BINTI LATIFA PART 1: SIMULIZI FUPI BY Beatrice Mshana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 35

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 5 місяців тому +2

    mr ashimu ni baba mwenye matamanio sana yani Latifah nikama binti yake kwa nn ameamua kumuingilia kimwili na kumtoa usichana wake ❤❤❤

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 5 місяців тому +5

    Mashaal asant 1❤❤🎉🎉

  • @ZakiaJongo-ey9xy
    @ZakiaJongo-ey9xy 5 місяців тому +6

    Jamn leo nimekuwa wapili❤🎉🎉

  • @Rais__772daughters
    @Rais__772daughters 5 місяців тому +6

    Huyuu binti alifeli mtihani na maisha pia yaani

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 5 місяців тому +4

      😂😂😂unauhakika tayar umeshaimaliza kuisikiliza yote Ndio ukacoment dear

    • @Rais__772daughters
      @Rais__772daughters 5 місяців тому +3

      @@AnnaMelikion kipenzi Latifa kanishida tabia ameshidwa tuh kumkomesha huyuuu babu kizeee sijapenda☹️😂

    • @Naaima-c7e
      @Naaima-c7e 3 місяці тому

      😂😂😂​@@AnnaMelikion

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 5 місяців тому

    Duuuh Latiffa kumbuka unajuwekezea hatina yaunayo watendea wengine

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 5 місяців тому +3

    ❤❤❤❤🎉🎉

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 5 місяців тому +6

    Huyu dada hana akili yaani utachanganya vipi familia nzima huyu dem ni ubwa aki nachukia watu kama hawa hawa

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 5 місяців тому +1

    Latifa umetisha mdogo wangu,mwanzo ulitia huruma ila sasa unatia kichefuchefu jamani, umeshakua zabania kugombanisha mabwana tena familia moja😢

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 5 місяців тому +7

    Latifa sio wa kumlaumu San jamani 😢😢😢 Nae ni binadamu kaeni mfikilie ni mangapi amefanyiwa na kutendewa 😢😢
    Nashangaa weng mmemtupia San shutuma .je mmeshavivaa viatu vyake na mkafikilia ni mangap ya yaliyomkuta???Hapo wa kulaumiwa kabisa ni shangazi yake Latifa hao Ndio wameharibu maisha ya huyu Binti latifa

    • @Aishwaraimasiennah
      @Aishwaraimasiennah 5 місяців тому +3

      Kweli kabisa

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 5 місяців тому +3

      @@Aishwaraimasiennah Umeona dear.yote yaliyotokea Latifa sio ya kujitakia yeye bali ni binadamu Ndio wanamfanya aonekane kuwa yy n mtu mbaya mpka katolewa usichana wake yot hayo ni kutokana na shangazi yake kumtimua pale nyumban 😢

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 5 місяців тому +1

      Lakini hii story haina uhalisia .ila.tumeburudika.n Tumepata.somo.kiasi

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 5 місяців тому +3

      Kama mtu vile

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 5 місяців тому +3

      ​@@AnnaMelikionSasa ndo ulie

  • @sarahmathew6214
    @sarahmathew6214 4 місяці тому

    ❤❤

  • @bintimrope
    @bintimrope 5 місяців тому +3

    4😊

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 5 місяців тому

    😅😅😅😅🤔

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 5 місяців тому +8

    Ila huyu Latifa kwanini ange achana na salimu maana aritembea na baba yake watu wanamiyoyo migumu kama jiwe Latifa Latifa sijapenda kabisa. Nahuyo baba yake salimu alifanya makusudi kuto kufuatilia mali za Latifa maana ni haki yake. Ila Latifa kutembea na baba na watoto zake wa kiume umenishinda tabiya we Latifa.

    • @AlulaJunior
      @AlulaJunior 5 місяців тому +1

      Hajitambui huyo latifa Ani anajizima dhata

    • @LovenessMsangi-u7r
      @LovenessMsangi-u7r 5 місяців тому

      Lakini kwa nini walimubaka hayo ndio malipo

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 5 місяців тому

      @@LovenessMsangi-u7r sasa ndo atembeye na wanaume wote wenye familia moja 🥺🥺🥺🥺🥺

    • @uwimanaLatifa-q4u
      @uwimanaLatifa-q4u 3 місяці тому

      Kwanini latifa jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂daaaaahh

  • @AleKhan-k3z
    @AleKhan-k3z 4 місяці тому

    Umelaaniwa ww latifa yaani unakula kuku na mayai yake pumbavu kabisa