RC KUNENGE AMKABIDHI MIKOBA RASMI DC MPYA WA KISARAWE MAGOTI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • NA VICTOR MASANGU, PWANI
    Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani Mhe.Petro Magoti ameapishwa leo rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge na kuahidi hatokuwa kikwazo chochote katika kusikiliza kero na changamoto za wananchi bila ubaguzi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi.
    Kauli hiyo ameitoa wakati wa halfa fupi ya uapisho wake uliofanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Pwani na kusema kwamba ameteuliwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan hivyo atatimiza wajibu wake ipasavyo kwa weledi na uadilifu mkubwa kwa kushirikiana na viongozi wenzake.
    #magoti
    #samiasuluhuhassan
    #tanzania

КОМЕНТАРІ •