ANGALIA WOTOTO WALIVYOTUNZWA MAPESA HOLIN KWA KUSOMA NASHEED MZURI KULIKO ZOTE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 56

  • @sheheHassani
    @sheheHassani 3 дні тому +1

    Mashaallah wapendwa

  • @hassanhaji1036
    @hassanhaji1036 11 днів тому +3

    MASHAALLAH shehe ally ap umeweza umeweza Tena umeweza na Tenaaaaaa❤. Da sabra apa

  • @SalmaAli-b9s
    @SalmaAli-b9s 4 дні тому

    Mashallah wapendwa wng ❤❤

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 8 днів тому +3

    Mtume wetu ameshushiwa Aya inayosema.ewe mtume wa mungu waambiewakezako wajisitiri wavae shungi bugibugi wasioneshe mapambo yao

  • @RechoSahil
    @RechoSahil 6 днів тому

    Mashalllah wenye donge lazma wataharibu kusema maneno hayafai ila umejitahidi ustadh alliy mung azidi kukuza chuo chak inshallah

  • @MwanahamisiNdende
    @MwanahamisiNdende 4 дні тому

    Kaz mzuri

  • @SalimMohd-he8rw
    @SalimMohd-he8rw 9 днів тому

    Mashaallah ❤️ Allah awazdishie kipaji chenu inshallah

  • @hamadiweko3567
    @hamadiweko3567 10 днів тому +1

    Mashallah tabarakallah 🙏 jazakumullahu khairi inshallah 🤲🤲🤲💞💕💕❤❤

  • @asmakhamis4479
    @asmakhamis4479 9 днів тому

    Mashaallah nasheed pyambee htryyyyy❤

  • @NairatHassan-nm2dg
    @NairatHassan-nm2dg 8 днів тому +2

    ❤❤❤

  • @Thania-ms9vr
    @Thania-ms9vr 9 днів тому

    mashallah😍😍😍😍😍😍

  • @RamazaniDjuma-r5z
    @RamazaniDjuma-r5z 10 днів тому

    Manshaalla 🤲

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 10 днів тому +2

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @AbassiAbassi-f1l
    @AbassiAbassi-f1l 3 дні тому

    Kwa mafunzo hayo mwishowe ni kutumbukia kwenye uhuni,
    Ewe mzazi msomeshe mtoto wako maadili mema
    Ukihis haya ndio maadili mema endelea kumpa nguvu ayajuwe vyema
    Na ukihis haya si maadili ya saw bas haraka mtoe kwenye Giza hili na umpeleke kwenye Nuru njema

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 2 дні тому

      Nmekutafuta san kweny channel ya zuchu na yammi cjaona koment zako 😅😅vp au unachagua pakufundiahaaa 😅😅 alafu unajipa uungu ww hya umejuajee kam watkuua wahunii 😅😅inaonesha unajua ata cku zjaZoooo 😅😅hongeraaa

  • @ashaahmed4944
    @ashaahmed4944 4 дні тому

    Mimi sijapenda watoto mnawafundisha nini kesho mtamjibu nini allah

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 4 дні тому

      Ungekoment iv t ningekuona wa maaaan ..na ningejuaaa. Asa una nia ya kuelekezaa ..lkn kumbe hujitambuii huwez kuita kazi za watu ujinga ukatzamwa tuuu ....mjinga ww n familiaa yakooo

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 4 дні тому

      Upende usipende ww kama nani kwa n et tuliza komwe ilo

    • @MamNass
      @MamNass 3 дні тому

      Endelea na kaz kaka usijibu utatoka kwenye uungwana usiwatukane we nyut tuu sio kila anaeona anaelewa

  • @hassanhaji1036
    @hassanhaji1036 8 днів тому

    Narudiaaa tena MSAFII ULIMWENGU HUU HAYUPOO ukiona imekukwaza hujaipenda tafuta ARO ya kusafshia choo kunywa ...utulizeee kihereee😅😅😅

  • @ashaahmed4944
    @ashaahmed4944 4 дні тому

    Wafundisheni watoto dini yao wamtambue allah na maadili mema sio ujinga huo

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 4 дні тому

      Ukiwa fundisha wa kwako inatosha.......mjinga mwwnyeooo malaya we ..ungekua unjitmbua asaucngesema n ujinga mana hajakamatiwa mtu apo fala weee

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 4 дні тому

      Na uo unaosema ujinga ndo ulofunzwa au walifunzwa wazee wako ukazaliwaaa ww

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 4 дні тому

      Kwan ndoa c dini ???? Et ukhty mashungiii

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 8 днів тому

    Mtume wetu ameshushiwa Aya inayosema.ewe mtume wa mungu wambiewakezako wajisitiri wavae shungi bugibugi wasioneshe mapambo yao

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 8 днів тому

      Ungekoment hivi tu ningekuona wa maaana SANA...kumbe hujielewii. Mjinga mwenyeooooooo

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 8 днів тому

      Na nlichokiona hujui ata unatak nn naona unahangaika tu ...mara pana wanaume .mara wangevshwa ahungi na baibui wasingepwndezaaaa...ueleweke VP ww. Mwenyeo hujijui ata icho unachokifundshaaa ..tuliaaa bibi wee kila mmoja kajaza apa ..au tuseme mwenzetu ww ushabashiriwa pepo et???

    • @RechoSahil
      @RechoSahil 6 днів тому

      Wachawi utawajua t

  • @hassanhaji1036
    @hassanhaji1036 8 днів тому

    Utaskia MTUME SAW kasema ..saw kasema je alosema yte ww uko sawa .... ?????

  • @TalhaFatihi
    @TalhaFatihi 6 днів тому

    Mapambo watoto Haifai

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 6 днів тому

      Ndo washavaa mwezangu. Kama limekuuma tafuta acid ujipake.

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 6 днів тому

      Watto wanatk kutunzwa umeahkiliaa mapambo 😂😂mzma kwel ww au ndo uo uchawi wenyewe unakusumbua😜

  • @NassourBimkubwq
    @NassourBimkubwq 10 днів тому

    Watoto wanapewa mambo ambayo hawajafikia😢

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 8 днів тому

    Nandomana leo tunafanya yaletuliokatazwa na tunaacha tuliyo amriswa kwani wangevishwa mashungi wasinge pendeza

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 8 днів тому

      Huu muda ulokoment ungetafuta mshahafu ukasoma ungekua mbali San ....uku unfnya nn kama c uheke

    • @RechoSahil
      @RechoSahil 6 днів тому

      Yaan ww je kungediwa mziki ungesemaje mbona unaongea pumba iyo nasheed ndo maan watu wakaweka wanawake akiza kuwa mkubwa hasomi ila ao wadogo wanaume wamekuaje au ndo uchawi

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 6 днів тому

      ​@@RechoSahil..usikute pana bwan wake apo lbda kaona wivuuu😅😅 mana ata mm cmuelewii

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 8 днів тому

    Acheni ujinga mnawavisha watoto nguo zauchi halafu na haowanawake watazamaji pia wapi uchi halafu na mijanadume inaangalia

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 8 днів тому

      Acha ukhanisii ww ....choyo tu ndo washavaa kashtak bas ... Kuna uloona chupi yake apo khanis kwel ww

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 8 днів тому

      ​@@hassanhaji1036PUNGUZA BASI UKALI WA MAENO, MBONA KUTOA COMMENT NI HURU KWA KILA MTU

    • @RechoSahil
      @RechoSahil 6 днів тому

      Uchu unaujua www acha upunzi

  • @hassanhaji1036
    @hassanhaji1036 8 днів тому

    UKILIONA JITU LIMEKOMENT VBYA UJUE CHOYO KINAMKEREKETAAA ...TUACHE KUJIPA MAJUKUMU YA MUNGU...KILA ALIENA LAKE AOMBE RABI SALAMA MSAFI HASWA HATUKOOOO🔨🔨🔨

  • @rizikipandu8742
    @rizikipandu8742 9 днів тому

    Sio vyema kuwafanyia ivo watoto mnawafundish nini

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 9 днів тому

      Ww unahis wanafundshwa nn...mbona waja mmekalia KUTOKA kasoro tu...hya tunasubr wakwako aje atutoleee mawaidha.

    • @asmakhamis4479
      @asmakhamis4479 9 днів тому

      Wew umeon wafundishwa nn😏

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 9 днів тому

      Hahaahhh ukute mtu choyo tu ..wakt wtto wake ndo ashaddu ..

    • @ammoahmed2561
      @ammoahmed2561 8 днів тому

      Ni kwelivsio mambo ya choyo. Ni makosa

    • @hassanhaji1036
      @hassanhaji1036 8 днів тому

      ​@@ammoahmed2561 na u tube kwenye dini haimo ..unafnya nn uku

  • @Hudhaimakassim
    @Hudhaimakassim 9 днів тому +1

    ❤❤❤

  • @Nurubeb
    @Nurubeb 9 днів тому +1

    ❤❤❤❤