Jinsi ya kutengeneza Icing ya kupambia keki ya chocolate | Chocolate frosting recipe
Вставка
- Опубліковано 21 сер 2024
- Re-posted video
chocolate cake recipe • Jinsi ya kutengeneza K...
keki ya chocolate • Jinsi ya kutengeneza K...
ingredients
200g unsalted butter
600g icing sugar
80ml cold milk
1/2 cup cocoa powder
vanilla essence
Keki ya chocolate 👉 • Jinsi ya kutengeneza K...
Chocolate cake recipe 👉 • Jinsi ya kutengeneza K...
icing sugar recipe 👉 • Jinsi ya kutengeneza I...
Sorry kwaa wale waliona hii video ya mwanzo niliiondoa kwa ajili ya marekebisho sehem 1 ya mwanzo, ni video ile ile nimei re post. Asanteni sana ❤
Nimeipenda na pia napenda mapishi yako yako simple but nice really love your channel thumb up nataka kujua vipi kufanya icing ya kupika ya cocoa Shukran,Jazaki Allah khairan kwa kutupa elimu :-)
Nime jaribu hii recipe na imetokea poa thanx to shuna kitchen
Ty my dear Shauna's kitchen for the awesome lovely cake Icing recipe n supper results I'm pleased and happy always watching ur post from Tanga Tanzania Wow.
Mashallah dada sasa naitaji kujua zaid unanisaidiaje
Mashaallah allah akubarik
Maziwa ya aina gan naweza kutumia
Safi sana dear nashukuru ubarikiwe.
Wa kwanzaaaaaaaa💃💃💃💃💃💃
Mzuri sana mashaallah Shukran
MashaAllah. Nice 🙌🏽👏🏼👌🏼
Mashallah
Wow Amazing
Nice Shukran sana
nilikua nasubir siku nyingi
Can I use hand mixer to make the frosting?
Yummy yummy habibty
Mashallah dada😘, hapo kwenye butter kama huna hiyo unsalted unaweza kutumia blueband??
Was asking the same question
Ma shaallah kama huna siagi unaweza weka blouband
Nope itakua nyepesi sana ..tumia Prestige margarine au ile golden band margarine
Me hutumia prestige margarine
Mashaa Allah
Nimependa upishi wako
Thanks🎂
Delicious
Wow
Shukrani
👌👌👌
Assalamualaikum Dada ahunus naomba kujua 600g ni sawa na vikombe vingapi??
Thanks again
Is very easy to make thank you
Nice
Assalamu aleykum kma mm sina scale ya kupimia g nitatumia nn yakupima iceing sugar
W
Da shuna mi sjaelewa apo ukisema skari grm 600inakua vipi
♥️
🥰🥰😍😍
nikitumia cocoa powder keki kwann inakuwa chungu
first yey
Wengine wanaeka ute wa yai, why?
Dada shuna tunaomba msaada kwa ambao hatuna access ya kupata unsalted butter, unaweza kutumia nini instead??
Prestige
Prestige margarine
Kama keki yangu ni ya unga robo natumia vipimo vip,
Kama sina mashine ya kuchanganyia kwa mwiko itawezekana kweli
Yeah waeza
Mashallah
Thanks again