Mch Moses Magembe - TOBA NA UAMSHO | YA JUMAPILI MCHANA
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Ibada ya Jumapili mchana katika kanisa la Pentecostal Commitment Church - Kinyerezi DSM Tanzania.
Somo: TOBA NA UAMSHO
Andiko: YONA 3:1-10
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 26.01.2025
Amen balikiwe sana mtumish wa Mungu
I love so much man of God, we endelea tu kuchapa injili ya yesu, wanaokuchukia washindwe
Ujumbe mzl sana
Am proud to hear this pure gospel that catch my heart, Jesus help me to live on it❤
Well be blessed
Amina baba Ubarikiwe sanaa kwa Ujumbe mzuri wa Toba ( KIYUNANI METONOIA )
Sauti ya mtu aliye nyikani Yesu akutunze mt
Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu, Mungu akutunze sana
Baba yaani mimi nakufurahia baba sana jamani ubarikiwe sana baba Mungu akupe miaka mingi baba
Naomba sna heshima ya mzee ilindwe kwa kuweka nyimbo zisizo na utata.Ikiwezekana ziwekwe nyimbo za Mchungaji Yohana na zinazofanana na hizo.
Watu wakinyerezi sijui kama wanajua kwa usahihi neema iliyowajia
Binafsi nimebarikiwa sana leo, wapendwa tunaofatilia huku UA-cam tu share sehemu zingine ili wengi wafikiwe na neno hili👏👏
😊ukitaka wengine wapate unafaa kushea aje my dear
Upo mtu wa nyumbani
@@IsayaMalale Barikiwa mtumishi, unapatikana wap
Injili isonge mbele kwa namna na njia yoyote
@@fmbihengo8463 Amen
Baba Bwana akutumiye kwa viwango vikubwa sana, Mungu akutumiye ili mataifa yote ya sikiya Habari njema ya Injili.
Amen amen baba mch nazidi kujifunza na kubarikiwa
BABA UMENIFUNZA KITU KIKUBWA NA CHA MUHIMU SANA, PIA SITA KIACHA MPAKA YESU KRISTO ANANINYAKUA.... AMINAAA
Balikiwe sama Mtumishi wa Mungu kazi ya Mungu ni nzuri
MUNGU AKUBARIKI NA KUKUONHEZEA MIAKA Baba yetu Mch Moses Maghembe
Amen amen vilenabarikiwa sana na uyu Mtumishi wa Mungu dah!!! Mungu akubariki tu👏🙏
Sioni sababu ya kumuacha Mungu heri nikose kila kitu ila nisimkose Mungu
Amen kubwa sana, BWANA akubariki sana Mch🙏
Hakika yuhai Yesu atukuzwe
Huyu mzee ni hazina ya kanisa la. Tanzania na Africa hotuba zake zitunzwe
Amina Baba nakupenda sana
Mungu akululinde baba yangu daima
MOSESI KULOLA WASASA MAGEMBE❤❤❤🎉🎉🎉😂😂
BALIKIWA MNOO BABAA
Mungu anisaidie sana
Wote wafuatao mubarikiwe. Baba aongezwe miaka ya kuishî.
Mzee ubalikiwe kwa injili safi
Amina mtumishi wa Mungu
Amen and amen ✝️🛐🙏
Barikwa sana mchungaji .
ubarikiwe Sana Baba
Amina
Ndungu -same tunaomba kanisa baba
Barikiwa Sana bab
ukweli unauma lakini ndio dawa. pole mtumishi wa mungu endelea na msimamo wakupona watapona wakufa watakufa mungu akutie nguvu
Amen 🙏🙏
kweri ibada iliojaa fudisho sahihi
Ninashauri huyu mtu wa IT achane na hizo nyimbo awake nyimbo nzuri kuabu
Wekeni nyimbo za tenzi za rohon,
Saman et mumehamia kinyerez sehemu
Mkabala na kituo cha Mafuta cha ATN
Karibu sana Na Mungu akubaliki sana
Napenda hiii hakuna uhuni hapa
Amen Amen.
BWANA YESU ASIFIWE, VIDEO HAZIDOWNLOAD TUNASHINDWA KUPATA MTIRIRIKO MZURI WA MAFUNDISHO
Aminaa baba
Background song wekeni zile tenzi mnazotumia ziwe icon
Fundi mitambo wa youtube tumieni nyimbo ambazo haziwezi kuleta ukakasi hapo mwanzoni.
Kweli kabisa wayumie tenzi
Mafundi mitambo jitahidini sana kulinda heshima ya Mzee ,huo wimbo wa leo maneno yake ni ya kibiblia ila melod ni bongo .Kwa Nini msiweke nyimbo za mchungaki Yohana TU???????
Penye wimbo FUNDI mitambo
Naomba sana heshima ya Mzee ilindwe kwa kuweka nyimbo zisizo na utata .Ikiwezekana ziwekwe za Mchungaji Yohana pekee na zinazofanana na hizo.
@@mchjohnmasegese8193 Mawazo yako ni mazuri mtumishi, ninaimani wahusika watakuwa wameliona hili, barikiwa👏
Naona kama nilichelewa kukufaham ila ata hivyo MUNGU mwema kwang kwa kunifanya nikufaham baba na nipo na wewe
Mkambala na Sheli ya ATN hapo kinyerezi
Anapatika wapi mtumishi uyu nanisha huduma yake ipo wapi kwa sasa,,?
Sasa huu wimbo mbona unakula.mb zetu. Tunataka mahubiri
Amina
Amina
Amina