YATIMA AMLIZA SHEIKH KISHK/AMWAGA CHOZI HADHARANI/ASHINDWA KUONGEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 244

  • @user-fo5my5pe3b
    @user-fo5my5pe3b 3 дні тому +25

    Allah amrehem baba yake amjaalie jannatul fidous pamoja na wazazi wngu amin yaarab. Yaa Allah nijaalie nipate mtoto wakiume mwenye kheri na mm na mwenye hekma busara upendo mwenye kufata misingi ilio bora .yaa Allah Alhamdullah kwa kunijaalia kupata watoto wakike pia nawaombea watoto wng uwajaalie waww watoto wema wenye hekma busara upendlo na wenye kufata nyendo za Mtume wetu Muhammad s.w .Yaa Rabbi wajaalie na watoto wawenzangu Amin yaarab

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t 3 дні тому +11

    Mtenda mema husnxa kuyaona mema hapa hapa dunian,Shekh Kishki mungu atakulipa zaid inshaalah

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 3 дні тому +16

    Sheikh kishki allah akuhifadhi na akubariki
    Allah awarehemu ndg zetu waliotangulia akhera

  • @AishaTarimo-d5v
    @AishaTarimo-d5v 3 дні тому +12

    Mashallah mwenyez Mungu akulinde Na kukutia nguv shekhe wetu nuruduni kishk,,, yaaan Mimi nalia tyu hapa mwenyez Mungu amizidishie huyo mtoto Elim ya akhera Na baba yake anufaike huko aliko na kijana wake.

  • @AbdouliHasani
    @AbdouliHasani 3 дні тому +15

    Shehee we2 Allah kufanyiy wepes na 2jalie mwishomwem wa isilam wot kwaujumulaa alahum amin

  • @WakaliFashionTz
    @WakaliFashionTz 3 дні тому +18

    Tuliotoa machoz kwasbb ya Huyo yatima km sheikh nurdin kishk tujuane.
    Allah amrehem baba yake kijana anaonekana kuwa uchu na dini niwatoto wangapi wanapenda wawe km wasanii Allah tupe mwishon mwema sote waislaam nawasameh wote waliotutangulia ktk Iman allahummaa aaamin.

  • @mwanamisichuma5280
    @mwanamisichuma5280 3 дні тому +11

    Allah atuongozee vizazi vyetu nasi tuwe na mwisho mwema Yarrabi sheikh kishk Allah akupe umri taweel

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 3 дні тому +10

    😢mashallah tabaraka llah Allah atujaalie umri tuley watoto wetu 😢😢ya Allah warahem waislam wote ya Allah 😢😢😢

  • @JamilaMohammed-n8n
    @JamilaMohammed-n8n 3 дні тому +11

    Allaah ampe maisha marefu shekhe wetu

  • @amidahaamida5892
    @amidahaamida5892 3 дні тому +13

    How s life without dad Allah awa hifadhi wazazi wetu InshaAllah.

    • @Samsumah
      @Samsumah 3 дні тому +1

      Amiin ya rabb yes so true ya3ni mim nautu uzima wangu huu I cry like a baby when remembering my baba dua zetu nyingi kwa wazazi wetu walio tangulia Allah awarehemu atukutanishe nao peponi in shaa ALLAH na awahifadhi wazazi wote walio hai

  • @SamAbrahman
    @SamAbrahman 2 дні тому +5

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah mwanangu ❤nakupend bure Mtoto Luqman Allah akufanyie wepes na baraka katk maisha yako pamoj na weñzko

  • @ZainabJolie
    @ZainabJolie 3 дні тому +6

    Wallah inaliza Allah amhifadhi shekh wetu ameen

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 3 дні тому +3

    Me pia nampenda sana shekh kishki na Allah ampe maisha marefu tuendelee kujifunza zaidi kupitia yeye

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 3 дні тому +3

    Allahu akbar ❤ Pole sana Lookman kwa kumpoteza babako Allah amjaalie jannah. sheikh Kishki tunakupenda kwa ajili ya Allah ❤❤❤

  • @rahmahty7026
    @rahmahty7026 3 дні тому +6

    Allah awahifadhi wote, amuongoze na amrehemu baba yake. Amiin

  • @BintJahsh
    @BintJahsh 3 дні тому +30

    Allah awajaalie Pepo ya fidaus wazee wetu walitangulia mbele ya haqq na waislamu wote kwa ujumla...

  • @FaridaIbrahim-t1z
    @FaridaIbrahim-t1z 3 дні тому +4

    Jaman nimejikuta nalia tuu Allah akuhifadhi sheikh kishki nakupenda sana namuomba mungu asinichukue kabla sinakutana na wew sheikh niseme nin nakupendea kwa ajili ya Allah

  • @ahmedhamisi-jc2hs
    @ahmedhamisi-jc2hs 2 дні тому +2

    Mwenyezi mungu amjalie Mtoto wetu na amuongoze na kila jema in shaallah

  • @SaudaMdoe-bl6it
    @SaudaMdoe-bl6it 3 дні тому +6

    Mashallah Allah akuhifadh shekhe wetu

  • @mk-ed5py
    @mk-ed5py 3 дні тому +27

    😭😭😭namuomba Allah anipe utajiri ili niwasaidie mayatima wanaitaji faraja sana

  • @Saum-o1w
    @Saum-o1w 3 дні тому +4

    Nimelia wallah 😢 Allah atukutanishe sisi wote waislamu pamoja siku ya kusimama hisabu

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa 3 дні тому +2

    Wallah mchozi umentoka,may Allah mjaalie huyu mtoto Elimu ya juu kabisa na umjaalie zaidi na zaidi sheikh kishki

  • @rehemaabdallah9370
    @rehemaabdallah9370 3 дні тому +3

    Masha Allah shekh kishk nakupenda sana Kwa ajil ya Allah, Allah akuhifadhi Insha Allah

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 3 дні тому +8

    Mashallah Allah akuzidishie. Yaaraab luqman umenitoa machozi sana maisha bila baba 😭😭😭Allah atakukuza yaaraab. Uwendelee kua mtoto mwema yaaraab

  • @hadharaally6523
    @hadharaally6523 3 дні тому +6

    Subhanallah wallah machizi yetu Allah ayajaalie iwe neema Kwa vizazi vyetu sijaweza kuvumilia

  • @abdulkarimisihaka2145
    @abdulkarimisihaka2145 2 дні тому +2

    Alhamdulillah shekhe namuomba ALLAH atupe umli mrefu wenye manufaa kwetu na kwawaja wake Insha Allah

  • @halmahalishi1345
    @halmahalishi1345 День тому +1

    Mashaallah,tabarakAllah,Allah ajalie babake Jannatul Firdaus.Nasi pia Allah atupe istiqamah katika dini na atuhifadhie watoto wetu kwa msingi wa dini yaa Allah.

  • @MuemedeMussa
    @MuemedeMussa 3 дні тому +6

    Shekh, kishk nakupenda kwa ajili ya ALLAH, lau kama ALLAH alihalalosha kumsujudia kiumbe mwenzanko mimi mimi ningemsujudi kiyumbe bora Muhammad S.A.W kisha, kwa zama hizi ningemsujudia kwa mapenzi niliyo naye.

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 3 дні тому +6

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah amuhifadhi kijana ytu Allah amrahamu mzazi wke

  • @IsaKitagame
    @IsaKitagame 2 дні тому +1

    Mashallah mwenyezi Mungu subhana wata Allah akujalie

  • @wardaam3707
    @wardaam3707 3 дні тому +2

    Allah ampe maisha marefu sheikh wetu sheikh kishki apendwa na kila mtu maaa shaa Allah

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 дні тому +2

    Allah amuongozi. Huyu mtoto na watoto wetu na awape pepo wrote waliotangulia mbele zahakki

  • @ibnusleyyum9743
    @ibnusleyyum9743 3 дні тому +16

    SubhaanaAllahu...
    hii video ukitazama ladhima utokwe na machozi...

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 3 дні тому +4

    Pole sana ❤❤ kwa hili machozi hata mimi yalinitoka kwa mtoto yoyote alie filiwa na na mzazi na ukingalia mapenze yale baba alio kuwa anampatia kwa sasa anayakosa ina umiza sana pole na 😭😭😭Allah wasamehe sana wa baba wote walio fariki japo hata mimi sina wazazi wote wawili 😢🤲😭

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 3 дні тому +3

    Mashallah mtoto kauli yake nzuri matamshi pia nayaona atafika mbali biiznllah🙏🙏🤲🤲

  • @HALIHAMISI
    @HALIHAMISI 2 дні тому +1

    ALLAh nijalie huwezo nami niwe miongon mwa wa watu wenye kuwasaidia watoto yatima hinauma sana kuondokewa na wazaz wako hangari mdogo inshaallah mungu hatupe mwisho mwema

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 3 дні тому +4

    Wallahi nimejikuta natoa machozi tu .
    Ila tujitahidi kuwapa wenetu malezi mema Kijana anaonekana ni kijana alopewa malezi mema kabisa Allah amuongoze ktk njia sahihi na amjaalie baba yake kua ktk watu wa peponi amin .

  • @ummulkheirbori1820
    @ummulkheirbori1820 3 дні тому +3

    Allah azidi kumuongoza kijana huyu,Allah pia amrehemu baba yake,ajaalie kaburi lake liwe viwanja ktk viwanja vya peponi, Aamin

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 День тому +1

    Allah amjalie huyu Mtoto Nuru kubwa ktk maisha haya ya duniya piya ampe maisha mazuri kesho Akhera

  • @MussaJuma-nf3vg
    @MussaJuma-nf3vg 3 дні тому +2

    Wallah nimejikuta nalia ulikua huuu naiangalia clip hiiii nimejawa na huruma na kuzidisha mapenzi kwa sheikh wangu sheikh NURUDDIIN KISHK .
    NI ATHARI KUBWA SHEIKH ULIONAYO.
    KILA unapokwenda malaika wa Allah hawa wanakupenda na kutamani wawe kama ww mashallah taqbiir.
    Tuna mengine ya kujifunza kutoka kwako mashallah.
    Mtoto huyo ameniliza.
    Mimi ni doctor pia ni mwanasaikolojia zipo znz wallah nimeona kitu kutika mioyo ya wawili hao.
    Mioyo yenu inafanana sheikh mchukue kijana huyo umleee.

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad 3 дні тому +3

    Allah akbar from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 allah akupe umri mrufu wenye Baraka na manufa

  • @hoju56
    @hoju56 3 дні тому +3

    Pole sana, kwakwel hata mimi machozi yamenitoka

  • @Kalidvalid-v7i
    @Kalidvalid-v7i 3 дні тому +2

    Mashaallah Allah atuongoe sisi na wazazi wetu na atupe mwisho mwema

  • @AyshaHamis-qw3gi
    @AyshaHamis-qw3gi 3 дні тому +2

    Sheikh kishk ni mtu mwenye huruma sana mashallah Allah akupe Umri sheikh wetu .. umenitoa machozi😢

  • @BarakaMpenja-x2c
    @BarakaMpenja-x2c 3 дні тому +2

    Mashaallah Allah akupe fatwanjema xanah sheikh wetu amin

  • @oman7710
    @oman7710 3 дні тому +5

    Subhanallah

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et 5 годин тому

    Mbon na mm nalia jaman😢😢 shekh kishki twakuoenda kwa ajili ya Allah, Allah akulinde popote uendapo

  • @ShadidaSeif-g2u
    @ShadidaSeif-g2u 3 дні тому +1

    suhanallah allah atupe subra na uvumiliv ktk kila hatua tunayopitia.amiin

  • @somoefakii7589
    @somoefakii7589 17 годин тому

    Allah Akbar Allah akukuze uwe mtto mwema wallah nimetoka n machozi kusema bbko alfrk allah amsahe dhambi zake alipo inaonekana alikukuza malezi y din nakumpenda shehe kishk MashaAllah......

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 3 дні тому +4

    Madam wangu ananiuliza unalia nini nashindwa kumjibu hakika machozi yanenitoka wallah

  • @user-tj3pk9im8y
    @user-tj3pk9im8y День тому

    Allah Akuhifadhi Sheikh Nurudeeni Kishki Waallah Nakupenda Sana Kwaajir Ya Allah Allahumma Baareeki 🤲

  • @user-ge4rd9hu6u
    @user-ge4rd9hu6u День тому

    Allah akutuhifadhiye cheh wetu Burundi tunakupenda Sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 2 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤❤huu mtoto kaniliza kweli emungu walaze wazazi wetu mahali pema na uwape kauli khabiti uko walipo tangulia

  • @HamisiMatumla-c1l
    @HamisiMatumla-c1l 3 дні тому +2

    Allah awalipe kheri inshallah❤❤❤❤

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 3 дні тому +2

    😭😭😭😭 mtoto ana akili kubwa sana, Allah axidi kumuongoza inshaallah kheri

  • @MasouHusein
    @MasouHusein 2 дні тому

    Mashaallah hakika alichokisema mtoto huyu ni kweli Allah awahifadhi mashekhe zetu wenye kupenda haki

  • @SophiaMsuya-s9r
    @SophiaMsuya-s9r 17 годин тому

    Mw.Mungu awatangulie mayatima wote na awape faraja siku zote za maisha yao insha Allah

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 3 дні тому +1

    MashaAllah... Allah akueke insha Allah

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 3 дні тому +1

    MashaAllaah tabarakaAllaahu wa Alhamdulillaah
    Allaah azidi kumuhifadhi mtoto huyu kwa Neema zake

  • @dazuujuma778
    @dazuujuma778 3 дні тому +1

    Binafsi nimelia na kusononeka kabla ya shekh
    Mashallah mwanang

  • @saay4273
    @saay4273 3 дні тому +2

    MashaaAllah tabarakallah

  • @mohammedymawona269
    @mohammedymawona269 2 дні тому

    Allah amlinde sheikh wetu sheikh huwa ana mawaidha mazuri sana

  • @HamisiIddi-g4i
    @HamisiIddi-g4i День тому

    Namuomba sana Allah anipeuwezo kuwasaidia mayatima wanahitaji msaada wetu.

  • @KizaAbdoulaye
    @KizaAbdoulaye 3 дні тому

    Yarabi tujaliye mwisho mwema amiin amiin

  • @shamtenyambega2944
    @shamtenyambega2944 2 дні тому

    Allah akujaalie mwisho mwwma sheikh wetu

  • @mustaphaomar6839
    @mustaphaomar6839 2 дні тому

    ALLAH AKUHIFADHI AKUPE MAISHA MAREFU ALLAHUMMA Amin

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 дні тому +1

    Subhana Allah huyu mtt kaniliza sana

  • @user-mk1gn4du1n
    @user-mk1gn4du1n 2 дні тому

    Allah amjalie mtoto huyu na mapenzi yake kwa shekhe nurudin afate nyenendo ya shehe

  • @user-ug8hc4yh5k
    @user-ug8hc4yh5k 2 дні тому

    Naipenda sana sheikh nurudini kishki kwaajili ya Allah

  • @dijjahbeybe5096
    @dijjahbeybe5096 5 годин тому

    Assalamualaikum tafadhali jaman nahtaj niwasliane na shekhe kishk😢😢😢 ninashda nae tafadhali Mno🙏🙏🙏moyo WANGU unawaka moto utakaa saw endapo nitampata Inshallah 🙏🙏🙏

  • @KadirMamito
    @KadirMamito 2 дні тому +1

    Yaa Allah bless this boy

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 3 дні тому

    Ma shaa Allaah sheikh kishk Allaah Akuhifadhi biidhini llaah

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 дні тому +1

    ALLAH awarehem wote waliongalia mbele ya haki😭😭😭🤲🤲🤲

  • @fauaulit209
    @fauaulit209 3 дні тому +1

    Allah amuhifadhi sheikh

  • @HhRt-m5z
    @HhRt-m5z 2 дні тому

    Allah akulinde shekhe wetu😢

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 3 дні тому +2

    Ma-ash-ALLAH

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 3 дні тому

    Masha Allah Allah amrehem baba yake ana takuwazuri mashaallah😢

  • @mohamedronka8793
    @mohamedronka8793 3 дні тому +1

    Yaa Allah mjalie LUQMAN awe mlinganiaji kama anavyo tamani

  • @AminaIbrahim-qh2gn
    @AminaIbrahim-qh2gn День тому

    Allah azidi kumuongoza mtt Ruqman awe miongoni mwa waja wema

  • @KivumaYusufu-mx8ib
    @KivumaYusufu-mx8ib День тому

    nikimuangalia shekhe Nurudiin kishki namuona kabisa, Doctoor saalim Qahtwani, naamini wakiwa pamoja waislam weng sana watanufaika na imaan zao inshaaAllah.

  • @LuqmanKawela-qf8ny
    @LuqmanKawela-qf8ny 3 дні тому +1

    Kuwapenda mayatima shekhe ni wajibu wetu,lakini nkmbk bibi fatma(a.s)alipokua yatima baadhi ya waislamu walimfata imam ali(a.s) ampe baiya abubakr na katika kumfata kwake ali(a.s) nyumbani kwake walimjeruhi bibi fatma na kumsabibishia apoteze kichanga kilichokua tumboni.na wakati huo mtoto wa Mtume Muhhamad (s.a.w.w) alikua mjamzito Bibi Fatma.tuwajali mayatima inshallah

  • @mhawasadik5483
    @mhawasadik5483 2 дні тому

    Allah Ampe baba ya lukman daraja ya juu sana peponi kumlea mtoto wake kwa maadili ya dini😢😢😢😢

  • @AnnathNjohole
    @AnnathNjohole 3 дні тому +1

    Huyu ndio baba mashallah Allah amrehemu...

  • @SwalehYmgomba
    @SwalehYmgomba 2 дні тому

    dogo hakupenda wasani wala wacheza mipira masha ALLAH ALLAH amuongoze

  • @Shadia544
    @Shadia544 3 дні тому +1

    Nimejikuta nalia tuu machozi yamenitoka tuu baba ni kiungo cha pili kwetu innallilaah wainnah llilah rajnih 😭😭😭baba yangu😭😭💔💔

  • @khamisroro4589
    @khamisroro4589 2 дні тому

    Allah amsamehe makosa ya mzazi wko alietangulia mbele ya haki 🤲

  • @a.856
    @a.856 3 дні тому +1

    Jazaka Allah khayran

  • @ahmedhamisi-jc2hs
    @ahmedhamisi-jc2hs 2 дні тому

    Kwa kweli kabisa Shekh wangu Kishiki n kipenzi cha watu mwenyezi mungu akujalie umri Ili uzidi kutupa dawa ja watu kubalika kwani Kwa anavo towa mawaidha yake ugusa nyonyo kweli

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 3 дні тому +2

    ALLAHU AKBAR

  • @user-uy6td5bc9d
    @user-uy6td5bc9d 3 дні тому

    Allah amrehem in shaa Allah..😢😢😢

  • @JumannePoland
    @JumannePoland 2 дні тому

    Alietoa machozi kama Mimi a like apa ❤❤❤❤❤❤❤

  • @mariamissa4029
    @mariamissa4029 3 дні тому

    Mashaalkah mashaallah tabaraq Rahmani

  • @ummurasul8230
    @ummurasul8230 3 дні тому +1

    SubhanaLLAH 😢

  • @ashahemed9843
    @ashahemed9843 3 дні тому

    Pole sana dogo Allah akupe nguvu na utasimama imara in shaa Allah,
    Mm baba yangu amefariki naweza kujitegemea ila maisha bila wazazi jamani yanuma sana Allah awarehememu wazazi wetu aamin

  • @ShadidaSeif-g2u
    @ShadidaSeif-g2u 3 дні тому

    subhanallah, wallah machozi sikuwez kuyavumilia yamenitok .allah atup khtm njm .amiin

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 3 дні тому

    unanikumbusha mbali sana baba alifariki nikiwa nipo mdogo sana hata nipo Dara 3 najuwa niliopitia hadi kufika leo na ww in shaa allah utakuwa utatimiza ndoto zako

  • @salhazuberi3898
    @salhazuberi3898 День тому

    Hii ni ladha ya imaani hakika yakiini thabiti juu ya mola wetu ladha yake ni Tamuu sana moyoni ewe mola wetu tunakuomba uzitakase nafsi zetu ziwe zenye kuionja ladha ya imanii

  • @AbdullatifSalum-c7r
    @AbdullatifSalum-c7r 3 дні тому

    Allahuakbar Aĺlah Awabariki wote na Kijana Allah Amsimamie kwenye Dini

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 3 дні тому

    ALLAH AKBAR akuna kitu km ima 😭SUBHANA ALLAH
    ALLAH awasamehe duguzetu walio tangulia mbele za haki awape pepo ya fridaus na ss atupe mwisho MWEMA THUMMA AMIN 🤲🏼

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 2 дні тому

    MA'SHA'ALLAH