Bajeti Ya Kufuga Chotara 400 [ROUGH BAJETI]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 40

  • @ematenbusinesssolution9949
    @ematenbusinesssolution9949 Рік тому

    Uko vizuri brothers

    • @LayersPro
      @LayersPro  Рік тому

      Asante endelea kufuatilia mafunzo kwenye channel yetu

  • @johannesishengoma1232
    @johannesishengoma1232 2 роки тому +5

    Nafikiri kwa gharama za awali za uwekezaji zinaweza kuwa zaidi ya hizo. Katika maelezo yako sijasikia gharama za chanjo pamoja na dawa zingine.

    • @LayersPro
      @LayersPro  2 роки тому

      Angalia hii video kuhusu Bajeti ya sasso 200 ua-cam.com/video/vIb0podazgw/v-deo.html

  • @jamesmsigwa4461
    @jamesmsigwa4461 Рік тому

    Samahani kaka hivi vitamini ni muhimu sana

    • @LayersPro
      @LayersPro  Рік тому

      JE UNAJUA UMUHIMU WA VITAMIN KWA KUKU🐓?
      UKOSEFU wa VITAMIN kwa Kuku au Upungufu wa VITAMIN hujionyesha kwa namna tofauti katika miili ya kuku, na kila dalili huashiri upungufu wa vitamin.
      📌 UMUHIMU WA VITAMINI.
      - Husaidia katika ukuaji wa kuku.
      - Humfanya kuku muda wote kuwa amechangamka.
      - Husaidia kuku kuwa mwenye afya.
      - Huwezesha kuku kuwa mtagaji Mzuri.
      📌 UKOSEFU WA VITAMIN 'A' KWA KUKU
      Ukosefu wa vtamin 'A' hujitokeza baada ya kuku kukosa vyakula vyenye vitamin 'A' kwa muda mrefu Kuku wadogo huathirika zaidi kwa kwa ukosefu wa vitamun 'A' pia hata kuku wakubwa.
      📌 DALILI ZA UKOSEFU WA VITAMIN 'A' KWA KUKU
      -Macho huvimba na kutoa uchafu mzito kama sabuni ya mche iliyolowana maji
      -Hudhoofika na hatimaye kufa na kuku ufa kwasababu uwa ni kipofu na hawezi kuona chakula kwahyo kuku ufa kwa njaa
      📌 TIBA NA KINGA
      -Kinga ugonjwa huu kwa kuwapa kuku majani mabichi au mchicha au chainizi wakati wa kiangazi au kwa kuku wanaofungiwa ndani na hawawezi kula majani
      -Wape kuku vitamini za kuku za dukani kama TOPVITA kwasababu Topvita ina muunganiko wa vitamin ya A, D, E, B/ COMPLEX - C
      -Kwa kuku alie athirika na ugonjwa huu msafishe na maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi hakikisha uchafu wote unatoka kisha mpe vitamin ya dukani kama FARMVITA, LAY VITA, TOPVITA au STRESS VITA Fanya zoezi hilo kwa siku 5.
      📌 VITAMINI B
      Manyoya huonekana kusambaratika, panga za kuku kuonekana zikiwa zimepauka, na kwa kuku watagaji hupunguza uwezo wao wa kutotoa mayai.
      📌JINSI YA KUKABILIANA.
      Wapatie kuku wako Dawa za multivitamin kama TOPVITA A,D,E,B,/COMPLEX -C
      📌 VITAMIN E
      Hizi ni dalili za ukosefu wa vitamin E kwa kuku,
      - shingo huanguka chini na kupinda.
      - Vifaranga huanguka kifudi fudi.
      - Utagaji wa kuku hushuka kwa kiasi kikubwa.
      📌 VITAMIN D
      Ukosefu wa vitamin D hupelekea tatizo la mifupa kuwa laini, na hali hii hupelekea mifupa kupinda pia magoti huvimba na hata midomo kuwa laini. Na hata ukuaji wa kuku huwa wa hafifu. Hii hutokana madini aina ya madini ya calcium na fosifolusi kutojengeka kwenye mifupa.
      Kwa kuku watagaji hali hii hupeleka kwa kuku watagaji kutaga mayai yenye ganda laini.
      📌JINSI YA KUKABILIANA.
      Vitamini hupatikana katika majani mabichi ya mimea, mfano majani ya lusina, mpapai, mchicha na mikunde
      Kazi ya vitamini ni kulinda mwili dhidi ya magonjwa, ila unaweza kutumia madini ya selenium kuongezea kwenye chakula cha kuku au unaweza kutumia STRESS VITA , FARMVITA au TOPVITA A, D, E,B,/COMPLEX -C

  • @Mwampepe
    @Mwampepe 29 днів тому

    Mtu anadai chanjo na dawa wakati anajua kuku ndani ya miezi miwili au 3 kuku wanakuwa wameuzwa kwa ajili ya kuliwa nyama

  • @CaroliCarlos-fh4wj
    @CaroliCarlos-fh4wj Рік тому

    Habari, je mtu akiihitaji eneo la kufuga la kukodi anapata???

    • @LayersPro
      @LayersPro  Рік тому

      Hapana hatuna mabanda ya kukodisha

  • @emelineuwezo3302
    @emelineuwezo3302 Рік тому

    Samahani Mimi niswali

  • @jafarimpili9688
    @jafarimpili9688 2 роки тому

    Naitaji themomiter

    • @LayersPro
      @LayersPro  2 роки тому

      Lipia 30,000 kwenye Lipa namba ya Voda 5454130
      Jina ; Moshi Agrovet
      Ukishalipia nitumie meseji ya muamala uliofanya kwenye namba hii 0659632332
      Majina yako na mahali ulipo utatumiwa bidhaa yako

  • @rnm7459
    @rnm7459 Рік тому

    Tafadhali nipatie namba ya simu yenu niweze kuwasiliana nanyi

    • @LayersPro
      @LayersPro  Рік тому

      Tupigie 0659632332 Kati ya Saa 2 asubuhi na Saa 10 jioni

  • @leedsoldat4189
    @leedsoldat4189 2 роки тому

    nashkuru sana kwa elimu
    ila naskia mkaa unawazuru kuku au ni maneno tu ya watu

    • @LayersPro
      @LayersPro  2 роки тому

      Hakikisha mkaa umewaka kabla ya kuuweka bandani, pia kwasasa Kuna namna nyingine kama bulb na gas heater ambazo unaweza kutumia kuwapa vifaranga wako joto
      ua-cam.com/video/JPkO6pXrecc/v-deo.html

  • @brysonmandari5694
    @brysonmandari5694 Рік тому

    Hapo unaingiza watu mkenge,hujasema garama ya kujenga Banda,chanjo tatu za kuku,pia Kuna umri ukifika kuku wanatakiwa majani. Na pia hujasema garama halisi na faida atakayopata mfugaji.

    • @LayersPro
      @LayersPro  Рік тому +2

      Karibu utuelezee gharama ya kujenga banda la kuku chotara wa nyama 400🙏

  • @kukufreshzanzibar7065
    @kukufreshzanzibar7065 2 роки тому

    Unauza sh ngapi kwa kuku mmoja

    • @LayersPro
      @LayersPro  2 роки тому +1

      Inategemea na Soko husika, hapa Dodoma mjini ni wastani wa 9000-10000 kwa chotara wa miezi miwili

    • @kukufreshzanzibar7065
      @kukufreshzanzibar7065 2 роки тому

      Kwa miez mitatu wastani ukiuz 15000

  • @upendomushi7605
    @upendomushi7605 2 роки тому

    Naomba namba kaka ili uweze kunishauri zaidi

    • @LayersPro
      @LayersPro  2 роки тому +1

      0659632332
      Nipigie kati ya saa 3 asubuhi mpaka saa 12 jioni

  • @GasparsamwelLaizar-ys6tf
    @GasparsamwelLaizar-ys6tf Рік тому

    Naomba namba zako

  • @MahanyuSaidi
    @MahanyuSaidi Рік тому

    Sijasikia mtalam akitaja garama za chanjo nadawa

  • @knhk7471
    @knhk7471 2 роки тому +1

    kaka vipi nikichanganya chakula mwenyewe kwa fomula nyingine bila kuweka hiyo grower pellet matokeo yakoje ?

    • @LayersPro
      @LayersPro  2 роки тому

      Kama formula ziko vizuri itafanya poa tu

  • @rajabuomary4367
    @rajabuomary4367 2 роки тому

    Kaka Je kuku wa mayai 500 bajeti yake ikoje

    • @LayersPro
      @LayersPro  2 роки тому

      ua-cam.com/video/2Iixx2-6nnk/v-deo.html

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 Рік тому

    unawasimamia vp wafugaji

    • @LayersPro
      @LayersPro  Рік тому +1

      Kupanga kuhusu mradi husika, kumfundisha, kumkagua kama anafanya aliyofundishwa etc

    • @muhammedwakif6216
      @muhammedwakif6216 9 місяців тому

      Kukagua unaenda sites kama yupo mbali Inakuwaje

  • @dinaorio1852
    @dinaorio1852 2 роки тому

    No ya wtsup kaka

  • @emmanuelkanemba3336
    @emmanuelkanemba3336 2 роки тому

    Wafanyabiashara wa Tz wanatangaza biashara mtandaoni bila kuweka mawasiriano am very sorry

    • @LayersPro
      @LayersPro  2 роки тому

      Asante kwa maoni yako, Mungu akubariki 🙏🏽