Aksante sana kwa ufafanuzi makini nina maswali kadhaa hapa kwa sababu ni miaka miwili sasa imepita toka umetoa bajeti hii 1. Kwa experience yako kuku 1,000 kwa siku unaokota mayai mangap in avarage? 2. Sasa ivi tray moja ya mayai kwa bei ya jumla ni sh ngap?? 3. Kwa sasa ivi chakula mfuko wa kg 50 ni sh ngap??
Gharama ya chakula ipo kwa wiki Kwa wiki ndio hio 1,024,000 Ukipata 90% maana yake ni trei 30 kila siku sawa na trei 210 kwa wiki Je ukiuza trei 210 utapata hasara ? Angalia video hii utajifunza faida ya siku moja kwa kuku wa mayai 1000 ua-cam.com/video/xctmTCz2E60/v-deo.html
Make it in English please
Aksante sana kwa ufafanuzi makini nina maswali kadhaa hapa kwa sababu ni miaka miwili sasa imepita toka umetoa bajeti hii
1. Kwa experience yako kuku 1,000 kwa siku unaokota mayai mangap in avarage?
2. Sasa ivi tray moja ya mayai kwa bei ya jumla ni sh ngap??
3. Kwa sasa ivi chakula mfuko wa kg 50 ni sh ngap??
1.Watataga Trei 30
2.Inategemea na eneo ulipo, so ulizia bei hapo ulipo
3.Bei ya chakula Inategemea na eneo...wastani mfuko ni 60,000-65,000
Aksante sana kwa ufafanuzi, na swali lingine kuku wa mayai wanataga kwa ufanisi mda wa mieizi mingapi??
Angalia hii itakupa mwanga mkubwa
ua-cam.com/video/xctmTCz2E60/v-deo.htmlsi=hvPgOvlGJLlQvGNV
Asante kaka ila kwa hii Bajet msing wangu bado mdogo sana tupe na dalasa la kuku wa nyama basi jaman na mungu akubalik
Zipo video za kutosha kuhusu kuku wa nyama (broila na chotara)
Asante hii inawafaa mwenye hela nyingi ngoja nisubirie ya mm mwenye mtaji mdogo.
Endelea kufuatilia
Asante hii inawafaa mwenye mitaji mikubwa. Ngoja mm nisubirie bajeti ndogo
Nitafanya ya kuku 200 endelea kufuatilia
Asante kwa mafunzo mazuri,, naomba kujua banda la kuku 500 linagarim shingapi..? na vyombo vinavyo takiwa kuwepo vinagarim shingap.
Tafuta mtaalamu akupigie gharama ya Banda
Nimejifunza kitu mzee
🙏
Je ukiwa unatengeneza chakula mwenyewe gharama inakuaje ukilinganisha na hiyo?!..
Hapo tunatumia chakula cha dukani, labda upige hiyo chakula chako cha kutengeneza ulinganishe na hii
Hapo tunatumia chakula cha dukani tu
kuna baadhi ya chanjo sizion
Chanjo gani?
Kuanzia wiki ya 24-90 ukienda na gharama hii ya chakula, utapata hasara kubwa sana au ni mimi sijakufaham vizur!? Msaada
Gharama ya chakula ipo kwa wiki
Kwa wiki ndio hio 1,024,000
Ukipata 90% maana yake ni trei 30 kila siku sawa na trei 210 kwa wiki
Je ukiuza trei 210 utapata hasara ?
Angalia video hii utajifunza faida ya siku moja kwa kuku wa mayai 1000
ua-cam.com/video/xctmTCz2E60/v-deo.html