MBOWE AKICHAFUWA! "KAMA NIKIFA AU NIKIPIGWA RISASI MSIRUDI NYUMA, MAANDAMANO YAKO PALE PALE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 51

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md 9 годин тому +1

    Naombeya chadema mungu awape ushindi hakuna silaa itakayofanikiya juu yenu tena mungu awalinde ndiye mlinzi mwema hakika mtashinda ❤❤❤

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 10 годин тому +3

    Maji ni Mazuri Kwa mabomu ya Machozi ukinawa tu imekwisha hiyo

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 10 годин тому +6

    Dah Yani Nimeskia Uchungu Sana jinsi Alivyoongea Mbowe

  • @LabanMauma
    @LabanMauma 10 годин тому +2

    Nchi yetu sasa itajazwa na visasi, balaa na masononeko kila sehemu maana kila aliye raia na aliye kiongozi wa nchi kwa vyeo vyao wamejazwa na kiburi. Mungu atatuadhibu tu tukiendelea hivi.

  • @NaaliSimba-t2p
    @NaaliSimba-t2p 9 годин тому +2

    polisi msije mkajaribu kumpiga mbowe maan kitakachotokea ni zaidi ya izraeli na palestina mmezoea kuona kuona tunaongea tu bila vitendo sasa mguseni mbowe kwa risasi muone

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc 9 годин тому +2

    Sasa kama hutaki kuvunja amani kwanini wapingana na serekali kwani lazima uwandamano kama sio kiongozi vile haya nenda huko barabaran utapata unachotaka

  • @EmmanuelSanga-ts8fk
    @EmmanuelSanga-ts8fk 8 годин тому +2

    Tengua kifo mbeba maono Hafi kama ingekuwa hivyo daudi asingeishi nyakati za sauri aliwindwa kama swala

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 9 годин тому +2

    Baba unaniliza lakini namlilia mungu aweke ulinzi

  • @isayamhumba3352
    @isayamhumba3352 9 годин тому +1

    Kimsingi CCM imeshazeeka, hadi fikra namtazamo wao umezeeka

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 9 годин тому +2

    KO KISA KAFA MWANACHAMA WENZENU NDO MNA WAKA MBONA KUNA WATU WENGI WANAKUFA VIFO VYA KIKATIL HAMSEMI KAMA KWEL MNAJAR MAISHA YA WATANZANIA WOTE

  • @MkulimaTarimo
    @MkulimaTarimo 9 годин тому +2

    Mkirudi nyuma msipoamdamana hamtaaminiwa

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 9 годин тому +1

    Ungeamua hivo wakati wa Mwendazake. That Man was not joking. He didn't give a damm.
    Unajua Mama hayuko hivo ndio maana unatafuta umaarufu.
    Kama una nia safi kaeni mzungumze. Afterall hata mkiandamana mwisho wa siku mtakaa mzungumze. Mama amebugi amepotoshwa. Mama alijawa na jazba amepoteza mwelekeo. Hakutumia common sense. Nawewe umepata ahweni umefufuka. Tayari mlikuwa hamna jipya tena. Mistake ya Mama imewapaisha. Lakini bado una mtihani ndani ya Chama chako

  • @LeoKinango
    @LeoKinango 9 годин тому +2

    Eee MUNGU tusaidie hawa watu hawaogopi tena kifo😭😭😭

  • @nassrabarwani1548
    @nassrabarwani1548 8 годин тому

    Aluta Continua! Victory Arseta!

  • @Didaskamili
    @Didaskamili 8 годин тому +1

    Tuko pamoj nanyi mungu ataWalinda

  • @MatatizoMkama
    @MatatizoMkama 9 годин тому +2

    Iposiku ccm itafikamwisho

  • @Hemedally-o9x
    @Hemedally-o9x 8 годин тому

    Mbowe wewe ni kama wewe haki haitafutwi kwa maandamno na mungu atakulaani

  • @salamwajeka-yo6su
    @salamwajeka-yo6su 9 годин тому +1

    Mungu atende jambo

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 10 годин тому +2

    Tupo pamoja kamanda

  • @GervasPeterNtakimazi
    @GervasPeterNtakimazi 10 годин тому

    Mungu bariki tanzania

  • @EmmanuelSanga-ts8fk
    @EmmanuelSanga-ts8fk 8 годин тому

    Jipe moyo nyenyekea kwa Mungu naamini maono ya 2oo7 niyakweri

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 9 годин тому

    mwenyezi mungu tuna kuomba ingilia kati, shetani analitesataifa lako, aiwezekani vijana wa chadema tu ndio wakosaji,

  • @ZakayoYohana
    @ZakayoYohana 10 годин тому +3

    Tupambane kitaelewekatu

  • @michaelm.mwalusako3724
    @michaelm.mwalusako3724 9 годин тому

    Kuandamana nì haki ya kikatiba na kisheria. Pamoja na ukweli huo, naomba kwa ajili ya kumtukuza Mungu, Muumba wa Mbingu na Nchi, Mwingi wa rehema na neema, TUTAFUTE AMANI badala ya kuandamana.
    Kwa jinsi hali inavyoonekana, ni dhahiri hali si shwari. Naomba kipau mbele chetu kama nchi kiwe ni kutafuta amani na mstakabali mwema wa taifa letu. 4R zetu ziendelee kuwa nguzo imara kwa ujenzi imara wa taifa letu.
    Kurudi nyuma katika maamuzi yetu sio udhaifu wala woga, bali ni kukubali kuongozwa na Mungu katika kufanya mambo yetu.
    Je, maandamano ya amani katikati ya zuio la polish yataendelea kuwa ya amani?
    NAOMBA TUITAFUTE AMANI KWA KUKUBALI KUONGOZWA NA MUNGU KATIKA MAAMUZI YETU.
    MUNGU IBARIKI TANZANIA.

  • @KhamisMwinyi-gl5xe
    @KhamisMwinyi-gl5xe 9 годин тому +2

    Nenda mzee ww na familia yako Rais ameshakataza ww ni nani asee ss kama na ww uliesikia sikio la kufa alisikii dawa nenda kakutane ww na familia yako na ndugu zako mzee

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 9 годин тому

      Raisi ni nani Kwan Hadi achukue haki za watu Hadi za kuishi? Kila mmoja yupo chini ya Sheria hata police wapo chini ya Sheria, na Sheria inasema kuandamana ni haki. Hakuna mtu wa kuichukua.

  • @isaackmwakapala8663
    @isaackmwakapala8663 10 годин тому

    Naiomba Chadema isitishe Kwanza maandamano. Najua mioyo inauma, umepelekwa Kila jumbe kwa serkali. Mpaka hivi Sasa na Kila mtanzania ameshajua mbivu na mbichi.

  • @mohamedimfyomi5767
    @mohamedimfyomi5767 9 годин тому +1

    Tupo pamoja mkuu nipo njian nakuja kulalia mjin

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 9 годин тому

    Mnahangaika na kutapatapa
    Bora mtumie me majumbani
    Mnaenda kutafutia kumwagiwa mabomu ya machozi na wengine kupata virema ya nn kisa utawala kaaa duuu hii NI maisha mafupi sn

  • @NgombaleNgombale
    @NgombaleNgombale 10 годин тому +1

    Hata sielewi

  • @Java-king255
    @Java-king255 10 годин тому +1

    😢😢😢😢😢😢

  • @hassanjuma3703
    @hassanjuma3703 8 годин тому

    Wacheni kuua amani nyie mafala mnaandama Kwa msaada Wa nje acheni tangazen sera mmemteka wenyewe kama ulivyo lewa saa 8 usiku ukasema umepigwa acheniiiiiiiiiooiii

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 8 годин тому

    Viongozi wa dini acheni kusubiri hadi Mbowe afe ndo tuanze kusikia kauli za kulaani, jitokezeni mapema muishauri serikali haraka iwezekanavyo kwani maandamano hayamtoi mtu madarakani

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 10 годин тому

    Yesu yu karibu kuja tujiandae

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 9 годин тому

      Tuji andae na nn sasa kama yesu yupo karibu kuja

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 10 годин тому +2

    Mpaka anatia uruma jaman mbowe pole na kupotelewa na wanachama wako.pole lakin umechukua mahamz magum mno mno.japo inaumiza kwel ntelejensia sijui walikua wap.pole

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 10 годин тому +1

    Maigizo kila kitu anakijua muda utaongea

    • @Java-king255
      @Java-king255 10 годин тому +1

      kuma la mamaako

    • @hamdincatalonia3272
      @hamdincatalonia3272 10 годин тому

      @@Java-king255 ndio maana tunasema chadema chama cha wahuni matusi yanini ok nashukuru vp mwenzangu mama yako mwanaume nini

    • @hamnajipyadicksoni4007
      @hamnajipyadicksoni4007 9 годин тому

      ​@@hamdincatalonia3272matako

  • @Hemedally-o9x
    @Hemedally-o9x 8 годин тому

    Mbowe mbona huna majibu au hutoi majibu ya tuhuma unazo pewa badala yake umeng'ang'ana maandamano na umeng'ania urudishiwe walip kufa tu na hao wapelelezi unao wataka hawatufai sisi tuna jitawala hatutawaliwi hatutaki nchi kua kama libia su somalia

  • @michaelmlyuka6032
    @michaelmlyuka6032 9 годин тому

    Kardinali Rugambwa na Maaskofu wakuu ingilia kati Sakata hili lisitokee, Wayazungumze. Mungu awabariki

  • @MORCEPLIMITED
    @MORCEPLIMITED 9 годин тому

    😢

  • @MICHAEL.C.E.O.4Gnga
    @MICHAEL.C.E.O.4Gnga 9 годин тому

    Ila tatehe23😅

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 10 годин тому +1

    Jamaa muigizaji hahahaha kama atutaonana tena

  • @AbuuThabiti
    @AbuuThabiti 9 годин тому

    Mbowe chukua wanao wajukuu zako na ukoo wenu mzima halafu mkaandamane sio kutumia watoto wetu kama mtaji wakwako umewaficha ndani nanyinyi vijana nawausia jitambueni acheni kutumika kijinga nahuyo mbowe

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 9 годин тому

    Mwenyekit amesema tuje na maji mengi jamani, me ntakuja na jaba 😂

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 9 годин тому

    Akawaulize ya mbeya kilichowapata anajitafutia umaarufu bure kabisa

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 9 годин тому

      We haujitambui kuandamana ni haki hakuna mtu wa kuchukua isipokuwa Mungu