Waliolaaniwa na baba zao, Wanabarikiwa [Nothing can block God's blessings] - Rev. Edward Mwai

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • #security #sermon #blessings
    👉 • 🔥 See How Apostle Jame...
    Catch inspiring sermons Tuesdays at 5pm
    Follow us on
    ​INSTAGRAM @Mwangaza_tv
    / mwangazatvkenya
    FACEBOOK @Mwangazatv
    / ​​​
    TWITTER @Mwangaza_tv
    / mwangaza_tv

КОМЕНТАРІ • 30

  • @miriamndungu3126
    @miriamndungu3126 10 місяців тому +4

    Ameen 🙏,am waiting 4 God 2 finish my enemies, niukweli Bishop Mwai, wako kwa mkutano saa hii nani wengi sanaaa😭 , naomba God ani protect day n night 🙏

  • @ruthmakumbi
    @ruthmakumbi 10 місяців тому +5

    Hakika bishop hivyo ndivyo nilivyo haki nisamehe na uniombee juu sina kitu mungu anirundishie mbaraka yangu

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 10 місяців тому +1

    AMINA. Wewe ukibarikiwa leo kile kitazaliwa kwako ni cha baraka. Hata kama itatake miaka mingapi "the truth is" ulibarikiwa. Hatuna nguvu wala uwezo "but our dad is a special dad" anaweza ongea neno tupate nguvu ya kufanya mambo makubwa. Wewe ndiye last born katika baraka lakini hayo mambo yaliongewa juu yako yanabadilishwa leo. Hayo mambo ya kurogwa na kulaaniwa Mungu Aaanze kuyapiga. Yale maneno mzuri utakuwa unaongea kwa mtoto wako yatafuata mtoto wako. Yale maneno utatamka ndiyo yataleta baraka ama laana kwa mtoto. Ongea maneno ya baraka, ushindi na maneno ambayo yataleta ukombozi. Chochote utaita utakipokea. Chochote utatafuta utakipata.

  • @josephmusyoka6328
    @josephmusyoka6328 10 місяців тому +2

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @mimujanet4753
    @mimujanet4753 10 місяців тому +3

    Hallelujah 🙌

  • @irenenyambura1000
    @irenenyambura1000 10 місяців тому +3

    Amen.

  • @annevamaina5008
    @annevamaina5008 10 місяців тому +2

    Halleluya

  • @agnesmakena22
    @agnesmakena22 10 місяців тому +1

    Hallelujah 🙌

  • @elizabethwangui8384
    @elizabethwangui8384 10 місяців тому +1

    Amen Amen Amen

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 10 місяців тому

    AMINA. Wale watu walilaaniwa na Baba wa kiroho au wa kimwili kuna mtu Mungu Anatuma Awabariki. Hata kama baba yako ama pastor/mtumishi fulani alitoa maneno ya kukulaani ndio maana unaishi hivyo Mungu Ako na uwezo wa kukurogola wewe. Amempatia Daddy nguvu na uwezo wa kurogola wale wamerogwa na watu wao. Kama tulilaaniwa na tukaambiwa hakuna kitu kitakaa mikononi mwetu hayo mambo tunaenda kuyapiga "about turn." Tulikosea na tulifanya tabia mbaya lakini Mungu Wetu Ako na neno la mwisho neno la kuleta baraka katika maisha yetu. Hakuna kitu kibaya kama kumlaani mtoto wako. JWM ililetwa ili wale watu walirogwa na wakafanyiwa mabaya wakuje hapa wakombolewe na warogolwe.

  • @miriamndungu3126
    @miriamndungu3126 9 місяців тому

    Bishop Mwai kusema ukweli mimi siku laaniwa na my late parents I was thea favorite 🙏 nivile tu babayangu alipigwa na mawe na our 1st born,mimi na rogwa na Sam family members ni wakora wa kiroho Spiritual terrorists ndio wakona issues with me but me my heart,mind n soul zote ni God wangu akonazo huwa nafikirianga tu za mbinguni sio za hapa duniani 🙏

  • @LenaKamau-jj2vl
    @LenaKamau-jj2vl 10 місяців тому +1

    Amen 🙏🙌🙌

  • @muturibenson7554
    @muturibenson7554 10 місяців тому +1

    Amen

  • @PerisNgugi-v4m
    @PerisNgugi-v4m 10 місяців тому +1

    Amen

  • @nasmiriti3141
    @nasmiriti3141 10 місяців тому +1

    Amen

  • @r0semary441
    @r0semary441 10 місяців тому +1

    Amen

  • @hannahmburu7705
    @hannahmburu7705 10 місяців тому +1

    Halelluyah Halelluyah aamen

  • @MargauxNyambura
    @MargauxNyambura 10 місяців тому +1

    Hallelujah

  • @ruthmakumbi
    @ruthmakumbi 10 місяців тому +2

    Amen amen amen mungu asante kwa ubali

  • @elizabethwangui8384
    @elizabethwangui8384 10 місяців тому

    Mother inlaw alinilaan niliona kwa doto 2016 na akakufa after niombee laana zishindwe

  • @charitymburu3344
    @charitymburu3344 10 місяців тому +1

    Àmen

  • @elizabethwangui8384
    @elizabethwangui8384 10 місяців тому +1

    Halleluya

  • @nancymbaire1559
    @nancymbaire1559 9 місяців тому

    Amen and amen to 🇺🇸 Texas

  • @esthermurage5148
    @esthermurage5148 2 місяці тому

    Amen

  • @ergoscopes2955
    @ergoscopes2955 7 місяців тому

    Amen Dad

  • @Todrippy612
    @Todrippy612 8 місяців тому

    Amen

  • @Asty-l4w
    @Asty-l4w 9 місяців тому

    Amen.

  • @hellenwanjiru3814
    @hellenwanjiru3814 9 місяців тому

    Amen

  • @catenjoroge6753
    @catenjoroge6753 10 місяців тому +1

    Amen 🙏