Majambazi yavamia kituo cha polisi na kuua Dar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Watu wanaosadikiwa kuwa ni Majambazi, wamevamia kituo cha polisi cha Staki Shari jijini Dar es Salaam na kuwaua watu saba wakiwemo polisi wanne na raia watatu

КОМЕНТАРІ • 8

  • @suleimanhaji5996
    @suleimanhaji5996 9 років тому +2

    Mmezoeya kutesa wananchi mukivaa uniform zenu munasahau kama na nyinyi ni raia kama raia wengine mna family watoto na wazee wajibu wenu kulinda raia sio kuwatesa

  • @suleimanhaji5996
    @suleimanhaji5996 9 років тому +1

    Amkeni sio tena majambazi mmevunja trust yenu kwa raia na wao sasa wanafight back

  • @suleimanhaji5996
    @suleimanhaji5996 9 років тому +1

    Mkuu wa mkoa anasema jambo sio la kawaida ndio before ilikuwa polisi hawavamiwi lakini sasa munapigwa sababu nyinyi mmezoeya kupiga wananchi sasa wananchi wamechoka kuteswa ndio mushtuke hao sio majambazi bali ni raia mumeuwa na kupija wangapi raia

  • @charleszeno9877
    @charleszeno9877 9 років тому +1

    I wish everybody to pray so that God should intervene this situation we passing as nation TZ

    • @cenkpleasesitonmyface9302
      @cenkpleasesitonmyface9302 9 років тому +1

      There was a video circulating on Twitter of a woman being interviewed after someone reported that she had posted the video of the shooting, it's been taken down since

  • @hadijasaidhabdallah8986
    @hadijasaidhabdallah8986 7 років тому +2

    MM sio uzuni kufa asikari bora wafe wote

  • @RoseMary-hp5bz
    @RoseMary-hp5bz 8 років тому +2

    R.I.p mama

  • @ernestlaiza9489
    @ernestlaiza9489 5 років тому

    kufeni wote muone uchungu mnapo wauwaga watu magerezani