Babu alipitia hali ngumu sana. Laiti wote wangekuwa pamoja nae kimawazo na matendo kuna uwezekano tungekuwa mbali sana. Ila bado tunamshukuru saana kwa kutuunganisha. Yaani ninaweza enda sehemu yeyote Tz bila hofu ya lugha amani kuongea na wenyeji, nikafanya ninayoyaendea na kurudi salama. Hakika ulikuwa zawadi kwetu.
Mzee ni miaka 19 tangu uondoke lkn sasa ndio tunakukumbuka hasa hekima,busara na upeo wako wa kuona mbali kutokana na mambo yanayotokea ktk nchi zetu hizi za Africa na hasa Tanzania kwa ujumla.
kwakweli kila. chenye msingi hakikosi changamoto, hivo ulifanyamambo mazuri sana Mkuu japo kuna wapuuzi wanakuponda, pasipo kujua changamoto zilizowakuta nyie waanzilishi Wetu Wa nchi
Azimio lilikuwa na miiko nazani kwa sasa hunahitaji kiongozi atakae heshimu na kufuata sheria na katiba ya nchi na si mawazo yake binafsi mwalimu alihitaji mambo haya
KuinGia MaguFuli kaTikA BusTani ya Baba ni ViGumu kuLiko Ngamia kupenYa kwenYe sinDano. KwaSaBaBu NduLi MaguFuli ni Mafia Man.AnaeUwa Laia zake kwa LisaSi. AmeunDa kiKosi cha waTu wasioJuLikaNa. Alafu ni FiSadi. AmeshaTuibia TLilioni 1.5
Nani anaangalia hii hotuba na kuikubali, gonga like yako hapa
Tuko pamoja
Together
My hero forever ,R.I.P JAJA,gongs like Kama unakubali Mwalimu arikuwa zawadi Kwa east Africa lakini wengi hawakujuwa !!!
The father of our motherland. Very iconic figure in African nationalism. My icon.
Mwl Nyerere, umeondoka, huku nyuma watu wanasema 'Miaka 19 bila Mwalimu Nyerere'
Hii inaweza kuwa na maana tofauti sana kwa walumbi.
Awesome 👌 speech, RIP Mwalimu Julius K. Nyerere you will always be remembered.
He was a man of action,he didn't allow anyone to take over the state house easily,he needed man like magufuli. Rest in peace the father of the nation.
R.I.P Mwl Julius K Nyerere. You are still living in our heart ur love to our National is extraordinary.
"wenye akili tukajua ndio limekwisha" RIP Mwl Nyerere
Mwalimu na Baba wa Taifa umetuwekea misingi mizuri ya uongozi tuta kuenzi tu
Hee
Tutakukumbuka daima mzee wetu wa Taifa
Memory for my life 🧬🧬
Uyu mzee japo sikumuwai katika uhai wake, ila uwa najikjta nampenda tu r.i.p😥 mwal nyerere
Makufuli kweli kayafanya alikuwa anayata huyu mzee hongera makufuli
Namkubali Magufuli
nyerere wetu Leo ni j.p. Magufuli. anapita mlemle alimopita mzee wa kazi nyerere tutazidi kukukumbuka babuyetu.
nashindwa hata kutafakali kipaji ulichokuwa nacho,,mungu akulinde kwa kutujengea misingi na mifano bora ww ndie mfano wa kuigwa
Mashauri Kilawa. Mungu akumbariki kwa ujumbe wenu
Mashauri Kilawa UTUBA ZA MWALIMU NI ZAKUINGWA KWAKWELI, NA MUNGU HAIWEKE ROHO YAKE PEPONI AMINA
I loved him so much.
Tungekuwa na misimamo hiyo toka 1995 tungekuwa mbali sana.
Mungu atusaidie.
Babu alipitia hali ngumu sana. Laiti wote wangekuwa pamoja nae kimawazo na matendo kuna uwezekano tungekuwa mbali sana. Ila bado tunamshukuru saana kwa kutuunganisha. Yaani ninaweza enda sehemu yeyote Tz bila hofu ya lugha amani kuongea na wenyeji, nikafanya ninayoyaendea na kurudi salama. Hakika ulikuwa zawadi kwetu.
Kwel kabisa Mzee. Rip our father of nation!
MWL. TUNAMSHUKURU MUNGU TUMEMPATA JEMEDALI ANAITWA JOHN MAGUFULI YUKO💪
Who is watching now one month before general election 🇹🇿
Ninaposikiliza Hotuba za huyu jamaa huwa Ndio Nahisi Kuwa Mie Ni mtanzania
Sio jamaa ni Baba wa taifa la Tanzania 🙏 pumzika Baba Nyerere kwa amani
ulale mahalipema peponi Amina
Maana si mtu wa kusema linakera sana lakini ukimtazama....huyu! I can't stop listening to that bit.
Baba wa Taifa la Tanzania,wosia Kwa wananchi wake.11/1/2021.
No one like ever our grand pa,,
Rest in peace the father of our mainland...
Asante baba. Tushemu wazee. Amen
This is the type of leadership we lack here
Nyerere baba ubarikiwe popote ulipo.
indeed they were men with vision. but i feel sorry for our Africa, we never learn and we never grow up from handout. Mwalimu alikuwa mwenye lahikma.
Kweli maguful hapa ndipo alipo toa elimu yauongozi wke
Amezibada .....
God help us to love our parents and my wife
kilicho wekwa na mungu mwanadamu hawezi kukitoa
Bado hatujampata anaekerwa na mambo maovu ila tunamatumaini tutampata tu Inshaallah
2020 Rest In Peace JKN
Mzee huyu aliona Mbali sana.
Nilikua na miaka 5 tu wakati unatangulia mbele za haki hakika hotuba zako zinatufunza mengi mungu akutunze huko mbiguni upumzike salama 2020-7-17
Nikwl hii nukuu yako mwl nikwl hapo mungu ametukumbusha kwa Awamu hii japo tutanafaidi matunda ya watanzania uliotuachia
Kukosekana kwa miiko ndio tunasikia Leo hii viongozi wanajipigia tu!!
Daaa kwakweli mungu amuweke mahali pema peponi
Akumbukwe Baba was Taifa Daima na milele
Juma Salum p
Unaumwa wewe yaani huyo awekwe mahala pema peponi? Yaani huko alipo kama anachomwa achomwe zaidi haswa
@@R10_Rajab usamehewe bure maana aaaaaa!!!
@rajabu bangi siyo chai... Ivi unasababu gan ya kumchukia mwl jknyerere???? Fala sana ww
Bravo Ikulu mahali patakatifu!!!
Mungu amlaze mahali pema peponi
NYERERE ALIZUNGUMZA NI KAMA ALIKUWA AKIMTABILI JPJM. MAGUFULI RAIS WA MASKINI
Mwalimu alijenga nchi kwa msingi dhabiti.RIP mwalimu.
Mungu akuweke mahali pema Pepon amin
Mzee ni miaka 19 tangu uondoke lkn sasa ndio tunakukumbuka hasa hekima,busara na upeo wako wa kuona mbali kutokana na mambo yanayotokea ktk nchi zetu hizi za Africa na hasa Tanzania kwa ujumla.
Mungu alitupatia jembe la kazi jamani apumzike salama huko aliko
tutakkumba daima
R.I.P GENIUS
Mzee aliponifulahisha kwenye biblia aliijuwa biblia sana Mungu wa ajabu sana
Mzee nyerere dah asante ulitukomboa.kt utumwa wa wajerumn mungu akuuweke mahala pem pepon amina
Mtaalam wa Taaluma huyo. RIP.
Legend.
Nice one hayati
I salute you Mwalimu
Kiukweli hayupo Wa kukufananisha Naye mungu akulaze mahali pema pepon
tutakukumbuka daima
Mzee Nyerere Isa siyo Yesu. Ni watu wawili tofauti.
ni sahih
Wewe ndio hujui mzee alikuwa yuko sawa
we will never forget you all the time when were staying to gether R I P
Baba tulimpata kiongozi huyo anaekelwa na rushwa lakini nae katutoka.....baba..lala salama.
my best part 10:10__10:17
tutakukumbuka daima na milele Amina kwa osia wako
Magufuri alikuwa ndani ya ndoto zako, aliamini ila hakudumu
2021 and watching.
Bado hajatokea kiongozi kama Nyerere tumuombe Mungu atupe wa kufanana au kuendana na nyerere
2019 remember baba wa taifa leo talehe 6/1/2019
Yusuph Kaoneka mi
Nice
Hongera baba wa taif
Kenyatta alikuwa mwenda wazimu alikataa nchi yetu kenya na tanzania ziungane
Ulimtabiria Magufuli
Magufuli was the one who qualifies
hakikaa
R.I.P
Huyu mzee alikuwa na akili nyingi na kiona mbali. vijana wa sasa wanapaswa kuzisikiliza hotuba zake wajifunze kitu
Kama kungelikuwa na rufaa ya kifo,Mimi ningekata rufaa Mwalimu Nyerere asife.
Naomba Serikali iweke wazi hotuba za Baba wa Taifa ili kizazi cha sasa kijifunze uzalendo kupitia hotuba zake.
Kweli
Nani atamrithi mwalim nyerere ktk familia yake nafikiria sana labda wajukuu au vitukuu R.I.P Mwalim
Kizazi hiki cha smart phone hakiwezi hata robo kufikia uwezo wa huyu mzee!!!
A really TANZANIAN....
kwakweli kila. chenye msingi hakikosi changamoto, hivo ulifanyamambo mazuri sana Mkuu japo kuna wapuuzi wanakuponda, pasipo kujua changamoto zilizowakuta nyie waanzilishi Wetu Wa nchi
Joyce Kapande nikweli kuna watu wanamponda sana bila yenye ndisingefika hapa
Joyce Kapande
Dah hii jamaa ilikua chombo kwel RIP NYERERE MKUU WA TAIFA LA TANZANIA
U n
tumuenzi kwa MAZURI ALIOTUACHIA.
Mbowe unasikia hayooo?
R I P Dad
Good
Let us love God
Amina
Kifo hiki jaman basi tu pumzika kwa aman baba wa taifa letu
Nampenda nyelele mana amemfanya magufuli kuwa raisi mwwnye kuikemeya luswa
Huyu Babu balaa
R.I.P BABU! TUNAKUKUMBUKA SIKU ZOTE ZA MAISHA YETU WATANZANIA.
Emwalim kungekuwa wanapeana uhai ningekupa uhai wangu urudi duniani
Kweli sasa tumeyaona uliyo tabi kuwa uwezikutumi mabwana wawili lakini sasa watu wanafanya hayo
Azimio lilikuwa na miiko nazani kwa sasa hunahitaji kiongozi atakae heshimu na kufuata sheria na katiba ya nchi na si mawazo yake binafsi mwalimu alihitaji mambo haya
2020
Hakuna mfano wa wewe daima milele!
kweli ndugu yangu Bayo.
Baba umeenda lakini maneno yako yatadumu daima
He was hinting corrupt of Kenya😁
Hapa Babu alikasirika
THE BABA tumekwamaa hapaa sasa ndo tulipoo hatunaa macho hatunaa puaaaaa
mengi hatuyajui lakini kwa haya mh umenifumbua macho
Hahahaha nzr San hii
Rip nyerere
Dah jamab mungu wa ajabu wazuri wanakufa wabaya wanabaki
Mzee wa hekima.
Rabana ailaze roho yake pema peponi.
duuuu MKUUUU tumekwaama we need new messiah
Ndio
Baba wa taifa akuwai kuwa na tamaaa na ndo maana hata madini hakutaka yachimbwe pindi watanzania wajajielewa
KuinGia MaguFuli kaTikA BusTani ya Baba ni ViGumu kuLiko Ngamia kupenYa kwenYe sinDano.
KwaSaBaBu NduLi MaguFuli ni Mafia Man.AnaeUwa Laia zake kwa LisaSi.
AmeunDa kiKosi cha waTu wasioJuLikaNa. Alafu ni FiSadi. AmeshaTuibia TLilioni 1.5