UFAFANUZI Mzee wa Data anasema kuna mahala ameteleza. Katika ligi NBC Pacome ameshafunga mabao 5 na siyo 4. By Mhariri - MBWADUKE STATS "Spoti Next Level"
Huyu ndo mchambuzi sahihi kwa uchambuzi, statistics dada, reference pia Hana mahaba na timu. MAY GOD BLESS YOU AND YOUR WORK. NMB: TUACHE MAHABA KWENYE UCHAMBUZI
Ni sh.milioni 36/- Hapo unakuwa umekamilisha kila kitu maana baada ya malipo hayo hautalazimika kulipia gharama nyingine kama kodi maana hapo ni tayari kila kitu. Pia utakabidhiwa gari ikiwa imesajiliwa na kadi ikiwa tayari ina jina lako au la yeyote kadri ya vile utakavyotuelekeza. Karibu sana Boss!!
Yanga kwa sasa wana shida katika maeneo mawili navyoona mimi ni kama kuna kiwewe kwa mabeki hasa baka anapofikiwa na mpinzani pia mawasiliano thabiti kati ya kiungo wa ulinzi na mabeki kuna shida. Pia wana changamoto ya mipira iliyokufa na mazembe ni wazuri wa mipira ya juu. Waambiie wafanyie marekebisho hapo utaona maajabu
@@BenjaminKabebo hii taarifa si wangepelekewa kwenye youtube au mail yao wakasome huko? Hapa hata adui yupo, vipi tunaanika udhaifu wetu? Nani kati yenu aliwahi kusikia serikali inatangaza kwamba haina hela pia dollar zometuishia? Acheni kuuza mbinu zenu kwa adui mnamrahisishia kazi
@@JosephMlay-n5w yaani hicho ndo kitu muhimu kwa watu makini. Biblia inatwambia "tuwe na kiasi.." na huku mtaani tunaambiwa "..kuwa na koromeo.."! Suala la kwamba tuko juu kimawasiliano isiwe ni kigezo cha kuanika kila kilicho chetu!!
@@marystambuli8045 tunakimbilia kusema eti hao wako kwenye crisis kiasi hata mazoezi shida, mawasiliano nayo shida! Hatujui hizo ndo mbinu za medani na tayari taarifa zote za mpinzani unazo!! Tuache ushamba, siyo kila kitu kinasemwa tusitafute sifa. Mimi natofautiana na wengi wa wachambuzi hasa linapofika suala la mpinzani yuko sebuleni wewe unaanza kuanika siri zote, takwimu za kila vifaa vyako kiasi cha kumrahisishia kazi. Nauita ulimbukeni na siyo uchambuzi!!
Mil.36/- Vat inclusive hivyo hakuna gharama za ziada...unakabidhiwa gari lako na kadi yako ikiwa na namba mpya ya siku husika na jina lako kadri utakavyotuelekeza wewe mwenyewe. Karibu sana Boss!
Usihofu. Tutasema kile ambacho wachezaji wa Yanga watatuambia... kama watatumia vyema uwanja wa nyumbani na kushinda kutokana na kiwango kizuri walichooinyesha katika mechi iliyopita au watachezea kipigo kutoka kwa Mazembe ambao ni wazoefu wa michuano hii huku kibindoni wakiwa na mataji matano ya CAF CL. Tusubiri dakika 90 zitatupa majibvu... .
Shukran ila ni 5 siyo 6. Alifunga mawili dhidi ya F/Gate, moja kila moja dhidi ya JKT, Namungo na Singida BS. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
Mungu asaidie yanga ishinde hii mechi maana asilimia kubwa ya wacheza wako fit sana tofaut na mechi tatu za mwanzoni
Baada ya Kashasha kumkubari anafata Mbwaduke uyu nimwamba kweli kweli kwauchambutu kwaapa Africa amna nasijaona🎉🎉🎉
Dua kwa Yanga kwa wingi
All the best my team🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
UFAFANUZI
Mzee wa Data anasema kuna mahala ameteleza. Katika ligi NBC Pacome ameshafunga mabao 5 na siyo 4.
By Mhariri - MBWADUKE STATS "Spoti Next Level"
Huyu ndo mchambuzi sahihi kwa uchambuzi, statistics dada, reference pia Hana mahaba na timu. MAY GOD BLESS YOU AND YOUR WORK. NMB: TUACHE MAHABA KWENYE UCHAMBUZI
Sh ngapi mbwaduke🙏
Ni sh.milioni 36/- Hapo unakuwa umekamilisha kila kitu maana baada ya malipo hayo hautalazimika kulipia gharama nyingine kama kodi maana hapo ni tayari kila kitu. Pia utakabidhiwa gari ikiwa imesajiliwa na kadi ikiwa tayari ina jina lako au la yeyote kadri ya vile utakavyotuelekeza. Karibu sana Boss!!
I appreciate you mwaduke next level
Zidane wa cote de ivore pacome ana goli 5 na assist 4
Yanga saizi imejipata
Tutashinda tu
Yanga wapigeni hao Manzembe 3-0
Upo sahihi
Mi bana sipendi hamfatilii recod vizuri pacome ana bao tano assist nne
@@Maro_tv05 hii taarifa tunampa nani na aifanyie nini?
Kumradhi. Kweli hapo Mzee wa Data anasema ameteleza. Pacome ana mabao 5. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
Yanga kwa sasa wana shida katika maeneo mawili navyoona mimi ni kama kuna kiwewe kwa mabeki hasa baka anapofikiwa na mpinzani pia mawasiliano thabiti kati ya kiungo wa ulinzi na mabeki kuna shida. Pia wana changamoto ya mipira iliyokufa na mazembe ni wazuri wa mipira ya juu.
Waambiie wafanyie marekebisho hapo utaona maajabu
Safi. Good observation!👏👏
@@BenjaminKabebo hii taarifa si wangepelekewa kwenye youtube au mail yao wakasome huko? Hapa hata adui yupo, vipi tunaanika udhaifu wetu?
Nani kati yenu aliwahi kusikia serikali inatangaza kwamba haina hela pia dollar zometuishia? Acheni kuuza mbinu zenu kwa adui mnamrahisishia kazi
💛💚💛💚
Simechindogo
@@ReahMaduhu Hakika! Shukrani sana kwa kuendelea kutuunga mkono.
Kwani Mapembe wenyewe watakuwa wamesimama wanawasubiri mguse na kwenda kwao?
Ni kauli mbiu yao!! Tahadhari; tunapenda kuanika mipango yetu kwa adui tukidhani tunasherehesha na kufurahisha kumbe adui anachukua taarifa zetu na kuzifanyia kazi!!
It's true
We need to hide some of information before we play and still waiting until the game over
@@JosephMlay-n5w yaani hicho ndo kitu muhimu kwa watu makini. Biblia inatwambia "tuwe na kiasi.." na huku mtaani tunaambiwa "..kuwa na koromeo.."! Suala la kwamba tuko juu kimawasiliano isiwe ni kigezo cha kuanika kila kilicho chetu!!
Uko sahihi kbs. Haina haja kuanika mipango yetu. Hicho ndio kinatutesa ss yanga. Tuwe na kiasi. Mbona ibenge hasemi yote?
@@marystambuli8045 tunakimbilia kusema eti hao wako kwenye crisis kiasi hata mazoezi shida, mawasiliano nayo shida! Hatujui hizo ndo mbinu za medani na tayari taarifa zote za mpinzani unazo!! Tuache ushamba, siyo kila kitu kinasemwa tusitafute sifa. Mimi natofautiana na wengi wa wachambuzi hasa linapofika suala la mpinzani yuko sebuleni wewe unaanza kuanika siri zote, takwimu za kila vifaa vyako kiasi cha kumrahisishia kazi. Nauita ulimbukeni na siyo uchambuzi!!
Tarehe 4 siyo mbali ngoja tusubiri tuone DK 90 za mchezo Zita amua nini.
Sh ngp Mzee wa data
Mil.36/- Vat inclusive hivyo hakuna gharama za ziada...unakabidhiwa gari lako na kadi yako ikiwa na namba mpya ya siku husika na jina lako kadri utakavyotuelekeza wewe mwenyewe. Karibu sana Boss!
Hawatoki""hao mazembe wameyatimba..
😅😅😅
Lazima wachapwe WAZEMBE FC 😂😂
😄😃😆
mze wadata uko vzuri kiuchambuzi
Ninakusubiri jpili utuambie imekuwaje....
Usihofu. Tutasema kile ambacho wachezaji wa Yanga watatuambia... kama watatumia vyema uwanja wa nyumbani na kushinda kutokana na kiwango kizuri walichooinyesha katika mechi iliyopita au watachezea kipigo kutoka kwa Mazembe ambao ni wazoefu wa michuano hii huku kibindoni wakiwa na mataji matano ya CAF CL. Tusubiri dakika 90 zitatupa majibvu... .
@MbwadukeStats nimekuelewa kaka mkubwa asante sana. Tuko pamoja kaka
@@yokoi-u3gYanga vs Mazembe ni tarehe 4 siyo 5.
Saivi yanga anaitwa Kayoko Fc
Kolo tuliza mshono hii inaitwa Gusa achia peleka moto kwao
Kolo wanaitwa nibebe fc
Pacome anamagoli 6 mbwaduke
Shukran ila ni 5 siyo 6. Alifunga mawili dhidi ya F/Gate, moja kila moja dhidi ya JKT, Namungo na Singida BS. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!