Mch Moses Magembe - SHUHUDA ZA WALIOPONA NA KUFUNGULIWA KATIKA MKUTANO | MAKAMBAKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @barakambunda5428
    @barakambunda5428 Рік тому

    BWANA YESU ASIFIWE naomba niulize mbona video hazipo zote hapa kwenye list zipo chache?

  • @aime6186
    @aime6186 10 місяців тому

    Mungu Akubariki saana kweli Mtumishi wa Mungu
    Pia Mungu anisamee kweli kabisa kwa yote nirio tenda kweli na mpokea yese kweli Mungu Atusamehee kweli kabisa

  • @maikokipangula6860
    @maikokipangula6860 Рік тому +1

    ubarikiwe

  • @musicagospelratane6769
    @musicagospelratane6769 Рік тому +1

    Deus abençoe pastor

  • @naikekangele7117
    @naikekangele7117 Рік тому

    mungu akubariki mch pasua kweli maana watu wamefanya yesu ni bihashara yao

  • @abihudiisaka2618
    @abihudiisaka2618 3 роки тому

    jesus a miracle worker...

  • @dullahsalehe8833
    @dullahsalehe8833 3 роки тому

    Ameen

  • @bishengadau681
    @bishengadau681 3 роки тому

    UBARIKIWE SANAAA BABA ANGU NABARIKIWA SANAAA

  • @edwinmbwilo6128
    @edwinmbwilo6128 3 роки тому

    Naomba namba ya huyo binti aliyeletewa ufunuo wa hilo shimo la moto na hivyo viti vitupu.maana mimi mwenyewe kabla sijaokoka nilikuwa hukohuko alikotoka yeye. Namshukuru sana BWANA Yesu aliniokoa na kuniweka T.A.G Tunduru Christian Center

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 роки тому

      Sasa kama Yesu alikuokoa namba ya binti ni ya nini sasa!? Si umtumikie Mungu wako tu.

    • @edwinmbwilo6128
      @edwinmbwilo6128 3 роки тому

      Kaka pole umeenda mbali mno

    • @ptElimu1234
      @ptElimu1234 2 роки тому

      Kwenye namba hapo umeenda mbali sana Mtumishi 🤔