Yeah!Mambo ya kijiji cha Chibe hayo mmenikumbusha mpaka raha Ni utamaduni mzuri sana kwa afya ya mtanzania.Big up wasukuma kwa huu utamaduni.pia hongera polisi wa Tanzania kwa ubunifu katika kutoa elimu ya usalama huko Shinyanga kazi nzuri kwa kweli.
Inapendez

HATARI SANA
Amos
Naona naona
Sasa upepo ndyo umekuwa maajabu? Wewe unaishi wapi ambaki hakuna upepo
Huo sio upepo kama unavyojua kama hujawahi shiriki hayo mashindano huwezi kwenda umetanguliza tumbo utafia uwanjani