MPYA: KAMANDA AMATA - (Eps 1&2) SIMULIZI ZA UJASUSI NA UPELELEZI BY FELIX MWENDA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 79

  • @EmmanuelElemba-zp9vr
    @EmmanuelElemba-zp9vr Місяць тому +12

    Haya sasa, Mzigo wa kijajus na mapigano alafu setting inaanzia Songea kwa Edgar Mbogo 😅😅😅😅 ni 💥 ❤️‍🔥

  • @juliusmalunde9636
    @juliusmalunde9636 Місяць тому +6

    Asante mtani wangu, nimefurahi kuisimulia hii simulizi

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja Місяць тому +5

    ❤❤wauuu hapa amna kupoeka asante sna mix felx mwenda tuko pamoja🎤🎤💜

  • @HappyChona
    @HappyChona Місяць тому +7

    Felix Felix wow ❤❤❤

  • @aminah9557
    @aminah9557 Місяць тому +8

    Nyieee mpo wapi mzigo mpya hewani huku❤❤❤❤

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 Місяць тому +6

    Wa kwanza aaaaa❤

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 Місяць тому +6

    Hayaaa Jeshi la kizukaa tunaanza kazi na brother Felix ❤❤❤❤❤❤

  • @LidyaTossy
    @LidyaTossy Місяць тому +5

    ❤❤❤❤❤ ❤

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu Місяць тому

    Brothee Félix hahaaaaaaa Mwamba Edgar Mbogo🎉🎉🎉🎉🎉mauayenu💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽lakini BwanaFelix tupatiye September11 utakuwa umefanya lamana shukran🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @mohammedkombo3940
    @mohammedkombo3940 Місяць тому +4

    Mhhhh naona kijana umechomokaa....navtu vpyaaa

  • @raayMahmid
    @raayMahmid Місяць тому +4

    Asante sana

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d Місяць тому +5

    ❤❤❤

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 Місяць тому +5

    Asante sana Felix kwa simulizi hii mpyaa 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 Місяць тому +1

      Nimefika na Mimi jamani 😂😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja Місяць тому

      @@zenaathumani8144 leo umcherewa shoga🤣🤣🤣❤

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 Місяць тому +2

      Hivi ni kweli jamani andasketi bado zipo katika Dunia ya sasa 😂😂😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja Місяць тому +2

      @zenaathumani8144 nyingi Sana uku tz

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 Місяць тому +1

      Oooh huku wala czioni kambisa 😂😂😂

  • @Wakiomiss.78
    @Wakiomiss.78 Місяць тому

    Amata kama amata moto wakuotea mbali huyu jamaa 🔥🔥🔥🔥

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka Місяць тому +2

    ❤nakukubali san kaka ila yule mlevi doe mtaftie kaZ ingn hata kideki 62dio,au kuwa mwandaaji kwa maandishi maan haelewk, nikm6klz namchok mapema

  • @rafiimohammed8446
    @rafiimohammed8446 Місяць тому +2

    🎉🎉🎉 s😅afi

  • @irenecherotich4975
    @irenecherotich4975 Місяць тому +7

    Simulix yako TU bros felex ndio Huwa inanibamba TU 🎉

    • @cyinesteve-qp1qb
      @cyinesteve-qp1qb Місяць тому

      P1 na me Yan angekua amesimulia filex ingebamba atr🫡

  • @SadikiAbdallah-ki7fx
    @SadikiAbdallah-ki7fx Місяць тому +1

    Nakubali kaz yak bro kwnye simuliz za ujasusi

  • @Jacqueline-gb3cs
    @Jacqueline-gb3cs Місяць тому +1

    Wallah, napenda sana sauti yako

  • @AishaOthumani-xq4ec
    @AishaOthumani-xq4ec Місяць тому

    Asante sana Felix Mwenda kwa sauti nzurii

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 Місяць тому +3

    ❤❤❤🎉

  • @chantalmavandu4950
    @chantalmavandu4950 Місяць тому +2

    Edgar Mbongo kazi nzuri

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 Місяць тому +2

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @John.L.Laizer
    @John.L.Laizer Місяць тому +4

    Tumekuja jamani 🏃🇰🇪to🇹🇿

  • @WinniePretty-t1v
    @WinniePretty-t1v Місяць тому

    Mungu akusaidie 🙏 Jamila

  • @tifanancy2845
    @tifanancy2845 Місяць тому +3

    1🎉

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula Місяць тому

    😢😮nice bonge la simulizi🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aminamhina9129
    @aminamhina9129 Місяць тому +2

    Nice

  • @FatmaHaji-x3h
    @FatmaHaji-x3h Місяць тому

    Kumekucha kamanda amata❤❤

  • @HaruniManula
    @HaruniManula Місяць тому +5

    Yaan nikikosa simulizi za ujasus na mapigano nakosa Amani

  • @mohammedkombo3940
    @mohammedkombo3940 Місяць тому +4

    Bandika banduaaa

  • @cleophaxgeremy2148
    @cleophaxgeremy2148 Місяць тому

    😂Dereva Felix Mwenda with Engineer Edgar Mbogo,am live from 🇰🇪

  • @godblessandrewshoo2897
    @godblessandrewshoo2897 Місяць тому +1

    Hizi hadithi za ruvuma ni fire+ msimuliaji 🎉🎉🎉🎉

  • @JafredBeja
    @JafredBeja Місяць тому +1

    Naomba Eps 2&3 kamanda Amata pls

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 Місяць тому

    🔥🔥🔥👌

  • @lindaanyango
    @lindaanyango Місяць тому +17

    Utambulisho mbona ni ya Edgar mbogo nikiskia Songea Ruvuma mmmh wacha ni kae mkao wa kula😂😂😂 kazi nzuri Felix

    • @MamaRuu
      @MamaRuu Місяць тому +1

      😂😂😂😂😂

    • @AkaroNdungu
      @AkaroNdungu Місяць тому

      Acha kumfananisha edgar mbogo na vitu vya kijingaa

    • @lindaanyango
      @lindaanyango Місяць тому +1

      @@AkaroNdungu ni vya kijinga lakini unasikiza sisemi kitu 😂😂😂😂

    • @F9000_of8ii
      @F9000_of8ii Місяць тому +2

      ​@@AkaroNdunguKijinga! Lete hadithi yako basi kama unafikiri kutunga hadithi ni rahisi.😊 Isitoshe hadithi ndiyo kwanza inaaza hata haijakolea. Subiri basi kabla hujakashifu.

    • @juliarosekaleza860
      @juliarosekaleza860 Місяць тому

      😂

  • @MerryamMukash
    @MerryamMukash Місяць тому +3

    Felix felix 😂😂😂😂😂nmekuita mara ngapi 😂😂naomba mfike kenya itapendeza sana nikiskiza simulizi kutoka nchi yangu

  • @Nurukhamis-j8v
    @Nurukhamis-j8v Місяць тому

    ❤😊😊😊

  • @JacklineMwarandu
    @JacklineMwarandu Місяць тому

    Ndio kuadza simulizi🎉

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Місяць тому

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JafredBeja
    @JafredBeja Місяць тому +1

    Naomba kamanda amata Eps 2/3

  • @matridajonas2614
    @matridajonas2614 Місяць тому +1

    Nzuri sana ya 3 please

  • @AkaroNdungu
    @AkaroNdungu Місяць тому

    Ni nzuri lakini zinachosha kuzisubiri😂😂😂

  • @mwenzeguleirene4200
    @mwenzeguleirene4200 Місяць тому

    Jamani natamani sana kuskia kwamba hii ni ya Edgar tunaomba utambulisho wa mmiliki please

  • @zuberinyenzi1982
    @zuberinyenzi1982 Місяць тому +1

    Kamanda amata nimesoma kitabu chake ni kizuri sana hadi kimepitiliza

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Місяць тому +1

    Bado hatujajua amata anamaajabuu gani mana ndotunaaza simulizi.japo wameaza kuua kikatili mbayaa hii

  • @zuhurahassani7981
    @zuhurahassani7981 Місяць тому +2

    September 11 jamani mbona mna tunyima haki zetu😂😂😂😂😂😅😅😅

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 Місяць тому

      😂😂😂😂wanatunyima na wkt Sasa tunaelekea December sijui ndo wanataka kutuletea hii December Jmn 😊😊

    • @zuhurahassani7981
      @zuhurahassani7981 Місяць тому

      We acha 2 uhondo wa mwalimu Lucy ​@@Pretty22750

  • @KhatibuJafar
    @KhatibuJafar Місяць тому

    Kusema ukweli kabisa mimi napenda simulizi za Edgar mbogo

  • @spenceralphonce594
    @spenceralphonce594 Місяць тому

    Kizuka ipo morogoro. Na siyo songea.

  • @ezekielbituro7969
    @ezekielbituro7969 Місяць тому

    Lakini jamani..ni mimi tu ama hata nyie nahic hii simulizi imerudiwa.?

  • @benjaminbrucesports3945
    @benjaminbrucesports3945 Місяць тому +2

    Kwanini Simulizi Ya “SEPTEMBER 11” haina mwendelezo?? Au kuna shida huko kwa Mtumzi ??
    😢😢😢😢😢😢😢

  • @AishaOthumani-xq4ec
    @AishaOthumani-xq4ec Місяць тому

    Simulizi inasisimua sana

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 Місяць тому +3

    ❤❤❤🎉

  • @MwanasitiSaid-s5c
    @MwanasitiSaid-s5c Місяць тому +1

    ❤❤❤❤

  • @MbaruqAthuman
    @MbaruqAthuman Місяць тому +4

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @KhadijaDija-ir2hq
    @KhadijaDija-ir2hq Місяць тому +4

    ❤❤🎉

  • @FatmaFatmaamour
    @FatmaFatmaamour Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @LuluMiii-d2x
    @LuluMiii-d2x Місяць тому

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @LaveenaIbrahim
    @LaveenaIbrahim Місяць тому

    ❤❤❤❤