Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Ameen
Shekhe mm wanakujag wadudu mfano wa siafu wanaashiria nn
Mie nimeta chumbani kwangu kuna wadudu wengi sana alafu wadudu mbari mbali
Nimeguswa kiongozi wangu
Ants
Vip na mm naona ndege nyumban kwangu
Asili ya rizq na baraka nyingi, ukiona unafeli basi unahusudiwa
Kuna Wale wadudu kama mijusi(ma loha) Huwa wa kijivu wanapenda kutoa Sauti Mbaya,sijuwi ni wanini jamanii hawaondokagii
Mimi nyumbani kwangu kulikuwa na mchwa sana nikawaua wote nilikuwa sijui jamani
jongoo mweupee huwa nawaona ndani kwangu nasijui maana yakee
Mm kiongoz Wangu chura kila mara nawakuta ndani naomba niambie na kunisaidia kwa ili
Naomba unisaidie nyamban kwangu vyura awakatiki ndan kila siku jion lazma niwaone ndan naomba Nisaidie kuna aman
Nyumba yenye wadudu aiuna ya Titili wanatokea hawasikii dawa na nyumba haina mfugo wowote ni ISHARA YA NINI
Umejenga nyumba kwenye njia za wachawi au njia za majini
Mm mijusi rang nyeupe ming na panya weng
Panya mende kungun , ndan kwangu km wamemwaga, na uchumi umekufa
Sheikh Samahani nina Swali naomba kuuliza,jee ukiota umeona Mbuyu au Mibuyu Miwili,imepandwa nyumbani Kwetu Maana yake ni nini!?!
Tafsiri ya ndoto ulipie elfu tano
Salaam aleykum mm nyumba yangu unasumbuliwa na vyura yaan chura hawakauki shida nn