Mtume Muhammad(s.a.w)alikuwa mwingi wa hekima asingejisifu mwenyewe halafu kuweni makini mnaobeza kuna Utume na kuna Ijitihad za wanazuoni hamuoni aibu qaswida inasema Allah hundhur ilahina!Ya ilahi binadhwira nadhratal khairi liiifi harridhwa walmasarra!Ukisema ujinga umeelewa tafairi au kwakuwa na ww umepokea kwa Sheikh
Maasha allah,mtume mzuri wallah
Mawahabi kazi mnayo
, MashaAllah 🤲🤲🤲kabisa ni suna. Wambiyene Wapingaoo 🤲🤲
Matunda ya sheikh abdallah chamzuri, Allah akupe afya njema
Mtume Muhammad(s.a.w)alikuwa mwingi wa hekima asingejisifu mwenyewe halafu kuweni makini mnaobeza kuna Utume na kuna Ijitihad za wanazuoni hamuoni aibu qaswida inasema Allah hundhur ilahina!Ya ilahi binadhwira nadhratal khairi liiifi harridhwa walmasarra!Ukisema ujinga umeelewa tafairi au kwakuwa na ww umepokea kwa Sheikh
Mashaallah
Mmh
P
IBN TAYMIYA SI MTUME
Ni mtu mmoja ambaye akisema kama mtume
Ujinga ni kitu kibaya sana.
Wewe ndo mjinga