hivi mmekosa kaz za kufanya hakuna mwenye uhakika kwanza Mungu hajui mambo ya dini haya ni mambo ya duniani tu kinachotakiwa ni kufanya yale mambo mazur anayoyataka Mungu na sio kuanza kubishana vitu ambavyo hatuna uhakika na wakati ninavyojua mm dini ni iman
Benja Kama huna uhakika na Mambo ya dini mbona mungu una uhakika nae?Imani na matendo mema anayopenda mungu chimbuko lake ni dini km dini yako sio utapata tabu sana.
Ukisema ivo utakuwa unakosea kwa sababu mungu ameshaeka wazi njia ya kuifata na jinsi ya kumuabudu,haiwezekan utafute ya kwako halaf akupe pepo yake,ukitaka uokoke lazima uufate uislamu ambao mungu aliwapa mitume na manabii
Shindeni kubishana bila kujua huu ni mwisho wa dunia ,la msingi madhabau ni.pendo.litokalo moyoni kwahiyo.wuislam na ukristo ni.kama madaranja ya kutupeleka kwa MUNGU,kwahivyo kila.mtu ujua MUNGU amuombaye bila.imani na kumtii MUNGU aliyetuumba ukristo na uislam hautatupeleka popote so acheni mabishano
Huu ujinga ulilifikisha taifa pabaya wakati ule , na nashukuru kikwete kwa kukomesha udini huu ni uovu kama uovu mwingine ,,, anae mwamini Mungu haki yake itahukumumiwa siku ya hukumu yake kwa matendo yake.
Mkristo kamili mwenye Mungu amefunua macho huwa hashereke
Maasha'Allah,Ushindi ni Wa Allah S.W. na Waisilamu kwa Ujumla mpaka Peponi.(JANNAH TUL-FIRDAUSA)..AMIIIIIN.
Mwenyekiti wa kiislamu huu ni utoto mtupu
Waislamu Mnajuwa Kuwakamata Wakristo Hongereni Sana. Ushindi Wenu.
Nimegundua Kitu Kimoja Yakuwa Wakristo Wanapowaona Waislamu Wanakuwa Na Kitete Sana, Yaani Hawajiamini Kabisa.
Mhmm mwalimu kachanganyikiwa wazungu waliwaumiza sana ndugu zetu kuwaletea dini ya upotevu
Masha'Allah Al hajj Sule
hivi mmekosa kaz za kufanya hakuna mwenye uhakika kwanza Mungu hajui mambo ya dini haya ni mambo ya duniani tu kinachotakiwa ni kufanya yale mambo mazur anayoyataka Mungu na sio kuanza kubishana vitu ambavyo hatuna uhakika na wakati ninavyojua mm dini ni iman
Benja Kama huna uhakika na Mambo ya dini mbona mungu una uhakika nae?Imani na matendo mema anayopenda mungu chimbuko lake ni dini km dini yako sio utapata tabu sana.
Ukisema ivo utakuwa unakosea kwa sababu mungu ameshaeka wazi njia ya kuifata na jinsi ya kumuabudu,haiwezekan utafute ya kwako halaf akupe pepo yake,ukitaka uokoke lazima uufate uislamu ambao mungu aliwapa mitume na manabii
Wwe Peko Misegese karibu kwenye Uisilamu,kabla ya KIFO CHAKO.OKOA NAFSI YAKO BROTHER..
Shindeni kubishana bila kujua huu ni mwisho wa dunia ,la msingi madhabau ni.pendo.litokalo moyoni kwahiyo.wuislam na ukristo ni.kama madaranja ya kutupeleka kwa MUNGU,kwahivyo kila.mtu ujua MUNGU amuombaye bila.imani na kumtii MUNGU aliyetuumba ukristo na uislam hautatupeleka popote so acheni mabishano
Emmah bila mihadhara watu wataendelea kuabudu viumbe na kusherehekea sikukuu za kisanii kwahiyo acha watu wafunzwe tu hakuna nanna.
Hapapatikani jibu mpaka Kiama wallah!
Uislamu Keisha mwalimu Gaspa
Nxt part
Yesu ndo atahukumu
Yesu mwenyw anasubiri kuhukumiwa sasa sijui kuwa atakusaidia nini
tutakukumbuka bahati
Kwa hakika dini ya mungu ni isilamu
Hakunajibu hapo jaman mpaka kiama
Huu ujinga ulilifikisha taifa pabaya wakati ule , na nashukuru kikwete kwa kukomesha udini huu ni uovu kama uovu mwingine ,,, anae mwamini Mungu haki yake itahukumumiwa siku ya hukumu yake kwa matendo yake.
Makafiri wamechemka
Majibu Halipatikani kama alivyosemwa na Doctor sheikh Suleiman
Hii Ni Haibu Yao. Kujifanya Wasomi Mwishowe Wanadharilishwa.
Masheikhi Allah awalipe
....Lazma washindwe...Yesu hakuzaliwa tar 25 Dec..huo ni upagani...halafu kwani sikukuu ya Kidini sio Ibada..?..wachungaji elimu hamna
Hawana jibu mpaka kiama alitapatikana kama alivyosema sheikh Suleimani
Uzuriwake wakirsto wanahekima hawabishan na wapumbavu
Hekima gani muko nayo makafiri
Ila bibilia inakita ww ni mbwa
Hawawezi kujibu mpaka kiama wakiristo vichwa maji
Mnakelele waislam khaa
Haya basi mjibu swali tupunguze kelele.
Yan nyie kaz y kufnya amuna atkm munatuita kafini ipo cku mutkuj kujuta mungu awaxmeee xnaaaa
Hapati jibu huyo
ALLAHU AKUBAR
Hii Ni Tatu Bila. Mwenyekiti Umetuangusha Kwa Kuogopa Swali Umewapa Point Za Bure Waislamu.
Allahu Akubar
mguu wa shingo maguu wa roho
Hahaha you are 100% right focaiswaiza7.
Mwenyekiti Kwanini Unamtegemea Gaspa Kujibu Maswali Ya Waislamu!!!!!!!!!!???? Huyu Anatuangusha Mwenyekiti!!!!!! Swali Lipo Wazi Kabisa Gaspa Hakulielewa.
SWALI LA KUPUMBAVU NYIE Mapepo tu
Wakiristo wakiristo rudini kwa Allah
Debate tamu sana ... fuata link
ua-cam.com/video/8NHxbGB8vSI/v-deo.html
Majibu halipatikani kamwe mpaka akhira
Cczalj vcx is time I want
Hhhhh raha
Doctor sule fimbo yao.
aslmalkm ndugu waislam? Mahsha'Allah, Ajibu swali uyo? makafirri nyie wkrsto)
hamna lolote nyie mnashangilia kwamba mmexhinda endeleen kwamba ukrixto cio din moto unawahusu polen xana
Tumaini Elia wasaidiewenzio kujibu swali kwanza kisha uongee habari za moto
Tumaini Elia
Tuache uvivu; tusome vitab tuutafute ukweli
Tumaini Elia kwani unaandiko ukristo ni dini?
bure kabisa....