Ww Tena mabuti kila demu mzuri wallah ww una bahati mabuti mabuti nakupenda🌹washindwa kutogoza mwanamke watogozea wezio ww kweli mweh wallah Tena mabuti dubu nakupenda San kazi zako upo zizur ww Tena mabuti kampoza chifuu gani mdagaji tu hay poa nilala dubu nishamaliza kazi za warabu nikiamga nitaendela np na ww mwazo mwisho nisalimy San mabuti namab zangu hizo mwambay anicheka mwajuma mabuti
NAKUKARIBISHA KUTAZAMA SERIES YANGU MPYA🙏❤️
Aiseeee hîiii kaliii saàaaana nimeikubari mnooo
Much respect 🔥🔥 dubu tz
Pamoja sana kaka unaweza 🎉🎉🎉
Hapo pawa dubu tz
Ok brother,,we are happy .
Waooooo piga kelele kwa Kaka Dubu hanaga kazi mbovu kama unamkubali basi tujuwane🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Kwakweli namkubali saaana Dubu❤
🎉
Kwa kweli namkubali sana dubu Hana baya❣️
Watakao soma iyi comment mungu abariki nawanao kubali bubu tujuwane basi kwenye like kazi nzuri sn Dubu hanaga mzaa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
👍👍👍uko sawa sungwi pambana Mungu atakupigania katika mafanikio yako
❤️
Daah nimeipenda sanaaaah, Dubu saf sana
🙏
Kazi safi dubu mungu akuzidishie akili n maarifa ❤❤❤
Amiin ❤️
Sungwi Kali🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥,,, inakubalika
Uyu mwanaume munafki kwajifu nampendaga ungepata mwanaume odari❤️❤️❤️🌹🇧🇮
nakubali sana movie za dubu ..much love from kenya 🇰🇪🔥✊
🙏🙏
Naenda movies zenu asante
weee dubuu weweee unahatari nitakupa sapoti mwanzobmwisho❤❤❤❤❤
🙏🥰🥰
Hata mimi
Nakubal xana kka big up super talent from this generation
🙏🙏
Hongera dubu tumeipokea wewe huna kitu kibaya na mimi siwez kukukosa nawapenda sana❤❤❤
❤️❤️
Kambaleee sem unainogesha movie kambale big up bro
🙏🥰
Naikubal sana hii movie hongereni sana mpo vzr ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤️
Jamani Dubu kama dubu One love Huna baya ......My best actor ever ukiwa na Hajra sichoki kuzifwatilia Movie zenu hazikinaishi Mashaallah 🥰🥰🥰
🙏🥰
Tunashukuru kaka uko vizuri mungu atakubariki
Amiin ❤️
Wow chumba ana tako zuri
Dubu nmekupenda aky ulivomnyoosha chief una Kaz mbovu dubu🤝
🙏❤️
Kutoka Burundi Asate Sana Team Dubu ❤❤❤❤ Hongera Tena 🎉🎉🎉🎉
🙏❤️
Nakubali sana movie za Dudu... much love from saudia ❤
❤️
Dubu unafanya kazi nzuri sana ,Mungu akuzidishie baraka
inapedeza saaana KK budi moto😂😂😂😂
Ninavyowapendeni❤😂😂😂asante sana kw kutuletea hii kwa hakika mnatuburudisha.....yaani nyie watu wamaana sana🤣🤣🤣❤️👏👏
Hii kazi ni mzur saana kaka
Kizur kula na nduguyo big up dubu
Kaz nzuri love from Tokyo Japan🎉
🤣🤣
😂😂😅🏃🏽♂️🙌🏾
nakukubali Dubu hujawai kuangusha kazi yako
❤️
Mashallah team dubu mko vizuri Allah awajalie kwa vipaji vyenu inshaallah ❤
Amiin Inshaallah ❤️
Wow udugu wangu dubu hongeren simulizi n tamu sana huu mwanzo tu tupo pamoja wanetu🙌🏻🙌🏻❤😂😂😂
🙏🥰
kali sana,,watching from kenya 🇰🇪❤
Mii shabiki yako yaani wee mkali brother 🇨🇩🙏👌❤❤
🙏🥰
Dubuuuuuuh nakubali Kaz yangu nlichelewa wap Mimi kukuona ukifanya mashambulizi nimefrai Kwa kumuangusha chiff tetea imaya yenu
Hongera sana team dubu mko vyema. Mungu azid kuwapa maarifa
🙏🙏
nakubali kazi yenu wakuu🙏🙏🙏
🙏
Good job brother ...From kenya
Naipenda kazi yako dubu huwa sitamani iishe hongera sanaaaa🎉🎉🎉
🙏🥰
Aloooh unyama san 👊❤️big up
Ila dubu sina neno kaka zaid ya kukupa hongera sana yaan umetisha 🎉🎉🎉🎉🎉taaam kinoma
🙏🙏
Mashallah ❤❤❤kumbe ini nyingine
Kazi nzuri umetuletea bro Mungu akupe afya njema uendelee kutupa burudani🔥🔥
🤲🤲🥰
Nakubali kazi zenu nawapenda bure❤❤
❤️
Likes Zangu from USA 🇺🇸 ❤
Kazi njema Dubu👏
🤝🤝
Tumepelekwa kjjn na dubu🤲🤲😁😁tunasubili Kaz nzur iendelee
Dubu 🎉🎉🎉 nakubali sana movies sako🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥 waching from mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
❤️
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 kazi nzuri tuna wapenda mashabiki wenu wa india
🥰
Kazi nzuri sana kaka dubu unajua
🙏
Dubu hongera kwa bonge la move upo poa kaka
🙏🙏
Dubu chukua maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ alafu nakupenda bure
🥰
Hongera kaka kazi nzuri👏
🙏🙏
Kazi nzuri sanaa,bro
Yaani dubu we nihatari sana pokea maua yako❤❤❤❤❤❤
❤️
Iyi ni moto 🔥🔥🔥 wa kuoteya mbali wazeee
🙏
Aujawahi kikosea movie nzuri sana ❤❤🎉🎉🙌🙌
🙏❤️
Tena sanaaa wallahi ❤ nzuriii
Sema nyani ngwengwe unajua sana kuigiza
🥰
Mwanangu nimeona no 1 hongera
Asante Mama angu ❤️
Sungwi nimekubali raha ya ngoma 🙌🙌🙌🇲🇿
Na kunamwengine #Alafuweweunaniumiziachifuwangusijapenda 🎉🎉🎉😂😂😂❤
Waooooooh kaka dubu 🎉🎉🎉 kwa kazi nzur
🙏
Nice job ndo uwahishe vipande❤❤
❤️
Ndo tumeanza hivyo dube the best 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
❤️
mamamaaa bonge la dude hongera sana my best actor Dubu na team yako huna baya🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏❤️❤️
Jamani nimecheka Daaah 😂😂😂😂😂😂mnanikosha walls
😂😂😂dubu hunakazi mbovu nakukubaligwegwe nakupenda vituko vyako
❤️
Dubu hujawahi kutuangusha brother ❤❤❤
🥰
Tuliwamisi sana karibuni tena❤❤❤❤❤❤❤❤❤.mkumba umepigaje hapo kw usafiri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤️
Kazi nzuri kaka jitahidi kuwahisha kazi
❤️
Imekuja moto bro safi sana❤❤❤from Saudi Arabia
🙏🙏
Congratulations my brother Dubu good job I like it 🇹🇿🇬🇧
🥰
@@OfficialDubu_tz more love bro 🤗
Nakukubali sana kak tupo pamoja mpaka mwisho
🙏🥰
Dubu the man ❤❤❤pende sana kazi zako
🥰🥰
daaah jamn hao madada mashallah kheeeee
Umetisha kakah 🎉🎉🎉🎉
Kaz nzur sana 🔥💥💥
🙏🙏
Hahaha naomba nikamuonye na mm jmn. ❤❤❤❤
Ur the best kaka kwenye hizi movie❤❤
🙏❤️
Mwendelezo amuna😮
Hii kali 😂😂wacha niangalie sasa 🔥 juu ya 🔥 hongera dubu kwa kazi mpya 🎉🎉🎉
🙏🥰
nakukubali sana mdogo wangu Dubu
🙏
Aise dubu umetisha sana mkuu big congratulations
🙏
Dubu karejea na kazi nyingine👏🏾👏🏾wangapi tunaifatilia☝️☝️
🙏
Hajra kazi nzuri sana am proud of u
🥰🙏
Hii ni kali sana nimeikubali ,hapo dubu anatakiwa awe na nguvu ya atar
Hii kali sana 🔥
🙏🙏
Oyoooooo mzigo mpya asante dubu
🥰
Kali kabisa ila usicheleweshe next episode plzz
Hum alitakiwa kipara au mwakatobe awe ndani ingekua🔥🔥zaid
Sa uambiwe hujapenda kwakuwa hawapo
Alaf wewe dubu 😂😂 umeniumizia chifu wangu sijapenda
Jaman hii season ni traaaaam mpaka basi ❤
❤️
Safi Sana kaka dubu upo juu kaka big up sana
🙏
Mbona kama nimeelewa kazi ,inavutia maua🎉🎉 yenu wote kwa pamoja
Dubu uo mzigo wa uyo demu balaaaaaaa😅😅😅😅😅
❤❤❤❤❤❤❤kazi nzuri sana Dubu much love from Kenya 🇰🇪 🙏🏼
Daaaah natamani ningekuwa chief. Daaaaah Dubu nipe Scene kk ya Uchief. 😂😂😂😂
😂😂😂😂 nyani ngwengwe,alafu ww,basi nendeni mkaoge 🙌 🙌 #kaka dubu nakupenda ❤❤❤ kazi ni 🔥 🔥 kila uchao...habari ni za vijijini siku izi🎉🎉🎉
Ww Tena mabuti kila demu mzuri wallah ww una bahati mabuti mabuti nakupenda🌹washindwa kutogoza mwanamke watogozea wezio ww kweli mweh wallah Tena mabuti dubu nakupenda San kazi zako upo zizur ww Tena mabuti kampoza chifuu gani mdagaji tu hay poa nilala dubu nishamaliza kazi za warabu nikiamga nitaendela np na ww mwazo mwisho nisalimy San mabuti namab zangu hizo mwambay anicheka mwajuma mabuti
❤❤🎉❤ wawoo kazi zuli sana hongera
🙏
Haha haha halafu wew 😂😂😂😂
💪
Kazi poa ❤❤
🙏