LIVE -IBADA YA KWANZA YA MWAKA MAPYA MAKAO MAPYA YA TAG MAJUMBA SITA-2025

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025
  • Live; Ibada ya kwanza ya Mwaka mpya 2025 na Makao mapya TAG Majumba sita

КОМЕНТАРІ • 20

  • @NeemaSunday-f3l
    @NeemaSunday-f3l 11 днів тому

    Hongereni sana watakatifu wa Bwana pamoja na Baba yetu MCH.Kanemba.

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 11 днів тому +2

    Watumishi tumtumikie Mungu, vijembe vya nini? Eti Mungu yuko majumba sita kwingineko yuko matembezi du! Mungu atusaidie kujitambua KOLOSAI 3: 12-15

  • @fastonsambo-du4rd
    @fastonsambo-du4rd 11 днів тому +4

    Magembe Hana kosa ,Tag Haina kosa tunza utakatifu wako.Wanaotaka kuhama na wanaotaka kubaki wote wako sahihi.

  • @DerickNdasalama-s9n
    @DerickNdasalama-s9n 11 днів тому +1

    Hamna lolote we stand with magembe

  • @jacklinefideli-nm4so
    @jacklinefideli-nm4so 12 днів тому

    Mbarikiwe sana

  • @makutimalubu
    @makutimalubu 9 днів тому

    Kwa TaG hii ya Msajir wa vyama twachanganywa . Mbinguni hakuna TAG ila Universal church. Hali ya Viongozi na makuhanii kupoa, kujipenda wakijirimbikizia vya dunia kuliko kumpenda Mungu kumedhoofisha nguvu ya kanisa la kwanza

  • @Amosbenard6321
    @Amosbenard6321 11 днів тому

    Tuwekee Somo tujifunze.

  • @tygadaclassic3488
    @tygadaclassic3488 12 днів тому +3

    Hubirini injili bhana??? MbonaWenye dhambi wamejaa makanisani😅😅😅

    • @zabronyohana2383
      @zabronyohana2383 12 днів тому

      Kazi ya Mungu haitegemei mtu hata wakinyamaza hao hata mawe yataabudu hapo

    • @JeremiahJuliet-r7p
      @JeremiahJuliet-r7p 11 днів тому

      Hata wewe unaweza ukawahubiria hao wenye dhambi

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 11 днів тому

    Kweli mtumishi,baadhi ya watu,kwa chuki binafsi dhidi ya TAG, na sababu nyingine wanazo zijua wenyewe,wameutafsiri vibaya uamsho --- na Kila linalofanyika TAG ni baya,na TAG ndiyo iliyokufa,ila wao ndiyo wako hai na wako kwenye uamsho,lakini ukiwaangalia,wamechoka kiroho,yaani wako ICU kiroho,walichobaki nacho ni makelele kwenye mitandao,na hicho kwao,ndio uamsho -- " Mungu atusaidie "

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 11 днів тому

      Taarabu ya nini mpedwa sisi sote ni watoto wa Mungu TAG Iko salama Mch Magembe Yuko salama Kila mtu amtumikie Mungu Kwa nafasi aliyopewa na Mungu

  • @Amosbenard6321
    @Amosbenard6321 11 днів тому +1

    Mbona hakuna Somo Mtumishi kweli hapo Una Ujumbe kwa Kanuni ya Biblia? Nakushauri Usibahe wala kuhofu fanya maandalizi ya kupanda Madhabahuni. Wewe ni Homilia kweli?

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 11 днів тому +1

    Njooni kwa maghembe huku kuna uamsho mtapata raha...

  • @edimundeliud
    @edimundeliud 11 днів тому +1

    Jengo umejenga wewe naona unafurahia kitu alicho simamia mtu mwingine