..njoon tunawamic saaaana.
🥰💃💃💃💃waaiyooooo 👌 254 kenya 🇰🇪 mombasa woooiyeee💃💃
Sautii yako🥰🥰
Maupendo mob 😘😍 nice voice ma mummy🤗🤩👌💖💝💞
Hehehe
Great 1 girl karibu sana ❣💃💃💃
Dada anajua sana huyu
Ukimaliza kuimba chukua (mademu) yako uje nyumbani kwako mombasa....
Much love dada,, Nakupenda bure sweetie nice song keep up
Huyu dada anajua sana
tunaisubiriiiiiii
Hapo sasa mpenzi...wape chao
Sauti mashaallah 👌❤️❤️❤️ yanifanya nasikiliza kila wakati swadakta kwa kazi nzuri Allah akupee nguvu kwa kazi yako nzuri
Dada sauti yko tamu kwa kwl,na mbna nyie watu taarabu hamfanyi colabo mngefanya colabo na dada mwngina aitwa rahma machupa ingekua ingine Kali sana💯🔥🔥
Weee ❤
wedada ipo siku ndakutafuta live maana nakukubali ad sio pow
Asante nyimbo nzuri sana😅
Love your Taarab Kweli bila ya MWENYEZI MUNGU 💪your the BEST AM YOUR BIGGEST FUN ALL THE WAY FROM our LOVELY KENYA 🇰🇪 MAY GOD BLESS OUR COUNTRY AND THE WHOLE WIDE WORLD 💓
Nampenda buree jamon
Sauti yenyewe dah🔥🔥🔥🔥❤️
Umeweza daaa
Napenda jamaniiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 Phatmah Mahmoud kazi safi sana dadah😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Eggah tsuma. Mistari ya Vina, Mimi Kama Mimi nakukubali saaaaana tu!
Fátima sempre no lugar nunca me dechou atrás nakupendaga sana dada mcharuko