Mzungu Ajibiwa Hoja Zake -Ustadh Shafii Shomari- Amfundisha Kuhusiana na Ukiristo na Uisilamu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 269

  • @NagoryDume
    @NagoryDume Місяць тому +2

    Hao wazungu wafukuzwe kwenye nchi yetu hakuna kingine apo

  • @omaraly7226
    @omaraly7226 4 місяці тому +3

    Pigania uiclam shekh shafi mungu akuongoze kwakilahatua

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 4 місяці тому +1

    We Mzungu elimyako ikochin.Yesu alikataa kuitwa mwema atakubali kuitwa Mungu.

  • @mudiali4506
    @mudiali4506 9 місяців тому +1

    . Maasha, Allah sheikh Shafee. Una stshil.
    Allah atujalie. Tuta kuchangia.tupe
    Tel zako tuwasliane

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 10 місяців тому +4

    Mzungu njoo upate ilimuuuu kwawa Islam maa shaa Allah

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db 10 місяців тому +2

    MashaAllah Shekhe Shafii Allah Akubark, Tupo Pamoja Na Nyie mashekhe Ktk Kuongoza Kuibainsha Hak Na Kuelmsha Din ya Haki Mbele ya M/mungu n Uislam 🙏

  • @jacksonmwafongo1917
    @jacksonmwafongo1917 10 місяців тому +1

    Shehe shafii ubarikiwe

    • @nuruyamwishotv1927
      @nuruyamwishotv1927 10 місяців тому

      1 John 4:1-3,6
      [1]Beloved, believe not every spirit, but try the spirits whether they are of God: because many false prophets are gone out into the world.
      Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
      [2]Hereby know ye the Spirit of God: Every spirit that confesseth that Jesus Christ is come in the flesh is of God:
      Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.
      [3]And every spirit that confesseth not that Jesus Christ is come in the flesh is not of God: and this is that spirit of antichrist, whereof ye have heard that it should come; and even now already is it in the world.
      Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
      [6]We are of God: he that knoweth God heareth us; he that is not of God heareth not us. Hereby know we the spirit of truth, and the spirit of error.
      Sisi twatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu. Mungu ni Upendo

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 10 місяців тому +3

    Jamani binadamu tuache kibri. Mungu adhabu Zake ni kali. Tusimshirikishe

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 10 місяців тому +3

    hawa wazungu wanahangaika siri zao za kutengeneza hii dini ishajulikana ni upinde tuu

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 10 місяців тому +3

    Allahu-akbar

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 10 місяців тому +1

    mashallah sheikh shafi uyo muzungu ni missionary iko kikazi kujiriya pesa nakufundisha upagani

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 10 місяців тому

      Nilisha kushauri kajifunze kwanza kiswahili ndiyo uwe una Comment hapa😊

    • @innocentndikumana8928
      @innocentndikumana8928 10 місяців тому +1

      aca ujinga cuki yabure wislam nuru baki uko kwenye upagani 😊

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 10 місяців тому

      ​@@paulmushi2428anafahamika na umemfahamu pia

  • @m.e.ssofttech2806
    @m.e.ssofttech2806 10 місяців тому +1

    Dhambi ya yesu ni ipi

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 10 місяців тому

      Yesu Anasema mzgo wake N Mwepec ,kw hyo Ndugu Ktk Maandko Anasema Ana Mzgo wke Ila N Mwepec,

    • @mahmudmugarura2175
      @mahmudmugarura2175 4 місяці тому

      Alichukua Punda wawatu
      Mpaka sasa haja mrudisha

  • @MomadeabdulAbdul-i3w
    @MomadeabdulAbdul-i3w 10 місяців тому

    Awatuwezi mugu akuzidishie maisha marefu

  • @jumaamsuya5
    @jumaamsuya5 10 місяців тому +3

    Kanisani wanaenda kufanya nnkupiga makofi kisha kurudi nyumbani 😢😢😢

    • @MponjoliBerdons
      @MponjoliBerdons 10 місяців тому

      mikristo ni nini ndugu yangu acha dharau na chuki

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 4 місяці тому +1

    Huyu Mzungu afkuzwe
    Atatuletea Ushoga

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 10 місяців тому +1

    Allah akuhifadhi

  • @brotherblood728
    @brotherblood728 10 місяців тому +2

    MaashaAllah

    • @SIMONZAVERY
      @SIMONZAVERY 10 місяців тому

      Sinagogi ni msikiti toa andiko

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 10 місяців тому +4

    Nyundo kwa mzungu

  • @AhmadJuma-c8e
    @AhmadJuma-c8e 10 місяців тому +1

    Mm nakkbli mkuu

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 5 місяців тому

    Mzungu kichaa

  • @universitylink
    @universitylink 10 місяців тому +1

    Halafu anasema wao wanakubali kuwa Yesu ni Mtume si Mungu kisha anasema ni Mungu kwa sababu alikuwa kabla ya Abrahamu kuweko

  • @SalhaHudi
    @SalhaHudi 10 місяців тому +2

    Niko Saudi Arabia Nafatilia Hii. Kuhusu laptop camera ni swala la muda tu lnsha Allah.

  • @abduwahabi7019
    @abduwahabi7019 10 місяців тому +2

    Wewe sema nichangieni ela ya kula sio kila siku vifaa wakina mazinge mnachangisha ela za vifaa toka mwaka 2000 mpaka leo vifaa havitimiagi duh Allah anawaona

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 10 місяців тому

      ​@@ustadhshafiionlinetvShekh wng makafir km hawa usiwe unapoteza muda kuwajibu,hawajui lolote kuhusu juhud zenu sisi tulio toka kwenye ukafir na kuwa Waislam kwa kuwasikiliza nyie ndio tunajua umuhim wa hiki mnacho kifanya,maneno km haya yasiwarudishe nyuma unajua hatuwez kuepuka wote na moto hta mm mpk leo wazaz wng ni wakristo ila kwa uwezo wa Mungu naamin ipo cku watajua kwa nn nilisilim na wao watafuata tu,achana nae kafir huyo

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 10 місяців тому +1

      ​@@ustadhshafiionlinetvAkhy ulichosema kwenye video kimeeleweka umeomba VYOMBO huyo ni wale wachamungu wanaojipa, achana naye kaka
      Usiwe unajibu koment kama hizi tuachie sisi tunawaweza watu kama hawa wa koment.

    • @SaidiJuma-p6f
      @SaidiJuma-p6f 24 дні тому

      Th naww kale ubwa bwa mahrage ka vimbiwe kabinuke ushuzi huko

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 10 місяців тому +3

    Wakristo awana uelewa wa dini icho kitabu chao awakisomi wanasomewa ivi Mungu kakaa tumboni miezi 9 sasa uyo atakua Mungu au binadam

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 10 місяців тому

      Allah ako na mguu.Qurani sura 50:30 na hadith sahih Al Bukhari 4848.
      Sasa hapa tusemeje Kwa mguu hata sio miguu?

    • @جمل_26
      @جمل_26 3 місяці тому

      ​@@NathanielNathan-m4o labda quran aliyoandika mama ako
      Quran 50:30 inasema Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je
      Kuna ziada?

  • @marvelousofzanzibar9556
    @marvelousofzanzibar9556 10 місяців тому +3

    Mzungu anataka kusomeshwa

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому

      ww kasome kwanza!

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 10 місяців тому

      Akasome nini?Wakati Bibilia ziko wazi zinasema Yesu kalala usingizi kwenye jahazi,Je Mungu anaweza kulala usingizi?Bibilia inasema Yesu alikuwa na njaa akala mikate na wanafunzi wake,Je Mungu anawezaliwa na njaa?Bibilia inasema Yesu alitahiliwa ,Je Mungu anaweza kutahiliwa na wanadamu?Bibilia inasema mtoto Yesu alipotea mpaka mama yake na baba yake Mzee Yusuph wakawa wanamtafuta huko na kule lakini hawakuweza kumuona,sasa huyo atakuwa ni Mungu waina gani anae poteapotea huyo?

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому

      @@RamadhaniLukambuzi kama kalala kati ya Muhammad na Yesu nani yuko mbinguni tukiwa tunaongea saizi?

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 10 місяців тому

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh Aliyempeleka Yesu mbinguni ni Mwenyezi Mungu Yule Yule aliyemua Mtume Mohammad;kwani Mwenye sifa ya kuwapa viumbe uhai ni nani kama sio Mwenyezi Mungu?Mtume Mussa nae kafa kama Mohammad,kwahiyo kati ya Yesu na Mussa nani zaidi?Mtume Ibrahimu nae chali kaburini,Je!kati ya Yesu na Ibrahimu nani zaidi?Adam baba yetu binadamu sote nae yuko kaburi,Mtume ambaye hakuzaliwa bali aliumbwa na Allah na kaishi peponi na ardhini yaani duniani naye yuko kaburi,Je!kati ya Yesu na Adamu nani zaidi?haya majibu yajibu kwa Ayah za Bibilia sio kwa maneno yako,Mama yake na Yesu Mariamu nae yuko kaburini mpaka leo,Je!kama Yesu ni Mungu na anao uwezo binafsi wa kutenda miujiza,kwa nini hasimfufue Mama yake mzazi?Kila Mtume wa Mungu alitumwa na Mungu kwa majukumu yake ndiyo maana hata ukisoma maandiko waliyopewa na Allah huwezi kuona Mitume wanarumbana au kupondana ni kwasababu Mwenyezi Mungu aliwaondolea majivuno na matamanio ya dunia,hawakuwa na tamaa za ajabu kama tulizonazo kizazi cha sasa hivi ndiyo maana hata Mitume wengine walifia dini lakini sio Mitume wahuni kama Paulo na Petro hawa ndiyo walioanzisha imani za kuabudiwa Yesu!

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому

      @@RamadhaniLukambuzi kwa nini akumpeleka Muhammad mpaka Yesu?tafhakari bado mapema maana tuko siku za mwisho na qu'ran iko bubu ijui lolote!

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому +3

    uislamu ni dini safi isio na shaka ayo nimadayi yako bwana shaffi si maandiko!

    • @nuruyamwishotv1927
      @nuruyamwishotv1927 10 місяців тому

      1 John 4:1-3,6
      [1]Beloved, believe not every spirit, but try the spirits whether they are of God: because many false prophets are gone out into the world.
      Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
      [2]Hereby know ye the Spirit of God: Every spirit that confesseth that Jesus Christ is come in the flesh is of God:
      Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.
      [3]And every spirit that confesseth not that Jesus Christ is come in the flesh is not of God: and this is that spirit of antichrist, whereof ye have heard that it should come; and even now already is it in the world.
      Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
      [6]We are of God: he that knoweth God heareth us; he that is not of God heareth not us. Hereby know we the spirit of truth, and the spirit of error.
      Sisi twatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu. Mungu ni Upendo

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 10 місяців тому +1

      Ilii yawe Maandko ,Yawe Nn au Mandko yko wap ,toa Mandko Tujfunze Mandko yko ww

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 10 місяців тому

      ​@@Nily-kz3dbmakafiri ni vipofu wa kuona haki

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому

      @@Nily-kz3db mwambie kwanza mwalimu wako atowe andiko Islam ni dini safi

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 10 місяців тому

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh Ndugu Mpendwa ktk Iman,Kwn Maandko Hayaon ,Au Hucki

  • @alphoncetemu9859
    @alphoncetemu9859 9 місяців тому

    Nyie ni makafiri, kazi yenu ni kujitoa kafaraaa

    • @AllyNassor-de6ck
      @AllyNassor-de6ck 4 місяці тому

      Sasa wewe huyo mungu wenu yesu alikula na chooni alienda kweli ni mungu huyo au ni mshkaji kama wewe tu tofauti na wewe yeye katumwa Kwa kondoo mliopotea tu.

    • @salimbahatisha3003
      @salimbahatisha3003 4 місяці тому +1

      Bado hujasema....mpaka dawa ikuingie

    • @hamidamussa593
      @hamidamussa593 4 місяці тому

      Nyie ndio muliotuletea balaa la ushoga na wazungu wenu Hao wamagharibi Kwa Tamaa na njaa zenu... Hiyo mikanisa yenu ipo Kwa ajili ya maokoto tuu Sio Kwa ibada nendeni uko mukawafire wazungu mupewe mapesa hakunaga Dini wala Nini...

  • @Logicentric
    @Logicentric 10 місяців тому +1

    Hahahaha....
    Hivi yesu huyo mmoja ni mtu,ni mtume,ni mtoto wa mungu,ni mungu,kazaliwa,kafa.....
    Mungu wa aina gani huyo.
    Mukienda kuingizwa motoni hamna wa kwenda kumlalamikia maana mmeng'ang'ania upofu kwakusudi.
    Mpaka sasa hivi mmehalalisha ushoga...na bado tu hamzinduki...
    Poleni sana....

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 10 місяців тому

      Sura Mariam 71 -72 inamaanisha nini?

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 10 місяців тому

      ​@@NathanielNathan-m4oacha kudaganya yesu ni mtume Kama mitume wengne sema mlipo changanyo ni kazaliwa bila baba na kuokolewa na alipotaka kuuwawa

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 10 місяців тому

      @@saphinalutaha9077 umetaja mambo ya kuingia motoni nikatuma sura Mariam 71 -72 unieleze inamaanisha nini?

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 10 місяців тому

      @@saphinalutaha9077 Kwani wewe huoni tofauti ya Yesu na mitume wengine?

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 10 місяців тому

      @@NathanielNathan-m4o tofaut yake ni kazaliwa bila baba na kuokolewa na mwenyezmngu alipotaka kuuwawa kuhusu kwenda mbiguni kwa mitume ni kawaida Sana coz mtume Mohammed alienda mbiguni na alirud kwenda kwa masih mbiguni aliokolewa na mwenyezmngu alipotaka kuuwawa na ndomana atarud kuiah kasome twambien nabii enock alifia wap kwa ss waislam Kuna mtume idrsi alikuwa anaenda mbiguni na maraika alipofka mbigu ya nne alifarkia uko uko

  • @USACAUDIOVISUALMATERIALS
    @USACAUDIOVISUALMATERIALS 10 місяців тому +1

    MLETE MZUNGU😂😂😂😂😂

  • @MwamvuaHamis
    @MwamvuaHamis Місяць тому

    Mpinga.kristo.ni.paul.alielleta.makanisa.yesu.aliacha.masinagogi.na.hekalu

  • @abeidmohamed2100
    @abeidmohamed2100 10 місяців тому +1

    Nahis huyo ni sleman rushd ni mpakistan asili yke na anaishi u.k nafkir

  • @edsonkanyonge6821
    @edsonkanyonge6821 3 місяці тому

    Huna akili saiv umekua MTU wa mitandao

    • @SaidiJuma-p6f
      @SaidiJuma-p6f 24 дні тому

      Th towa ukundu wako ndonini sas hpo pwent yake ufla tu sjuwe wwpi ngombe wamaziwa

  • @SIMONZAVERY
    @SIMONZAVERY 10 місяців тому

    Mohhamed mwenywe anasubili yesu arudi aje amfufue

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 10 місяців тому

      Ujio Wa Yesu Au Nabii Issa Anapokuja Dunian Anakuja Kukanusha kua Yye Cio Mungu Wala Cio Mtto Wa Mungu,na Saa Ya Kiamaa Itakua ishawaacl,kw Mana Nabii Issa M Alama Ya Kiamaa ,

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 10 місяців тому

      Kafir mwingine huyu😂😂😂😂😂😂😂wenzio tunatoka kila cku huko ww bado umefumba macho tu

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 10 місяців тому

      Umesoma kitabu gani hico kwahio yaliyo somwa.kwenye bibilia hauyakubali hip shaff anasoma kama yesu sio.mungu wewe unasemaje?

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 10 місяців тому

      Umesoma kitabu gani hico kwahio yaliyo somwa.kwenye bibilia hauyakubali hio shaff anasoma kama yesu sio.mungu wewe unasemaje?

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 10 місяців тому

      😂😂😂😂 makafir mna vichwa vigum nyie daaah, Ahsant Mungu kunitoa kwenye ujinga huo

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 10 місяців тому +1

    Wala wewe sio mwiislaam hapo ulisoma msikiti hakuna neno hilo

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 10 місяців тому

    Kama Yesu ana dhambi, kwann yeye ndiyo atakuja kuhukumu ulimwengu, wewe vip shaffi😅

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 10 місяців тому

      Yesu haj kuhukum Wala kufufua mtu anakuja kwa Mambo mengne kabsa

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 10 місяців тому

      Nyie ndo mnampa dhambi kwa kumwta mungu

  • @clarencepeterbugi2862
    @clarencepeterbugi2862 10 місяців тому +1

    ACHA UONGO PAULO aliyafanya hayo wakati bado hajamkubali YESU aliyoyaandika hayo akisimulia alivyokuwa mwanzo

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 4 місяці тому +1

      Kuna mapenz na elimu

    • @abubakarimussa9131
      @abubakarimussa9131 4 місяці тому +1

      Toa andiko nawewe tafadhali alafu shafii anasoma hiyo hiyo bibilia sasa wapi hajui

    • @sizzle_tz
      @sizzle_tz 4 місяці тому +1

      Kama unamuona shafii muongo, najua unaiamini biblia takatifu vipi kuhusu hili andiko

    • @sizzle_tz
      @sizzle_tz 4 місяці тому

      Kama unamuona shafii muongo, najua unaiamini biblia takatifu vipi kuhusu hili andiko

    • @sizzle_tz
      @sizzle_tz 4 місяці тому

      Kama unamuona shafii muongo, najua unaiamini biblia takatifu vipi kuhusu hili andiko

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 10 місяців тому +2

    Kwanini makafiri wengi wanapenda kufundisha uwongo, kwani hawana ukweli?

  • @AllySully
    @AllySully 10 місяців тому +6

    Mikristo mingi haisomi bibilia inaenda kanisan kupiga makofi tu kucheza miziki kama wale waislamu wa dufu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 10 місяців тому

      Wewe ni miongoni wanaswali Misikitini ya Ukafiri ee Qur'an 9: 107

    • @nuruyamwishotv1927
      @nuruyamwishotv1927 10 місяців тому

      1 John 4:1-3,6
      [1]Beloved, believe not every spirit, but try the spirits whether they are of God: because many false prophets are gone out into the world.
      Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
      [2]Hereby know ye the Spirit of God: Every spirit that confesseth that Jesus Christ is come in the flesh is of God:
      Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.
      [3]And every spirit that confesseth not that Jesus Christ is come in the flesh is not of God: and this is that spirit of antichrist, whereof ye have heard that it should come; and even now already is it in the world.
      Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
      [6]We are of God: he that knoweth God heareth us; he that is not of God heareth not us. Hereby know we the spirit of truth, and the spirit of error.
      Sisi twatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu. Mungu ni Upendo

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 місяців тому

      Waislam wanaopiga dufu quran wanasoma

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 10 місяців тому

      ​@@paulmushi2428nenda huko mzee wa upinde mpinga kiristo

    • @Maalim_Samatta
      @Maalim_Samatta 10 місяців тому

      Hivi wewe umeona wapiga dufu hawasomi Quran SI ndio, una Akili kweli ww!! Au chuki zako TU. Kakojoe ulale kijana

  • @SaimonKefa
    @SaimonKefa 10 місяців тому

    We shehe kiwango chako cha akili nikidogo sana, hata ukisoma huelewi, na huyo mzungu ulie jitengenezea hajui kujenga hoja.

    • @athumaniathanac4714
      @athumaniathanac4714 5 місяців тому

      We unajua nn acha use kujifanya mjuaj kumbe mbumbumbu mmoja tu .. allah akbar mtauingia moto bila shaka

  • @jumaruhinda9987
    @jumaruhinda9987 17 днів тому

    Yeye ale pesa au asile wewe usimchamgie?

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому

    wapi andiko kristo ni cheo!

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 10 місяців тому +1

      Kristo ni mpakwa mafuta..au kuhani ama nabii..sasa sijui anakuaje mungu..yaani jina linasema yy ni kuhani ama nabii ila kondoo walio potea wanamwita mungu wao..yesu alipitia mitihani kama mtu mwengne tuu..akikojoa..akakunya..aka shuta..akatahiriwa..akalia..akalala..akahisi njaa..alipigwa akalia..alihuzunika..aliomba msaada..hata pia alirogwa na wachawi wawili wakiyahudi akawa chizi (yane na yamre) sasa huyu mungu kama hizi ndio characters zake..basi hakuna mungu

  • @BernardMwaipopo
    @BernardMwaipopo 10 місяців тому

    Nahitaji ilo andiko linalo semakuwa anadhambi kwa Quran au kwa Biblia

  • @paullazaro3127
    @paullazaro3127 10 місяців тому

    Ila mzee unazeeka vibaya, hata hujui tofauti ya Sauli na Paulo, biblia huijui ila unakariri mistari..

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 10 місяців тому

      Sauli ndio huyo paulo..mwanzilishi wamakanisa na ukiristo akiwa pamoja na ibilis..mashetani na wachawi kama viongozi waulimwengu wakiroho wa kikiristo

    • @paullazaro3127
      @paullazaro3127 10 місяців тому

      @@eiddykenga5816 Sasa hapo ndo uone akili ilivyo ndogo, Kama Yeye ndo mwanzilishi wa ukristo iweje tena awe mpinga kristo?

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 10 місяців тому

      @@paullazaro3127 kwani maana ya ukiristo ni nini..ukiristo niupinga masihi..kuna kitu gani munacho kifata alicho fundisha masihi..hakun hata kimoja..yesu aliswali..yesu alifunga swaumu..
      Yesu alivaa kanzu..
      Aliingia katika misikiti(masinagogi)
      Aliabudu Mungu mmoja..
      ..wakiristo hawaswali..
      Wakiristo hawavai kanzu..
      Wakiristo hawafugi ndevu..
      Wakiristo hawaingii misikitini..
      Wakiristo wanamiungu mitatu..
      Sasa sinyinyi kupitia maandiko ya paulo..yeye paulo alisema amekujapinga mambo ya masihi..na nyoote wakiristo mukochini ya paulo..

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 10 місяців тому

      @@paullazaro3127 masihi na ukiristo nivitu viwili havichanganyiki..masihi alikua myahudi na aliukuta uyahudi na aliuwacha uyahudi huko israeli ..ukiristo ulianzishwa antokia kwakina paulo kwawazungu...na yesu hakufika antokia..na ukiristo ulianzishwa miaka 13 baada yayesu kuhepeshwa kifo na Mungu na kupaisha juu..so masihi hajui kitu inaitwa ukiristo wala bibilia..
      Neno bibilia nilakigiriki hao niwazungu..
      Neno christ..nilakigiriki na hao bado niwazungu..masihi ndio aliezaliwa kwa neno laMungu sio kristo..
      Injili ndio kitabu cha yesu sio bibilia..
      Kanzu ndio mavazi ya yesu sio makoti ama bikini..
      Sinagogi ndio nyumba alimokua akiabudu yesu sio kanisa..
      Mungu mmoja ndio aliemfundisha masihi kwa watu wala sio miungu mitatu..
      Masihi aliteremshiwa injili kwa kabila yake wala sio kizungu..na mpka sasa hakujapatikana injili ya kiebrania ama kabila yoyote yakiisraeli..
      Yesu alikua na wanqfunzi kumi na wawili..na wooote waliandika vitabu kuhusu masihi ..na woote walikua watakatifu mpka kuitwa wanafunzi wayesu..ila katika hao kumi na wawili barnaba ametolewa na wazungu kwasababu anahabari zakuhusu yesu kwakina na ujio wamtume mwngine wa uarabuni..barnaba mukamtoa pamoja na kitabu chake mukaficha nakumchafua kua sio mkristo aliingiw na shetani..enoko nae pia mukatoa kitabu chake..shetani nae mukatoa kitabu chake ila munakitumia kujaza nguvu zagiza nakufanyia miujiza kwenye umati kwakutaja jina layesu..sasa huyu yesu..neno yesu je nilakiisraeli ama kigiriki..kiisraeli nimasihi so kama nyinyi sio wafuasi wakishetani basi jiiteni wamasihi..

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 10 місяців тому

      ​@@paullazaro3127oky twambien yesu alipewa injr na uyo Paulo alipewa kitabu gan

  • @kalamamuller-qe1yd
    @kalamamuller-qe1yd 10 місяців тому

    Wewe muzungu nenda Israel ukaubil habali ya yesu kisha utakiona kilicho mtoa kangamanyoya

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому

      je Muhammad nimu afrika?aho Muhammad kashuka kutoka mbinguni?jibu!

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 10 місяців тому +1

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh Alikua mwanarabu..alizaliwa kama vile ww na yesu alivyo zaliwa..

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому

      @@eiddykenga5816 basi umejibu vyema Muhammad alikuwa muarabu pia akutumwa na Mungu bali alitumwa na shetani!

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 місяців тому

      ​@@JeanMuzaliwa-bs6qhshetani kaumbwa na nani

  • @UkweliMinistries
    @UkweliMinistries 10 місяців тому

    Mimi ninakuchallenge wewe kafiri. Sasa hivi tumor Dar.

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 10 місяців тому

    Jaman kumbekuni kuna Watu wa motoni msiwamalize wote

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 10 місяців тому +1

    Sinagogi👉Wayahudi
    Kanisa👉Wakristo
    Msikiti 👉 Waislam
    Hizi ni nyumba tofauti za ibada.
    Sinagogi ni tofauti na Kanisa na nitofauti na msikitini.

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 10 місяців тому

      Angalia katika kamusi ya bibilia utajua sinagogi ninini. Wacha ukondoo waisraeli..

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 10 місяців тому

      @@eiddykenga5816 seme sinagogi ni nini? Wachana na ndugu zako majini

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 10 місяців тому

      @@NathanielNathan-m4o bora sisi tulio watoa majini kutoka kwa upumbau wakikiristo tukqwaleta katika dini ya haki..hivi unaongelea majini wakati viongozi wakikiristo na waanzilishi waukiristo na wabibilia alikua ibilisi..mashetani na wachawi wakiyahudi..sasa unaringia nani hapa..sisi ndio tukawaokoa hao mashetani kutoka kwa iblis..sasa amebakia kua kiongozi wenu iblisi..
      Aliapa ataangamiza kwa njia ya msalqba..wakiristo wanavaa misalqba kamq ishara yakiapo cha shetani..
      Alisema atawaangamiza mutoboe vipuli mwili mzima na sai hata mapasta wako na vipuli mpka vyaulimi ( wakike na kiume..) alisema ataangamiza kuhusu mavai..wqkiristo wanavaa bikini wakiungana na wanawake walio vaa nusu uchi kanisani..
      Kila mtoto akizaliwq hua nimwislqmu shetani qmeweka amri zake mkirsto yeyote hata watoto sharti watolewe katika dini yao mapema wamwabudu yeye wqkidai ati watoto wadogo wanadhambi pia..
      Kiongozi wenu ni ibilisi kimaandiko..kama unabisha soma yehova matatani ukurasa wapili utaona huo upuuzi wenu wqkikiristo ati nidini..munachukua sheria za uchi wq mnyama munaweka katika vitabu vya manabii..kwanza paulo alisema musitahiriwe..bikashaka uko na finyu sio..na sisis hatubishani namafinyu

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 10 місяців тому

      Unapingana na waandishi wenu wa biblia ?

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 10 місяців тому

      @@NathanielNathan-m4o sisi ni ndugu kwasababu waliacha kuasi..na mashetani na iblis ndio wazazi wenu

  • @AllySully
    @AllySully 10 місяців тому

    Hao wazungu ni masenge tu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 10 місяців тому

      Hiyo simu unayotumia ku comment hapa wametengeneza wenyewe basi itupe hiyo simu Kwa sababu imetengenezwa na unaosema ni wasenge

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 10 місяців тому +2

      ​@@paulmushi2428
      Wewe mbona aliyekuumba unamshirikisha?

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому +1

    nikweli waislamu wote duniani ni wapinga kristo!

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 10 місяців тому +1

      Waislamu wasijibaraguze ni wapinga kristo 100%

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому

      @@prochesernest5439 kbs

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 10 місяців тому +1

      Mwenye masikio amesikia Shaffi kamaliza!

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому

      @@yussuphsultan1400 kamaliza ni nini?1timotheo 4:1-2

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 10 місяців тому

      Mpinga kristo ni paulo..mwanzilishi waukiristo na aliapa kuja kupinga mafundisho ya yesu..na alipoanzisha ukiristo kiongozi alikua ibilis akifuatiwa na mashetani nawachawi wakiyahudi..huko giriki..so wakaunda chama chakishetani wakakiita ukiristo ila ukiristo haupo kwenye bibilia haujatajwa...wakaanza kuieneza dini yakishetani katika misikiti nakuwatoa watu katika mafundisho ya masihi..walio baina uongo wapaulo walibKi kua wanyenyekevu waliopenda ulimwengu na raha wakajitosa katika starehe zadunia ( ukiristo)

  • @CharqueAli
    @CharqueAli 4 місяці тому

    Sisi wa África tumisha wagunduwa wazungu kama vilevile wajinga

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 10 місяців тому +1

    Duuuu umemzidi Allah wewe ndo mkweli Allah ni muongo soma quruan 22:40 masinagogi na misikiti ni nyumba mbili tofauti hiyo Yohana imesema masinagogi hapo sijaona misikiti wadanganye hao mamuma waislamu wasiojielewa na Muhammad ni mpinga kristo 100% ukweli hapo shekhe hata umushafishe vp hachomoki mtume wenu

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 10 місяців тому +2

      Umesema Sinagogi sio Msikiti sio?Je Msikiti kwa kingereza unahitwaje?Kanisa kwa kingereza inahitwaje?Msikiti kwa Kiarabu unahitwaje?Kwahiyo sinagogi sio kanisa,ulijue hilo kwanza hata hekaru sio kanisa nalo ulijue,sasa kama Yesu aliingia kwenye sinagogi,kwani nini nyie Wakristo munaingia kanisani?Bibilia ya zamani inatoa ufafanuzi kwamba Sinagogi ni Msikiti wa Mayahudi,Je kati ya Bibilia na Wewe nani mkweli?

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 місяців тому

      ​@@RamadhaniLukambuzisinagogi si mskiti kwa mjibu wa vitabu vyenu

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 10 місяців тому

      @@RamadhaniLukambuzi wewe nimekuonyesha huyo Allah wenu anasema masinagogi na misikiti je Allah ni muongo kusema hivyo? Na kasema makanisa Soma Quran hapo 22:40 ujibu Allah ni muongo? Alfu uje tuongelee kanisa

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 10 місяців тому

      Paulo kawapoteza nyie hakuna neno ukristo biblia nzima sinagogi msikiti wa wayahudi yesu hajaingia kanisani

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 10 місяців тому

      @@RamadhaniLukambuzi kama wewe sio muongo onyesha biblia hiyo ya zamani unayoonyesha Aya sinagogi ni msikiti

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 10 місяців тому +1

    Wewe shekhe issa ndo mwenye dhambi sio Yesu kristo nihonyeshe wapi biblia inaonyesha Yesu kristo ana dhambi?

  • @AliAarka-007
    @AliAarka-007 Місяць тому

    Mshlh sheikh send me your contact