Dada yangu maa shaa Allah, unajimudu. Kuna jambo 1 tu nadhani linahitaji marekebisho. Kwa maoni yangu neno ku-fix umelitumia sipo, ku-fit ingekuwa ndio pahale pake, yaani ku-install. You fix something that is broken/defect or malfunctioning. Kama nimekosea au nimekukosea basi tusameheane.
Dada yupo vzr katika kuelezea yaan anaelezea kitaaluma zaid hongera sana dada
Hongera sana JKU kwa kazi nzuri,tunaona jinsi kazi ya ujenzi inavyoenda kwa kasi.
Dada yangu maa shaa Allah, unajimudu. Kuna jambo 1 tu nadhani linahitaji marekebisho. Kwa maoni yangu neno ku-fix umelitumia sipo, ku-fit ingekuwa ndio pahale pake, yaani ku-install. You fix something that is broken/defect or malfunctioning. Kama nimekosea au nimekukosea basi tusameheane.
DADA HONGERA ZAKE KWELI WANAWAKE WANAWEZA YUPO VIZURI NA ANAJIAMINI ANAONYESHA JINSI ANAVYO IJUWA KAZI YAKE HONGERA ZAKE NYINGI